Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Kuna Watanzania wenzetu roho zinawauma sana wakiona mpaka sasa tunakula rehma za maulana kwny kadhia hii ya Corona

Wao lilipokuja la Corona walikuwa upande wa Corona

Waliposogelea Nzige kule Kaskazini wakawa upande wa Nzige

Zikija mvua kubwa za mafuriko wanakuwa upande wa Mafuriko

Wakitokea Wauaji kule Msumbiji wanakuwa upande wa Wauaji, na kibaya zaid wao wanajiona Wazalendo wa kweli kweli wa Nchi yetu
 
Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua
 
Tumewapoteza wapendwa wetu wengi sana na huu ugojwa sababu data zilikuwa zinafichwa na baadae watu waliokuwa wanakufa na huu ugojwa madaktali walitoa ripoti ya mengine yaliyokuwa yanaua

Wewe ndio umethubutu kusema kweli watu wengi wanapotea mno na huu ugonjwa kama hutaambiwa kifua kimebana ghafla utaambiwa homa kali. Bado watu wanasema hakuna corona....... Mungu tuu atuepushe kwa kweli
 
Isiyokuwa na Corona au haijaripoti Corona?

Haya ni mambo mawili tofauti.

Kuna mtu yuko hospitali alikuwa anapewa oxygen namfuatilia kama wamemtoa kwenye oxygen.

Wakikuelewa uniambie wanakwambia isiyokuwa na corona wakati ni nchi isiyoripotiwa kifo cha corona
 
Lissu Katoka huku Bongo kapimwa hana corona, timu ya Taifa ilipofika Turkey na Tunisia wamepimwa hawana corona na kila siku wanachangamana na watu mbali mbali, Kama corona ingekuwepo si wote hao wangeambukizwa?
Lissu na timu ya taifa ni asilimia ngapi ya watu wote wa Tanzania?
 
Habari kama hii kunawatu roho zinawauma yanii!!
ni basi tu awana la kufanya.
 
Back
Top Bottom