kayaman
JF-Expert Member
- Aug 3, 2013
- 4,516
- 10,444
Acha kuropoka usichojua, sasa niko kigali nimepita hapo rusumo wiki iliyopita, tumekaa karantini siku mbili kuna mama alirudishwa tz vipimo vilitoka positiveAcha uongo ueshimike mkuu, nina wiki 3 hapa rusumo hiyo covid iko wapi hawa wachina wanaotengeneza umeme si wangesha kimbia wote
Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app