Endelea na ngonjera zenu za oxygen sijui hydrogen but Magufuli ni mjumbe wa mungu aliyetuvusha katika hili janga la coronaIsiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
Kalale ubavuni mwake basi, naona chupi ishaloa😁😁Sasa kama sio ya Magufuri ni ya baba yako....?? Magufuri ndiye mtu wa kwanza kuona juu ya hili na kutuhabarisha Watz tupige kazi na maombi yaendelee Huku BAADHI ya WATU wakituogopesha lakini JPM Pekee ndiye aliyekuwa mfariji wetu Mbona haukutokea wewe !!Acha umama
Thibitisha Mungu yupo, halafu elezea kwa nini hamalizi Corona na magonjwa yote watu waishi kwa amani bila magonjwa.Endelea na ngonjera zenu za oxygen sijui hydrogen but Magufuli ni mjumbe wa mungu aliyetuvusha katika hili janga la corona
Kabla ya Corona wagonjwa walikuwa hawawekewi Oxygen mahospitalini?Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?
Haya ni mambo mawili tofauti.
Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
Ewe Kuhani mkuu KAYAFA kwa uwezo wa kimungu ulionao tuondolee huyu ukimwi na umaskini.
Walikuwa wanawekewa.Kabla ya Corona wagonjwa walikuwa hawawekewi Oxygen mahospitalini?
Ndio aliyeizuia?Hatimae wazungu wamemuelewa magu
Tulivyojificha cha to tulienda kwenye matunguli piaTulianza na Mungu na tukamalizia na Mungu.
Na mwisho wa siku wa feza akitoka shule ajira kaletewa au kapewa mtaji kaanza maisha huyu wa A+ hakuna connection anasota kitaaa..........yote yanawezekana kwenye maishamaisha hayana mwenywe unaweza ukawa na ela usiwe na afya nzuri ndomaana watto wa maskini darasani wako vizuri kichwani lakini jirani anasomesha mtto feza na kila siku 0 kama kawa..bahati kwenye maisha ipo...kuna wengne bahati ni sehemu ya maisha
Magufuli ndiyo aliruka ule mtego wa kiletewa zile Mask za kuzuia Corona kutoka nje,maana mule ndiyo kulikua na Corona!!Mtaga watasema kazi yake Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16]
😁😁😁😂 tunasubiri kitu..Mi nawakumbusha tu boss was Jf ametakiwa na hakimu hhuruma wa hapo kisutu aachie majina ya wale member so unapokoment kuwa makini hasa nyuzi kama hizi unaweza kwenda na maji
Sent from my TECNO F2 using JamiiForums mobile app
Okay..Tunamshukuru AlmightyMagufuli ndiyo aliruka ule mtego wa kiletewa zile Mask za kuzuia Corona kutoka nje,maana mule ndiyo kulikua na Corona!!
Kumbe kamanda uliugua corona? Pole sana aiseeTulipigwa sana na covid sana hapa 1st April mpaka End of June 2020 ,kwahiyo Nerd immunity imetake over.
Ngoja kwanza, kama walikuwa wanawekewa, nini kinachokufanya ushangae huyo kuwekewa? Kiasi iwe sababu ya wewe kutoamini kwamba hakuna Corona Tz?Walikuwa wanawekewa.
Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
Hujajibu swali.Ngoja kwanza, kama walikuwa wanawekewa, nini kinachokufanya ushangae huyo kuwekewa? Kiasi iwe sababu ya wewe kutoamini kwamba hakuna Corona Tz?