Tanzania yatajwa kati ya nchi kumi zenye gharama ndogo sana ya bando Afrika, Viva Samia | Viva Tanzania

👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Kutoka Mwaka 2015/16 hadi 2020/21 pesa iliyoongezwa bodi ya mikopo ilikuwa Tshs 101BL na wanafunzi wapya walikuwa elfu 32 ,

Awamu ya sita kwa miezi sita pesa iliyoongezwa kwenye bodi hiyohiyo ni Tsh 120b na wanafunzi wapya ni elfu 29

Budget ya HESLB kwa mwaka 2015/16 ilikuwa 348.7B kwa wanafunzi 98,300

Budget ya HESLB mwaka 2020/21 ilifikia 450B kwa wanafunzi 130,883

_________________________

Awamu ya sita kwa miezi sita imeongeza budget kutoka 450B za awali hadi 570B za sasa na idadi ya wanufaika imeongezeka na kufikia 160,000.

#Hoja hapa ni muda wa matokeo

#HAKUNA KAMA SAMIA
 
awesome H.E Samia
 
Hii kali Sana aise
 
Hongera sana Mhe Rais
 
expand...
Safi Sana Rais wetu, We proud on you
 
Hongera Rais Samia
 
Hongera sana Rais Samia,
 
Hongera sana Rais Samia
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia😍😍
 
Leo ndio nimeona umuhimu wa Safari za nje za Rais,

Wawekezaji 111 kwa mpigo huku 40 niwawekwzaji wakubwa kabisa,

VIVA SAMIA VIVA||VIVA TANZANIA VIVA
 
Huyu jamaa anaongea ki ushabiki saaana... anashindwa kuelewa hizo nchi alizozitaja uchumi wake ni mkubwa kuliko uchumi wetu. Kwa hyo kenya au mauritian ni kawaida maana uchumi wao ni mkubwa.
 
#happy birthday Tanganyika
 
Wewe uliyeandika huu Uzi kibaraka wa mbogamboga sasahivi tarehe 12/01/2022 bando la GB 1 ni sawa na hiyo hela yako 1,600? Kama jibu ni hapana je sasahivi Samia kakuchukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…