Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Hii ni dalili kwamba nchi yetu inaweza kuwa haina usalama wa kutosha haswa kwenye ishu za ugaidi au kuna watu wanaotambulika kama Watanzania lakini nyuma ya pazia wakawa wanajihusisha na mienendo ya ugaidi...
 
Wewe ujuaji mwingi wakati hujui. ... kama hicho ndio kigezo Mexico ingekuwa kwenyw hiyo BAN
Wewe ndio haujua kabisa. Census ya miaka 10 iliyopita, watz walisajiliwa 20,038. Hao ni US citizens. Ambao wanajificha weka wengine 20,000. Miaka hio hadi leo a decade later, tutakuwa tunazidi 50,000.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ujuaji mwingi wakati hujui. ... kama hicho ndio kigezo Mexico ingekuwa kwenyw hiyo BAN

Sent using Jamii Forums mobile app
Mexico inashirikiana na USA sana kurudisha watu wao. USA wnachotaka ni Tz govt isaidie kurudisha watz kwao. Hii ilifanywa kwa nchi kama Gambia, Cambodia nk. Waliposhirikiana vizuri, basi restrictions zikaondolewa. Hakuna sababu nyingine nakuambia. Wewe unafikiria sababu ni ipi kwa mawazo yako?
 

Paskali; unaamini kabisa kuwa nchi hii huwa unafanyika uchaguzi?
 
Na usishangae kuambiwa unapoteza uma hii ndio Tanzania kilamtu msomi hewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Watarudi na daraja la Zanzibar to Dar? Diaspora wa USA [emoji631] kwisha
 
Mbona ushahidi upo Saudi hakuna demokrasia na Raia wasioukuwa na hatia wanachinjwa na kukatwakatwa ndani ya ubalozi na hamna vikwazo.
 
Ni akili za kitoto kudhani eti watu wengine ndani ya taifa lao hawastahili kuongoza hii nchi. Kama hii nchi inaweza kuongozwa na watu ambao kwanza walisoma diploma za ualimu, anashindwaje mtu ambaye alifaulu moja kwa moja kwenda Chuo. Tusilete ubaguzi kwenye uongozi.
 
Kwa maana hiyo hata ubalozi wetu huku UN utafungwa?
Vipi kuhusu ubalozi wao Tanzania utaendelea kuwepo au?
 
Mkuu hivi hii Saga la Finger print liinashinikizo la kutoka Washington?.

Without question ni shinikizo la Washington...

Hata leo kwenye hiyo taarifa wamesema:

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.
REUTERS
JAN 22, 2020


Hata mashine za vidole JK Nyerere airport walitupa wao bure! Kinawauma sana kwamba kuna watu duniani hawako kwenye ma system kama ya kwao ya kumjua kila mtu kwa namba ya hifadhi ya jamii, Social Security Number, sisi tunasema namba ya NIDA.

Mmarekani akifika airport (awe anatoka au anaingia) wana punch in finger print na social security namba (NIDA) yako, computer inamwaga tambara lako hata kama uliwahi kumshika titi mwanafunzi mwenzio udogoni, au uliwahi kukutwa njiani na chupa ya bia imefunguliwa, open container. Zamani bongo hapa tulikuwa tunaambiwa mashuleni ukifanya ajizi kubwa unaingizwa kwenye "black book la wizara." Kumbe fixi tupu, hakuna anaenyimwa kazi au Visa au pango la nyumba ukubwani kwa sababu ya ma rekodi ya 1972 huku third world huku.

That reality, that freedom we enjoy while bracing bone-crushing poverty in the back alleys of the world, is eating them alive.
 
Paskali; unaamini kabisa kuwa nchi hii huwa unafanyika uchaguzi?
Kila siku humu mimi nazungumzia kuhusu igizo la uchaguzi.
P
 
Toa dukuduku mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazungu wamechoka kuona wapinzani wanabambikiwa kesi kila kukicha uonevu umezidi
Awamu hii upinzani unachukuliwa kama kundi la alshababu, ISIS na mengine mengi ya kihalifu, ndio maana uonevu umeshamiri sana.

Hivi tungekuwa kwa akina Trump si wengesha waangamiza akina Hillary Clinton kwa bomu la tindikali au wangesambaratisha wanachama wake kwa nuclear!!

Upinzani ni mtazamo tu na kutopata fulsa ya kishika Dolla, wanasahau kwamba wakitawala wapinzani leo hiyo CCM nao watakuwa wapinzani tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.

Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Masiasa ya kipumbavu ya CCM na jpm ndio chanzo kikuu.
 
Pascal huoni kwamba jitihada zozote za kujenga upinzani imara ni mchezo wa hatari sana kwa wahusika hasa nyakati hizi? Ni kama ilivokua hatari kwa jitihada zozote za kujenga vyombo vya habari na wanahabari huru hasa za uchunguzi

Inashangaza kunakua na maelezo ya vyama/upinzani dhaifu na zikienezwa na wanahabari weledi na wazoefu kama wewe huku kiuhalisia hamuelezi mazingira ya sasa yalivyokua magumu kufanya siasa
 
United States.

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.

Acheni uzushi, sababu hizi hapa hayo mengine mnajitungia tu

acheni mzee baba apige kazi, nani anataka kwenda Marekani? Tutabanana hapa hapa nchini kwetu kama kusafiri tutaenda Dubai na China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…