Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Kimbia mbele rudi nyuma tikisa wenzele,ewena maaa
 
Ndo maana watanzania wengi tumekua wambea maana bei ya bando ipo chini sana.
 
Kenya na southafrica,ndio nchi zilizoendelea kidigitali hapa africa.tanzania ili tufike walipo,itabidi tuongeze tozo tu
 
Ujajibu swali. Soma tena ndio utoe jibu

sasa ningejibu kitu sijasoma? kwa kiasi flan bado hujui uchumi wa dunia unavofanya kazi ndo maaana nkakuuliza unaelewa maaana ya $1 - 2300tsh?
 
sasa ningejibu kitu sijasoma? kwa kiasi flan bado hujui uchumi wa dunia unavofanya kazi ndo maaana nkakuuliza unaelewa maaana ya $1 - 2300tsh?
Ndio ninaelewa. Swali ni je nchi ambayo watu wake wanauwezo wa kuishi juu ya hiyo $ 1/day unahis purchasing power yao itakuwa sawa na nchi ambayo watu wake naeneo mengi naishi chin ya $1 kwa siku had gharama zao zilingane?
 
Uchumi wao unachangia kuuziwa bando bei kubwa
Kuna watu humu wanafikria kama watoto wanaona ni sifa kusifia ata ujinga.

Na sio bundle za internet tu huko ata bidhaa za kawaida kama maji, soda, biscuits nk bei zake utakuta zipo juu kuliko hapa kwetu. Mishahara /vipato vyao navyo utakuta vipo juu ukilinganisha na misharaha/vipato wanavyolipwa wafanyakaz hapa kwetu ata kama kazi zao zinafanana na hao wa ayo mataifa
 
Yani inashangaza! Mtu wa Kenya tu bei ya bundle kwao itakuwa ni juu kuliko kwetu.
 
Ndio ninaelewa. Swali ni je nchi ambayo watu wake wanauwezo wa kuishi juu ya hiyo $ 1/day unahis purchasing power yao itakuwa sawa na nchi ambayo watu wake naeneo mengi naishi chin ya $1 kwa siku had gharama zao zilingane?

Jibu ni NO:
BUT, The average standard rate ya kila gb globally ni mpaka $3 - $4 au na zaidi, Tz ni $0.4- $0.7 per GB, ina maanisha tupo kwenye EQUITY ya huduma, tuseme karibia citizens wengi ni below $1 , hio rate per gb ni within our reach already! so its cheap
 
Bas sio swala la kushukuru serikali pekee bali na watoa huduma kwa kutumia marketing strategy ambayo wanajua inalenga walio wengi na sio wachache na inaonekana ni nafuu lakin sio nafuu bali ni standard kuendana na hali ya uchumi ya watumiaji wa hizo hudumaa . Na hii sio kwa vifurush vya mitandao tu bali ata bidhaa nyingne ambazo zinazalishwa kwa ubora sawa dunia kote(mfano bidhaa za Coca-Cola na peps) hatulingani bei fatilia bei huku na hapa kwetu zitaonekana kama zipo chini ila kiukweli hazipo chini.
 
Daaah kumbe Kuna watu wanunua GB1 kwa Tshs 13,000 hapahapa Africa halafu sisi buku maneno mengiiii,
Samia yuko vizuri 2025 anakura yangu
Kwanini kwenye maendeleo tunapenda kujilinganisha na failures?? Yaani Mauritania ndio ya kucompare na TZ? Kwanini tusijilinganishe na nchi kma Kenya tu na Rwanda ambazo ni immediate neighbors ambao tunashabihiana kidogo??

Hata demokrasia utaskia oooh Gambia huko sijui hamna katiba mpya..... huwa hamtumii realistic examples kabisa.

Kuna nchi mfano Morocco au Misri hiyo dollar moja kuipata ni kma jero tu ya huku so hta wakiuziwa dollar kadhaa bando hawaoni tatizo...... So ukifanya comparison pia angalia vitu kma purchasing powet parity, inflation, interest rates, currency in circulation n.k coz dollar moja hyo hyo thamani yake inatofautiana kati ya nchi na nchi.
 
Huyu Mama kama mwendo ndio huu basi We have The bright future kama tutampa sapoti,
Anajitahidi sana katika Utendaji,
Kumbe bei ya bando iko chini hivi khaaa Watanzania walalamishi,
hahahaha hebu tuambieni gharama za vifurushi zimepanda au zimeshuka? hebu weka takwimu musiba
 
AKILI ZAKO FUPI SANA KIJANA WA LUMUMBA, yaani nchi hii ambayo wananchi wanalalama kila uchao na makodi ya hovyo, balozi zinafungwa wee unahangaika na bando? are you mad bando ni nini for God sake
 

🤣 🤣 🤣 kilichoshusha bei za bando sio mitandao ni kitu kinaitwa MKONGE WA TAIFA: nchi nyingi ukanda huu zna bei ndogo kwa sababu ya tanzania mfano, rwanda, burundi, DRC, zambia & malawi zote znatumia mkonge wa tanzania kufika baharini

- na sio data tu mpaka umeme nchi nyingi znanunua kwetu
 



Uko sahihi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…