Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Wewe jua kinachoangalia ni easy of doing business hayo mengine ni yako
 
Vipi mlinganyo wa hali ya uchumi miongoni mwa hizo nchi ukoje?
 
mzunguko wa hela pia utakuwa unaendana na thamani ya huduma zinazotolewa katika hizo nchi ...kwa hiyo unaweza kukuta watu wa nchi hizo wanakamata pesa nyingi kwa siku hvyo kulipia bando inakuwa kawaida tu
 
Hiyo bado kubwa sana, mwambie mama watu wake bado tunalia maana hali zetu za kiuchumi hazituruhusu kupata hiyo GB 1.
Mwambie mitandao tunayotumia wananyonya data kwa nguvu
 
Hapo umetafuta tu sababu ya kumsifia Hangaya
 
Hiyo bado kubwa sana, mwambie mama watu wake bado tunalia maana hali zetu za kiuchumi hazituruhusu kupata hiyo GB 1.
Mwambie mitandao tunayotumia wananyonya data kwa nguvu

Mama yuko makini ondoa shaka,
 
Yule waziri shemeji wa hangaya unatapatapa mwisho 2025
 
wenzetu mitandai iko poa pia,lakini kwetu utapata gb1 mtandao chengaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…