Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Acheni kuhofia sana. Mimi naishi USA, najua sababu kwa nini hili linaweza tokea. Lakini sababu sitaisema sasa hivi kutokana na kwamba bado haijawa official.

Manake USA govt inafikiria kuiweka Tanzania katika nchi hizo, lakini bado hilo halijafanyika na INAWEZEKANA LISIFANYIKE. Kama likifanyika officially, tutakutana tena na nitasema sababu.

Kuwa huru, zitaje tu mkuu utuelimishe na wengine
 
Acha ramli,mbona sababu imeelezwa hapo kuwa ni juu ya harakati za kuoambana na ugaidi wewe unakuja na nyimbo zako za demokrasia,wapinzani bwana kwenu ninyi demokrasia ni kuachwa huru mtukane matusi watu ? Eti uminywaji wa demokrasia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni hivyo kwa nini Kenya haijawahi kuwekwa kwenye hiyo list wakati kenya ni hatari zaidi na wanashambuliwa na magaidi mara kwa mara ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kutuwekea wote vikwazo wangeanza na familia za wasababishi wasiruhusiwe kuingia ulaya walla marekani wengine hatuna hatia
 
Pascal kigeugeu...maandishi yake ni kama kinyonga aishivo..anaongelea upinzani dhaifu haongelei uonevu kwao...journalism is a displine lakini kwa sisi watu weusi wakati mwingine ni biashara!!!Inauma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kukosa ajira sio sababu ya kuwa gaidi
Wana ma engineer, madokta wameacha kazi nzuri tu kwa ajili ya kwenda kuua
Ni roho ya uuwaji i ndani mwao thus wanaungana na magaidi na si ishu ya ukosefu Wa ajira.Kumbuka magaidi awapiganii dini bali maslai ya kidunia kwa kujifichia kwenye mgongo Wa dini kupitia dini kule ndo rahisi kuwapata waliovurugwa kiakili
 
Sababu kubwa ni kukataa ushoga...

Mnapenda kuwaza vitu virahisi sana, nyie mkiwa mashoga wao wanapata faida gani? So Marekani hakuna kitu kingine ambacho kinahitaji kutoka Tanzania zaidi ushoga tu
 
Rubbish kun uhusiano vip n Visa???????
Na ni sasa unamuuliza hayo? Mie au hao
Tatizo ni kwamba hii ban itawaathiri waminywaji na sio waminyaji wa demokrasia. Wenye mamlaka wao wana diplomatic passport visa zao wala hazitakataliwa....tutakao onja joto ya jiwe ni wewe na mimi na mipassport yetu ya buluuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Diplomatic passports hazizuiliwi? Nani kakudanganya? Wakiweka zuio tena hao ndio wana hali mbaya zaidi
 
Lu-ma-ga,
Eti watanzania wametorokea Iraq na Iran ,Mara sijui Saudi Arabia,Mara sijui madereva,
Hivi unafikiri humu wamo vilaza au?
 
Na ndio wataanza nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilikuwa na wazo kwann USA na UN wasibuni technology zitakazoweza washambulia wababe Wa kivita,wakuu Wa ugaidi,madikteta kupitia drones mfano Wa nzi,mbu,nk ili ziwadunge ni heri mmoja afe ili kuiokoa dunia na gharama za kuhudumia wakimbizi watokanao na vita au umasikini unaosababishwa na wachache au mtu aliyekosa malezi bora utotoni baada ya mzazi kuzembea kwenye malezi.

Hivyo kupelekea kuwa dikteta au mbabe wa kivita kama savimbi,fode sanko,kim,Joseph konny,nk sampuli hizi sababu ya utapiamlo Wa malezi utotoni wamepelekea dunia kupata hasara ya kuhudumia wakimbizi tungeokoa Pesa nyingi kuliko kuhudumia wakimbizi zingetumika kugharamia mambo mengine ya msingi mfano afya,elimu,mazingira,tafiti mbalimbali.
 
Back
Top Bottom