Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

kwa ninachoamini hadi sasa ni kwamba kama Lissu angekua rais tungeingia kwenye LOCKDOWN kwa maagizo ya mabeberu.
 
Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?

Hujajibu swali hili.
Yes ni lazima kwasababu ndivyo ilivyosemwa..

Kwamba kama nchi haitaweka watu wake lockdown lazima tutaokota maiti barabarani..
 
Ntaanza vipi kuhama ,hata Zimbabwe siendi, kitendo cha wale nzige kugeuza njia tuu na kurudi ,na wakati Tz ina kijani kibichi na chakula ya nzige

Wazungu naskia wanataka kuja wek kambi kufanya research kwetu waacha waje watapata corona then sisi tusipate huku huku kwetu .......
wallahi hii nchi sihami
 
Yes ni lazima kwasababu ndivyo ilivyosemwa..

Kwamba kama nchi haitaweka watu wake lockdown lazima tutaokota maiti barabarani..
Ilisemwa na nani? Wapi?

Kauli ya mtu ndiyo inayoongoza hawa virusi?
 
Ilisemwa na nani? Wapi?

Kauli ya mtu ndiyo inayoongoza hawa virusi?
Lilisemwa WHO na Melinda Gates na vyombo vingine vya kishoga vya Marekani na Ulaya..

Ndio, kauli ndiyo inayoongoza hao virusi..
 
We are the true Israelites

Hawo waisraeli wenyewe kwa baba na mama wanakufa na Covid 19
sasa wewe huo u- true Israelites umeutoa wapi wakati baba msukuma mama makonde [emoji2][emoji1]
 
Lilisemwa WHO na Melinda Gates na vyombo vingine vya kishoga vya Marekani na Ulaya..

Ndio, kauli ndiyo inayoongoza hao virusi..
Una matatizo wewe.

Kauli za watu ndiyo zinawaongoza virusi?

WHO walisema wapi hilo?

Weka link hapa.
 
Una matatizo wewe.

Kauli za watu ndiyo zinawaongoza virusi?

WHO walisema wapi hilo?

Weka link hapa.
Muda wa kuweka link sina.. utanilipa??

Kauli ndio zinacontrol hivyo virusi, au unabisha??
 
Hawo waisraeli wenyewe kwa baba na mama wanakufa na Covid 19
sasa wewe huo u- true Israelites umeutoa wapi wakati baba msukuma mama makonde [emoji2][emoji1]
Sisi ndio waizrael mkuu acha ubishi wale weupe kule wakuja tu ndio nature inawaumbua sasa na soon tutarudi kwenye nchi yetu hujui hata origin yako mwamba wewe ni mgalilaya uo umakonde umepandikizwa tu
 
itoshe tu kusema kiongozi mkuu Mh Rais pale aliposema mwenyezimungu hashindwi na jambo.na kuomba maombi basi allah subhnawataala akafanya wepesi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Taarifa rasmi za serikali zimetolewa lini mara ya mwisho?

Waliopimwa wangapi?

Wangapi wamepatikana na ugonjwa?

Wangapi wameonekana hawana ugonjwa?
Kwanza kama unaona serikali haijatoa taarifa mpya manake watu hawaendi kupima,manake hawaumwi maabara ipo hapo Mabibo na vifaa washaboresha ukitaka unaweza kwenda na hajakatazwa mtu kupima unaweza kwenda kwa hiyari yako.

Ila mpaka sasa case zip 509,21 wamevuta,183 waliopona,305 walikuwa tested +ve lkn hawana hali mbaya.

Ukitaka majumuisho ya jumla subiria wizara ya afya watakutangazia,ila data hizo nimezitoa worldometers.
 
Hizo data ni za lini? Wizara ya afya imetoa data mara ya mwisho lini?
 
Natamani Tena tutenge siku Tatu za kumshukur Mungu naona zile Tatu hazitoshi Mungu hoyeeeeeee
 
Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua
Mkuu unandugu yako au jirani au ww umekufa
 
Kansa unaoima kwa hiyari yako kama unaona kabisa mimi nataka kujiridhiisha lkn sio ya kulazimishana pimapima.

Mbona kuna magonjwa mengi tunashauriwa kupima mara kwa mara ila kwa hiyari yako,hulazimishwi hata sisi wanaume kama sikosei huwa tunaambiwa tupime tezi dume tukifikisha miaka 40.Kama si kosei hata Malaria wanashauri kila baada ya miezi sita ni vizuri ukapima ila kwa hiyari yako.

Ninacho shangaa Corona watu wanaikomalia LAZIMA kupima,sasa mimi mwenyewe najiona nipo fiti sijaamua kupima.

Alafu hamna aliyekatazwa kupima,vipimo vipo na vimeboreshwa ukitaka KUPIMA KUJILIZISHA WEWE MWENYEWE KAMA ILIVYO KWA KANSA YA MATITI NENDA KAPIME,ila sio kulazimishana.
Kwani msingi wa swali ulikuwa 'kulazimishwa kupima' au kupima kabla ya kuumwa?
 
Kwani msingi wa swali ulikuwa 'kulazimishwa kupima' au kupima kabla ya kuumwa?
Alafu rudia comment zangu nilizowajibu watu labda unaweza ukaelewa nilicho kieleza,nilio wajibu wote walikuwa wanalazimisha tupime kama nchi nyingine hasa za ulaya wanavyo fanya.

Kupima kabla kuumwa ni hiyari ya mtu tunarudi palepale.Ndio maana wewe ukauita ushauri/wito so unaweza ukafanya au husifanye kutoka na ww mwili wako utavyo jisikia.

Au labda ww ulioutoa sio wito bali lazima?.
 
Back
Top Bottom