Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Mm kuna mzungu 67 yrs of age alininiahaidi atakuja bongo kwa ajili ya family friends tufahamiane endapo corona ingeisha huko kwao coz walikuwa kwa lockdown kali.

Na kunipa ahadi kibao za kunipa dollar 10000 nimalizie nyumba yangu, majuzi nkakuta watoto wake wamepost kuwa mama yao amekufa kwa corona.

Alikuwa anaushi San Fransisco
 
Ukimwi utakuandama sana dada!

Kayafa hakukutuma uwe ma.la.ya
Duh mbona una hasira sana? Sasa hutaki ukimwi uondoke? Na umasikini je hutaki?

Halafu kuondoka kwa ukimwi hata KAYAFA kutamsaidia maana unamtesa sana.
 
Hata kama ni asilimia 0.00000000000000000000000000000000000001,je hawakugusana na mtu yoyote hapa Tanzania? Lissu hajafanya kampeni? Hajachanganyika na watu, je hao wachezaji hawakugusana na mtu yoyote? Wamecheza mechi ngapi kabla ya kusafiri? Wengi kwenye ile timu walitoka kucheza Kariakoo Derby, haukuona watu walivyojaza ule uwanja? Je hiyo corona yenu inawaogopa Wale watu uwanjani au?
Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
 
Hakika na mimi siku ya jana 16/11/2020 nimesikiliza taarifa ya habari ya nchini Kenya kupitia CITIZEN Radio, niliogopa Kenya kwa siku hiyo tu walipoteza watu 28, hakika nimeamini Tanzania ni Taifa ambalo Mungu ametuwekea ulinzi wake jamani, tuna kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu.
 
Hujajibu swali.

Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
Tangu ugonjwa uanze, sijawahi kuona wala kusikia ndugu, jirani au rafiki yeyote wa mbali na karibu ameugua au kufariki kwa Corona, na hiyo ni licha ya kutokuwa na lockdown wala zuio lolote hasa kwenye viwanja vya michezo nk. Kwa akili ya kawaida tu, unahisi jibu langu ni lipi juu ya swali lako?
 
Swali ulilojibu sijakuuliza, na nililokuuliza hujalijibu.

Nimekuuliza hivi.

Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
 
Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo.

Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India

Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
😂😃😃😃😃😃😂😂
 
Si tulishaifanyia na send off ikaolewe huko? Hairuhusiwi kurudi tena. Na vipimo tumeshatupa.
 
Back
Top Bottom