Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

Kumbe tumeanza tena kusifiana? Mtatuharibia jamani, chondeee! Iacheni serikali ifanye kazi. Sio kusifiana. Sisi wapiga kurandio waamuzi itakuwa
Wazue kwanza wakuchafua Rais wetu kabla ya hawa wakusifia mkuu
 
===================================
#KAZI IENDELEE KWA KASI &WELEDI ZAIDI

 
CM 177, Tuletee maendeleo ya sgr kwa picha maendeleo ya barabara ya ubungo kibaha ya njia nne na mengineyo yote mazuri ikiwapo na maendeleo ya stigler gorge kwa picha itapendeza sana, KILAKITU NI MKAKATI
 
Click to expand...
Viva Samia Viva

Mimi ni chadema ila Samia dam
 
Mbona haya hamkuyasema before
 
Hii inatokana na uchumi wa nchi husika wewe usiwe mjinga mauritian uchumi wake ni mkubwa kuliko wa RmTanzania Poor You.
 
Ila unaweza kuta mkenya kanunua GB1 na mtanzania GB5 na matumizi yakawa sawa na GB5 za mtanzania alizopewa na tigo zikawah kuisha
 
Ninafanya kazi na watu wa mataifa mbalimbali, ulicho kisema ni kweli tupu wala hakuna uongo hapo but tukubaliane kwamba ujumbe wako una namna ya kujipendekeza kwa mama cause sijaona uhusiano wa unafuu hu wa gharama za bando na mama, mama ana miezi 6 au 7 Ikulu, bei za bando tunazo miaka kadhaa zikiwa nafuu hivo hivo, anaingiaje hapo kwenye hizo pongezi? Hebu tuache kuishi kinafiki nafiki namna hiyo, tufanye kazi. Kama kila mtu atakae jipendekeza anafikiria kuteuliwa, mama atateua wangapi? Tufanyeni kazi
 
Unajua Rais Samia amejenga madarasa elfu 18?

Endelea kumwombea
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,

_______
 
Gharama ndogo kwa vigezo vyao au vigezo vyetu sisi wananchi? Hakuna mtu wa nje mwenye haki ya kutueleza cheap ni nini na expensive ni nini maana sisi ndo tunaoishi uchumi wa nchi hii
Rais Samia ameongeza wanafunzi 29,000 kwenye mikopo ya elimu ya juu HESLB kwa miezi sita tu,

miaka mitano mfululizo iliyopita tulifanikiwa wanafunzi wapya 32,000

Unaisemaje kasi ya Rais Samia?
 
Ukweli mtupu hapa. Toka 2013 naanza kwenda Uganda nakumbuka nilikuta kwao bando gharama sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…