Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Tanzania yatajwa kama nchi pekee isiyokuwa na Covid 19 Ulimwenguni

Korona ni upumbvu tu ulio enezwa na wajanja kwenda kwa wajinga (Kiranga ukiwemo)
Ndio maana mjanja mwenzao Magufuli kawashtukia, na kuwaamuru wananchi wake wajiachie tu hakuna ugonjwa hapo.
Thibitisha Mungu yupo, halafu elezea kwa nini hamalizi Corona na magonjwa yote watu waishi kwa amani bila magonjwa.
 
Maiti zilizosemwa zitadondoka barabarani au kuzikwa kwenye mass graves ziko wapi??
Kamuulize aliyesema hivyo, mimi sikuwahi kusema hivyo.

Kwani Kenya watu wanadondoka wakifa barabarani?

Kenya kuna Corona au hakuna?

Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?

Comprehension please.
 
Sasa kama hupimi watu Corona utajuaje huyu anahitaji oxygen kwa sababu ya Corina au la?

Utasemaje Tanzania hakuna watu wenye Corona kama hupimi Corona?
Wakati ule kunatolewa takwimu za vifo vya corona basi tulikuwa tunasikia kauli ya: "marehemu alikuwa na maradhi mengine"

Sasa nikawa najiuliza hivi huyo marehemu kafa kwa corona au kafa kwa hayo maradhi mengine huku akiwa na virusi vya corona?

Madaktari ndio wanajua kuwa huyo mwenye kutumia oxgen anasumbuliwa na nini na ni kwa sababu ya nini,ndio kazi yao.
 
Moja ya matatizo yetu makubwa ni kuwaachia kazi wataalamu.

Wananchi wanatakiwa kufuatilia.

Hata kwenye nchi yenye uwazi, Madaktari huwa wanakosea.

Huko kwenye "amri kutoka juu" ndiyo kabisa wanaweza kuagizwa wasitoe majibu fulani.

Ndiyo maana kuna kitu kama "second opinion" ambapo mtu anaenda kwa daktari mmoja, anapewa majibu, anakuwa hajaridhika, anaenda kuhakiki kwingine.

Bottom line, bila kupima, hatutakiwi kusema Tanzania hatuna Corona.
 
Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?

Yaani sawa sawa sasa hivi uje unambie nikupime Malaria wakati mimi siumwi na sijakwambia kama na hitaji kupimwa.
Kwanini wakina mama kuanzia 35 yrs wanapewa wito wa kupima kansa ya kizazi na matiti wakati hawaumwi wala hawana dalili?
Btw vipimo Vya Jack Ma vilienda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unampimaje mtu ambaye haumwi wala kuonyesha dalili au unapima sababu ulaya wanapima?

Yaani sawa sawa sasa hivi uje unambie nikupime Malaria wakati mimi siumwi na sijakwambia kama na hitaji kupimwa.
Wanaoumwa na kuonesha dalili wanapimwa Covid-19?
 
Kwanini wakina mama kuanzia 35 yrs wanapewa wito wa kupima kansa ya kizazi na matiti wakati hawaumwi wala hawana dalili?
Btw vipimo Vya Jack Ma vilienda wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kansa unaoima kwa hiyari yako kama unaona kabisa mimi nataka kujiridhiisha lkn sio ya kulazimishana pimapima.

Mbona kuna magonjwa mengi tunashauriwa kupima mara kwa mara ila kwa hiyari yako,hulazimishwi hata sisi wanaume kama sikosei huwa tunaambiwa tupime tezi dume tukifikisha miaka 40.Kama si kosei hata Malaria wanashauri kila baada ya miezi sita ni vizuri ukapima ila kwa hiyari yako.

Ninacho shangaa Corona watu wanaikomalia LAZIMA kupima,sasa mimi mwenyewe najiona nipo fiti sijaamua kupima.

Alafu hamna aliyekatazwa kupima,vipimo vipo na vimeboreshwa ukitaka KUPIMA KUJILIZISHA WEWE MWENYEWE KAMA ILIVYO KWA KANSA YA MATITI NENDA KAPIME,ila sio kulazimishana.
 
Kamuulize aliyesema hivyo, mimi sikuwahi kusema hivyo.

Kwani Kenya watu wanadondoka wakifa barabarani?

Kenya kuna Corona au hakuna?

Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?

Comprehension please.
Kenya wana restriction measures ikiwemo kuvaa barakoa, kupaka sanitizer pamoja na partial lockdown..

Sie hatuna chochote, tunajazana viwanjani na kukumbatiana ovyo ovyo na strangers. Hii ingetosha kutoa majibu ya hayo yaliyosemwa kutuhusu!!
 
Wanaoumwa na kuonesha dalili wanapimwa Covid-19?
Wanapimwa au unataka kujua wamepimwa wa ngapi?

Mbona hamulizi mpaka sasa wamepimwa wagonjwa wangapi wa Malaria au Homa ini au HIV magonjwa hatari yanayo wamaliza Wafrika why Corona?
 
Wanapimwa au unataka kujua wamepimwa wa ngapi?

Mbona hamulizi mpaka sasa wamepimwa wagonjwa wangapi wa Malaria au Homa ini au HIV magonjwa hatari yanayo wamaliza Wafrika why Corona?
Taarifa rasmi za serikali zimetolewa lini mara ya mwisho?

Waliopimwa wangapi?

Wangapi wamepatikana na ugonjwa?

Wangapi wameonekana hawana ugonjwa?
 
Kenya wana restriction measures ikiwemo kuvaa barakoa, kupaka sanitizer pamoja na partial lockdown..

Sie hatuna chochote, tunajazana viwanjani na kukumbatiana ovyo ovyo na strangers. Hii ingetosha kutoa majibu ya hayo yaliyosemwa kutuhusu!!
Ni lazima watu kudondoka wakifa barabarani ili nchi iwe na Corona?

Hujajibu swali hili.
 
Utafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwanini watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya, Uganda wote kesi za corona zipo

Wao hawajui kuwa hata wale Nzige kwetu hawakugusa walienda Kenya, Uganda wakafika Kagera wakageuza kwenda India

Laiti hawa nzige wangeenda kwao then kwetu wasingekuja tungejuta a see

Tuendeleee kuomba Mungu
Tuendelee. Kujifukiza
Mungu ni mwema wakati wote
 
Hiyo ndio faida ya nguvu za asili wazee wetu kwa makabila tofauti waliona wakatambika na kufunga
 
Back
Top Bottom