Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani


Kuwa huru, zitaje tu mkuu utuelimishe na wengine
 
Kurzweil,
Zote hizo zinatawaliwa kidikteta zina uvunjifu mkubwa Wa haki za binadamu na utawala Wa sheria
 
Kama ni hivyo kwa nini Kenya haijawahi kuwekwa kwenye hiyo list wakati kenya ni hatari zaidi na wanashambuliwa na magaidi mara kwa mara ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kutuwekea wote vikwazo wangeanza na familia za wasababishi wasiruhusiwe kuingia ulaya walla marekani wengine hatuna hatia
 
Pascal kigeugeu...maandishi yake ni kama kinyonga aishivo..anaongelea upinzani dhaifu haongelei uonevu kwao...journalism is a displine lakini kwa sisi watu weusi wakati mwingine ni biashara!!!Inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosa ajira sio sababu ya kuwa gaidi
Wana ma engineer, madokta wameacha kazi nzuri tu kwa ajili ya kwenda kuua
Ni roho ya uuwaji i ndani mwao thus wanaungana na magaidi na si ishu ya ukosefu Wa ajira.Kumbuka magaidi awapiganii dini bali maslai ya kidunia kwa kujifichia kwenye mgongo Wa dini kupitia dini kule ndo rahisi kuwapata waliovurugwa kiakili
 
Sababu kubwa ni kukataa ushoga...

Mnapenda kuwaza vitu virahisi sana, nyie mkiwa mashoga wao wanapata faida gani? So Marekani hakuna kitu kingine ambacho kinahitaji kutoka Tanzania zaidi ushoga tu
 
Rubbish kun uhusiano vip n Visa???????
Na ni sasa unamuuliza hayo? Mie au hao
Diplomatic passports hazizuiliwi? Nani kakudanganya? Wakiweka zuio tena hao ndio wana hali mbaya zaidi
 
Lu-ma-ga,
Eti watanzania wametorokea Iraq na Iran ,Mara sijui Saudi Arabia,Mara sijui madereva,
Hivi unafikiri humu wamo vilaza au?
 
Na ndio wataanza nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa na wazo kwann USA na UN wasibuni technology zitakazoweza washambulia wababe Wa kivita,wakuu Wa ugaidi,madikteta kupitia drones mfano Wa nzi,mbu,nk ili ziwadunge ni heri mmoja afe ili kuiokoa dunia na gharama za kuhudumia wakimbizi watokanao na vita au umasikini unaosababishwa na wachache au mtu aliyekosa malezi bora utotoni baada ya mzazi kuzembea kwenye malezi.

Hivyo kupelekea kuwa dikteta au mbabe wa kivita kama savimbi,fode sanko,kim,Joseph konny,nk sampuli hizi sababu ya utapiamlo Wa malezi utotoni wamepelekea dunia kupata hasara ya kuhudumia wakimbizi tungeokoa Pesa nyingi kuliko kuhudumia wakimbizi zingetumika kugharamia mambo mengine ya msingi mfano afya,elimu,mazingira,tafiti mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…