Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndio haujua kabisa. Census ya miaka 10 iliyopita, watz walisajiliwa 20,038. Hao ni US citizens. Ambao wanajificha weka wengine 20,000. Miaka hio hadi leo a decade later, tutakuwa tunazidi 50,000.
Mexico inashirikiana na USA sana kurudisha watu wao. USA wnachotaka ni Tz govt isaidie kurudisha watz kwao. Hii ilifanywa kwa nchi kama Gambia, Cambodia nk. Waliposhirikiana vizuri, basi restrictions zikaondolewa. Hakuna sababu nyingine nakuambia. Wewe unafikiria sababu ni ipi kwa mawazo yako?Wewe ujuaji mwingi wakati hujui. ... kama hicho ndio kigezo Mexico ingekuwa kwenyw hiyo BAN
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Manelezu, kwanza naunga mkono hoja, ili tuendelee tunahitaji taasisi imara, strong institutions and not strong people na hili nami nililisema
Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!
Wanabodi, Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu. Ili Tanzania tuendelee kwa kupata maendeleo ya kweli, na sio maendeleo kiini macho, tunahitaji kujenga taasisi Imara ( strong institutions), zenye mifumo imara, ( an...www.jamiiforums.com
Sasa in absence of strong opposition, watu wachague nini zaidi ya kuchagua kilichopo?.
P
Na usishangae kuambiwa unapoteza uma hii ndio Tanzania kilamtu msomi hewaTatizo kubwa unyanyasaji wapinzani na kubana uhuru wa habari.
Watu wanapotea hahuna anayejali, eti mtu kajinyonga eti wanajiteka.
Watu wanabambikwa kesi eti wahujumu uchumi kama wafanya biashara.
Barozi alimtembelea mke wa Azory, kesi za kubambika mahakani wanaziona.
Tusijifanye vipofu dhuluma na uonezi vinaendelea, Lissu kapigwa ma risasi kama mbwa hakuna anayejali.
Watu wamekuwa wanafiki nawakatili haijawahi kutokea!!
USA WANAONA YOTE HAYO!!
Niwape sababu ninayoijua mimi. Kuna waTz wengi sana wanatakiwa kurudishwa Tz (kuwa deported) from USA. Kwa miaka mingi, ubalozi wa Tz umekuwa unagoma kushirikiana na US govt kurudisha hao watu. Manake ubalozi unakataa kuwapa travel document nk sababu bila hizo hauwezi safirishwa na kurudishwa kwenu. Wanataka kuibana serikali ya Tz ili isaidie kuwarudisha hao watu bongo. Tuandalieni vibarua jamani. Bongo sasa tunaletwa kwa lazima.
Mbona ushahidi upo Saudi hakuna demokrasia na Raia wasioukuwa na hatia wanachinjwa na kukatwakatwa ndani ya ubalozi na hamna vikwazo.Tatizo kubwa unyanyasaji wapinzani na kubana uhuru wa habari.
Watu wanapotea hahuna anayejali, eti mtu kajinyonga eti wanajiteka.
Watu wanabambikwa kesi eti wahujumu uchumi kama wafanya biashara.
Barozi alimtembelea mke wa Azory, kesi za kubambika mahakani wanaziona.
Tusijifanye vipofu dhuluma na uonezi vinaendelea, Lissu kapigwa ma risasi kama mbwa hakuna anayejali.
Watu wamekuwa wanafiki nawakatili haijawahi kutokea!!
USA WANAONA YOTE HAYO!!
Ni akili za kitoto kudhani eti watu wengine ndani ya taifa lao hawastahili kuongoza hii nchi. Kama hii nchi inaweza kuongozwa na watu ambao kwanza walisoma diploma za ualimu, anashindwaje mtu ambaye alifaulu moja kwa moja kwenda Chuo. Tusilete ubaguzi kwenye uongozi.Hakuna kitu kama hicho, na hapa hili tulilizungumza
US/EU Walimtoa Saadam, Ghadafi na Mugabe? Je, wanapanga kumtoa Rais Magufuli madarakani? Watanzania wazalendo tutakubali?
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali, kama ni kweli US/EU walimtoa Saadam Hussein kwa uongo wa kusaka WMD, kisha wakamtoa Ghadafi madarakani kufuatia kuwaunganisha Waafrika, na Mugabe wakamtoa kwa ku over stay?, kufuatia JPM anavyotetea rasilimali za nchi yetu tusiendelee kunyonywa, kufisadiwa...www.jamiiforums.com
Tatizo kwa upinzani wa Tanzania, hata kama ni kweli CCM ime bweteka kutokana na overstays for too much lakini kwa Tanzania kuna wapinzani gani wa kustahili kupewa nchi?.
P
Sasa si tutakufa kama NziHii ni warning sign kuwa miradi ya misaada kama vile zile ARV na mingine inaweza kuwa mashakani sasa.
Mkuu hivi hii Saga la Finger print liinashinikizo la kutoka Washington?.
Kila siku humu mimi nazungumzia kuhusu igizo la uchaguzi.Paskali; unaamini kabisa kuwa nchi hii huwa unafanyika uchaguzi?
Toa dukuduku mkuuAcheni kuhofia sana. Mimi naishi USA, najua sababu kwa nini hili linaweza tokea. Lakini sababu sitaisema sasa hivi kutokana na kwamba bado haijawa official.
Manake USA govt inafikiria kuiweka Tanzania katika nchi hizo, lakini bado hilo halijafanyika na INAWEZEKANA LISIFANYIKE. Kama likifanyika officially, tutakutana tena na nitasema sababu.
Awamu hii upinzani unachukuliwa kama kundi la alshababu, ISIS na mengine mengi ya kihalifu, ndio maana uonevu umeshamiri sana.Wazungu wamechoka kuona wapinzani wanabambikiwa kesi kila kukicha uonevu umezidi
Masiasa ya kipumbavu ya CCM na jpm ndio chanzo kikuu.Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.
Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Na athari za hiyo ban ni kubwa kuliko itavyojibiwa kwa propoganda za kisiasa.Hii ni warning sign kuwa miradi ya misaada kama vile zile ARV na mingine inaweza kuwa mashakani sasa.
Pascal huoni kwamba jitihada zozote za kujenga upinzani imara ni mchezo wa hatari sana kwa wahusika hasa nyakati hizi? Ni kama ilivokua hatari kwa jitihada zozote za kujenga vyombo vya habari na wanahabari huru hasa za uchunguziMkuu Manelezu, kwanza naunga mkono hoja, ili tuendelee tunahitaji taasisi imara, strong institutions and not strong people na hili nami nililisema
Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!
Wanabodi, Sisi Wana mitandao tumeshauriwa kuitumia mitandao kulisaidia taifa letu kuendelea, hivyo huu ni ushauri wangu. Ili Tanzania tuendelee kwa kupata maendeleo ya kweli, na sio maendeleo kiini macho, tunahitaji kujenga taasisi Imara ( strong institutions), zenye mifumo imara, ( an...www.jamiiforums.com
Sasa in absence of strong opposition, watu wachague nini zaidi ya kuchagua kilichopo?.
P
[emoji23][emoji23][emoji23] kikwazo gani TZ itamwekea marekani kimsumbue? Hebu tusivunjiane mbavu bwana tuwe serious saa zingine[emoji23]Akituwekea vikwanzo na sisi tunamwekea vikwazo asitubabaishe tuna marafiki chungu mzima dunia hii. Kwani bila marekani hatuwezi kuishi?
Sent using Jamii Forums mobile app