rumplelstiltskin
JF-Expert Member
- Jul 27, 2020
- 233
- 339
Hatimae wazungu wamemuelewa maguUtafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwann watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya ,Uganda wote kesi za corona zipo...
Kivip mkuu , trust me somtyme is a miracle, Lissu amezongwa zongwa na watu wakat wa kampeni tena nchi nzima, lakn amefika ubelgiji amepimwa Hana korona , uwanja wa Taifa watu wanajazana kama kuku lakn nothing newLabda ndo nchi pekee ambayo bado wananchi wake hawajawa binadamu kamili!!
Nmecheka snaaWe are the true Israelites
Taga la kwanza hili...ππHatimae wazungu wamemuelewa magu
Mtaga watasema kazi yake Magufuliπππ
Sio hvyo tu.timu ya taifa imeenda tunisia wachezaj wote waamepimwa hamna hata m1 mwenye koronaKivip mkuu , trust me somtyme is a miracle, Lissu amezongwa zongwa na watu wakat wa kampeni tena nchi nzima, lakn amefika ubelgiji amepimwa Hana korona , uwanja wa Taifa watu wanajazana kama kuku lakn nothing new
Maisha hayana mwenywe unaweza ukawa na ela usiwe na afya nzuri ndomaana watto wa maskini darasani wako vizuri kichwani lakini jirani anasomesha mtto feza na kila siku 0 kama kawa..bahati kwenye maisha ipo...kuna wengne bahati ni sehemu ya maishaUtafiti ambao wazungu itawachukua muda mrefu ni kwann watanzania hawajapata corona na hakuna case yeyote iliyoripotiwa na wakiangalia Kenya ,Uganda wote kesi za corona zipo...
Hata kama wasingemwelewa ila siku zote mwenye akili anafaulu darasani mambo ya kusema una akili alafu kila siku 0 hakuna hiyo...lazima wamwelewe tu na tafiti zao za kijuha ziendeleeTaga la kwanza hili...ππ
Hebu jisome vizuri naona kama milembe inakuhusu hivi!!hata kama wasingemwelewa ila siku zote mwenye akili anafaulu darasani mambo ya kusema una akili alafu kila siku 0 hakuna hiyo...lazima wamwelewe tu na tafiti zao za kijuha ziendelee