Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

rumplelstiltskin

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2020
Posts
233
Reaction score
339
Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa wa Corona kwa wiki nne (4) zilizopita huku ikiwa salama na ugonjwa huo hatari duniani kwa sasa kwa takriban wiki 46.

Ripoti hiyo iliyotolewa na kituo hicho chenye makao makuu yake jijini Solna nchini Sweden, inaeleza kwamba wakati dunia nzima ikiwa kwenye giza totoro na isijue la kufanya kwa kuendelea kuripoti maambukizi ya Corona kila kukicha, Tanzania iko salama kabisa na balaa hilo na watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila ya vizuizi wala masharti yoyote ya Corona.

CHANZO: CRI Swahili
 
Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo

Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India

Laiti hawa nzige wangeenda kwao then kwetu wasingekuja tungejuta a see

Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
 
Kivip mkuu , trust me somtyme is a miracle, Lissu amezongwa zongwa na watu wakat wa kampeni tena nchi nzima, lakn amefika ubelgiji amepimwa Hana korona , uwanja wa Taifa watu wanajazana kama kuku lakn nothing new
Sio hvyo tu.timu ya taifa imeenda tunisia wachezaj wote waamepimwa hamna hata m1 mwenye korona
 
Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwann watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya ,Uganda wote kesi za corona zipo...
Maisha hayana mwenywe unaweza ukawa na ela usiwe na afya nzuri ndomaana watto wa maskini darasani wako vizuri kichwani lakini jirani anasomesha mtto feza na kila siku 0 kama kawa..bahati kwenye maisha ipo...kuna wengne bahati ni sehemu ya maisha
 
hata kama wasingemwelewa ila siku zote mwenye akili anafaulu darasani mambo ya kusema una akili alafu kila siku 0 hakuna hiyo...lazima wamwelewe tu na tafiti zao za kijuha ziendelee
Hebu jisome vizuri naona kama milembe inakuhusu hivi!!
 
Back
Top Bottom