Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo.

Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India

Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
Hahahahahaha nimeipenda
 
maisha hayana mwenywe unaweza ukawa na ela usiwe na afya nzuri ndomaana watto wa maskini darasani wako vizuri kichwani lakini jirani anasomesha mtto feza na kila siku 0 kama kawa..bahati kwenye maisha ipo...kuna wengne bahati ni sehemu ya maisha
Kwenye shule za masikini hakuna sifuri????? Acha kuwqchukia waliofanikiwa
 
Yaani Ile mechi ya SIMBA na YANGA watu walivyojazana vileee....

Yaani kampeni za CCM na CDM na ile nyomiii....

Mapambano ya kina MWAKINYO na wengineo.....

HAKIKA ASHUKURIWE MUUMBA MBINGU NA NCHI...MUNGU PEKEE WA MWANZO NA MWISHO....Umetakasika Umetakasika Umetakasika!!!
Mwenye macho na aone, mwenye masikio na asikie. Ameni.
 
Hakika na mimi siku ya jana 16/11/2020 nimesikiliza taarifa ya habari ya nchini Kenya kupitia CITIZEN Radio, niliogopa Kenya kwa siku hiyo tu walipoteza watu 28, hakika nimeamini Tanzania ni Taifa ambalo Mungu ametuwekea ulinzi wake jamani, tuna kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu.
Kama kenya wangekuwa hawatoi taarifa wala usingeogopa mkuu.
 
Hata kama ipo haitudhuru tumeshaifanya mafua kamasi
 
Hakika na mimi siku ya jana 16/11/2020 nimesikiliza taarifa ya habari ya nchini Kenya kupitia CITIZEN Radio, niliogopa Kenya kwa siku hiyo tu walipoteza watu 28, hakika nimeamini Tanzania ni Taifa ambalo Mungu ametuwekea ulinzi wake jamani, tuna kila sababu ya kuendelea kumshukuru Mungu.
Hao Kenya wanataka Corona relief funding, ile mijamaa ya Kenya ipo kibishara mno, ni minyang’au tu, siku ile Corona relief fund ikifutwa utashangaa na huo ugonjwa unaisha Kenya siku hiyo hiyo, AMINI HIVYO!!!!!
 
Swali ulilojibu sijakuuliza, na nililokuuliza hujalijibu.

Nimekuuliza hivi.

Wewe unakubali Tanzania hakuna mgonjwa wa Corona, hata mmoja?
Naamini yuko mmoja tu, wewe. Hiyo ni imani tu, Inaweza isiwe kweli pia. Hivyo based on that, sikubali kwamba hakuna mgonjwa hata mmoja.
 
Back
Top Bottom