Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Ripoti iliyotolewa na Kituo cha Bara la Ulaya cha Kuzuia na Kudhibiti magonjwa (ECDC) na baadaye ripoti hiyo kuchambuliwa na kusomwa na kituo kikubwa cha habari cha nchini Ujerumani cha Deutsche Welle (DW) imeitaja Tanzania kuwa nchi pekee duniani ambayo haijaripoti maambukizi yoyote ya mgonjwa wa Corona kwa wiki nne (4) zilizopita huku ikiwa salama na ugonjwa huo hatari duniani kwa sasa kwa takribani wiki 46.

Ripoti hiyo iliyotolewa na kituo hicho chenye makao makuu yake jijini Solna nchini Sweden, inaeleza kwamba wakati dunia nzima ikiwa kwenye giza totoro na isijue la kufanya kwa kuendelea kuripoti maambukizi ya Corona kila kukicha, Tanzania iko salama kabisa na balaa hilo na watu wakiendelea na shughuli zao za kila siku bila ya vizuizi wala masharti yoyote ya Corona.

CHANZO: CRI Swahili
sawa sawa sasa mlitaka walopoke bila takwimu,moyoni si ajabu wanasema shauri yao!
 
Mkuu unakumbuka hospitali wahudumu walikuwa wanaogopa wagonjwa kipindi kile cha mwanzoni mwanzoni? Muhimbili pale ulikuwa hupiti bila barakoa na lazima upigwe sanitizer wakati wa kuingia na kutoka,ila sasa hakuna hayo mambo unaingia na kutoka kama kawaida uvae barakoa usivae hakuna mwenye kukuuliza.

Ukiangalia Rais na viongozi wote wa serikali hawaoneshi kutambua kuwa kuna uwepo wa corona Tz na hivyo wanatakiwa kuzingatia tahadhali zote za kujikinga.
Safi sana, katika hili mimi ni shaidi namba moja. Kuna kipindi tulimpeleka bodaboda mwenzetu pale Muhimbili yani fresh tu kuanzia Madokta na Manesi tunapiga stori hakuna cha social distance,barakoa wala cha sanitizer afu ilikuwa night piga stori mpaka asubuhi. Afu ukija huku mitandaoni unakutana Corona (Covid-19) inashangaza sana.
 
Acheni ujinga nyie mnaowaza bila akili! COVID ipo na inaua sana tu. Tatizo sisi Tz. hatutangazi matokeo ya upimaji kama nchi nyingine zinavyofanya!
Mkipata matokeo ndio Corona itakuwa haui.Mbona hamuhitaji matokeo ya Magonjwa ambayo hatari yanawapoteza watu kila siku,sijasikia mkihitaji data za Malaria,HIV,Homa Ini nk,why Corona?
 
Kama hupimi utajuaje ugonjwa haupo? Ni kisa cha mbuni kufukia kichwa ardhini akidhani adui hamuoni.
Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?

Yaani sawa sawa sasa hivi uje unambie nikupime Malaria wakati mimi siumwi na sijakwambia kama na hitaji kupimwa.
 
Mataga watasema kazi yake Magufuli[emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa uzushi mliokuwa mnatunga kuleta taharuki ilifikia hatua tunahtaj kiongoz mkuu atoe kaul aidha ya kutuzdshia hofu au kutuondolea hofu

Kwa hatua za wabunge wa CHADEMA kutoka bungen, na kufukuza wale waliosimama kidete kubak bungen bila shaka unaona tulhitaj kaul ya kiongoz mkuu aseme jambo la hatma na uelekeo wetu kama nchi

NA MAGUFULI ALISIMAMA KIDETE NA KUTOA MSIMAMO USIYOYUMBISHWA,THR MAN DID IT
AKAEGEMEZA MSIMAMO WAKE KWA MUNGU NA ASBAABU ZA KUTUMIA DAWA ZA ASILI tena akibezwa na kudhihakiwa ndan na nje ya nchi

Vipi unataka tuseme kuwa mbowe,lissu alisimama na sisi kwny CORONA????

Au unadhan tumesahau mbowe na lissu walisema maneno gan kuhusu msimamo wa rais, wakimtaka magufuli aweke lockdown

JE N KWELI UNAONA MAGUFULI HAPASWI KUTAJWA WALA KUSIFIWA KWNY HILI LA CORONA????
 
Sasa unaleta blame kwa jamii of which 99% of it has never met these motherfuckers in real life?

Laumu jamii yake,familia yake,shule alizopitia,na watu wanaomzunguka....Asilimia 99% ya watu milioni 60 has never met these gorillas..halafu upo hapa unalaumu wananchi milioni 60?

Are you crazy?

Tunarudi pale pale,matendo ya mtu mmoja binafsi yake akifanya concequences zake ni zake yeye kama yeye,usipakaze na kulaumu jamii insteady ambayo haijamtuma categorically!

Hii tabia mbovu ya masokwe kama wewe kufanya matendo mabovu na kumsingizia shetani au wanadamu wengine ambao hawahusiki na hivo vitendo ulivyofanya ni tabia proper kabisa ya usokwe!

Yaani unakwepa responsibiliy ya matendo yako binafsi uliyoyafanya kwa utashi wako mwenyewe unawatupia watu milioni 60???

Vitendo vya mavi ufanye wewe,lawama na makosa tupate sie?Tulikutuma?Lini?
Mimi sijamtupia lawama yeyote bali nimekueleza tu kuwa hao masokwe huwa wanatoka kwenye jamii yetu hawatoki misituni,mara nyingi unakuta watu wanalalamika kwamba sisi tuna viongozi masokwe ila wanasahau kuwa wao nao ni masokwe na ndio maana hutoa viongozi masokwe wa kuwaongoza wao masokwe wenzao.

Ndio maana nasema kama sisi tukibadilika na kuwa binaadamu basi pia tutapata viongozi wenye kuendana na sisi ambao pia watakuwa binaadamu na hatutokuwa tena na viongozi masokwe maana sokwe hawezi kumuongoza binaadamu bali atamuongoza sokwe mwenzie.
Ila bila ya hivyo tutaendelea kulalamika kuwa tuna viongozi masokwe kumbe tumesahau kuwa sie wenyewe ni misokwe pia.
 
Kwa vurugu za huu ugonjwa sio lazima kupima ndio ujue ugonjwa upo. Kama ungekuwepo vifo pia vingetupa majibu.
Ukisema hivyo utajibiwa kuwa huu ugonjwa wanaoupata na kupona ni wengi sana kuliko wanaokufa,lakini hapohapo unaambiwa ni ugonjwa hatari duniani na kuna wakati huko kwa wazungu tulikuwa walizidiwa na maiti hadi waka wanaziweka sehemu zisizo maalumu kuwekea maiti.
 
Safi sana, katika hili mimi ni shaidi namba moja. Kuna kipindi tulimpeleka bodaboda mwenzetu pale Muhimbili yani fresh tu kuanzia Madokta na Manesi tunapiga stori hakuna cha social distance,barakoa wala cha sanitizer afu ilikuwa night piga stori mpaka asubuhi. Afu ukija huku mitandaoni unakutana Corona (Covid-19) inashangaza sana.
Ndio hapo mkuu hata mie nashangaa kwa sababu hizo hospitali ndio zingekuwa na uhalisia wa hiyo corona,ila kama unavyoona hali iko hivyo ila huku mitandaoni ndio unakuta watu wanasema kuna vifo vingi vya corona sasa sijui wanavipata wapi.
 
We hujawahi kuwa na akili hata siku moja.
Tangu umkatae mungu na mungu kakukataa, umebaki kumbwela tu.
Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?

Haya ni mambo mawili tofauti.

Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.
 
Korona ni upumbvu tu ulio enezwa na wajanja kwenda kwa wajinga (Kiranga ukiwemo)
Ndio maana mjanja mwenzao Magufuli kawashtukia, na kuwaamuru wananchi wake wajiachie tu hakuna ugonjwa hapo.
Thibitisha Mungu yupo, halafu elezea kwa nini hamalizi Corona na magonjwa yote watu waishi kwa amani bila magonjwa.
 
Lakini mkuu hizo oxgen si zilikuwa zinatumika kabla hata ya corona?
Sasa kama hupimi watu Corona utajuaje huyu anahitaji oxygen kwa sababu ya Corina au la?

Utasemaje Tanzania hakuna watu wenye Corona kama hupimi Corona?
 
"Marehemu alikuwa akiugua na maradhi mengine"


Kauli tata sana hii ilikuwa ikitumika kwenye kutangaza vifo vya waliyokufa kwa corona.
Tunajikubalisha tu kwa lazima kwamba Tanzania hakuna Corona.

Wakati hata kupima hatupimi.
 
We hujawahi kuwa na akili hata siku moja.
Tangu umkatae mungu na mungu kakukataa, umebaki kumbwela tu.
Akili ni nini?

Mungu ni nini?

Unaweza kuthibitisha habari za Mungu ni za kweli na si hadithi tu?
 
Back
Top Bottom