Haya masuala ya kusoma Vichwa vya habari na kuhitimisha ni tatizo lenu kuu! Soma hii kwanzaWatanzania waombwe kura, kwani sasa hivi kuna uchaguzi au mkulu ameagiza wanaccm wapite bila kupingwa? Totoa Utetezi mwingine ila sio wa uchaguzi maana huo haupo.
Wala sio serious issue kama ufikiriavyo Mkuu. wewe na mimi tutaendelea kwenda na Marekani kama kawaida ila wao wenye mamlaka yao ndio si ruhusa kuingiza pua zao Marekani. Sasa wananchi wataathirika vipi?Hili suala ni pana na lina madhara makubwa sana kiuchumi,raia ndio wa kawaida wanaoumia.viongozi walioko madarakan wajitokeze kulizungumzia,nje ya hapo msibaki mnasema mabeberu wanatuonea kumbe viongzi wetu ndio wametusababishia kufika hapa.kwanini si kipindi cha nyuma hatukuwekewa vikwazo,why now?they have to come with critical facts wasitupe sababu za kisiasa.this is very seriously issue...
Hata kama anaishi nje ya nchi ndugu zake na wanaukoo si tunao huku? Vikwazo vya kiuchumi havijawahi kuwa na faida yo yote kwa mtu wa kawaida. Na walengwa mara nyingi wala huwa haviwagusi.Labda kama unaishi nje ya nchi ila ni mjinga tu atakayesupport vikwazo vya kiuchumi. Kama kuna mapungufu ipo namna nyingine.
Wamarekani version ya ya demokrasia haijulikaniWala sio ushoga, ni upumbavu unaofanywa na mtu mmoja kukandamiza demokrasia
Kwa hiyo unapenda mashoga watambe?Bashite amechangia kwenye hili pia kwa kauli zake za uchochezi wa mashoga kukamatwa. Ni ukiukaji wa haki za binadamu na ndiyo maana wamemnyima viza. Na kama walivyosema watawanyima pia viongozi wengine viza kwa kuwatesha wapinzani kwa haki zao za msingi za kikatiba.
Hujui uandikachoTanzania inahitaji vikwazo vya kiuchumi na kutengwa na mataifa mbalimbali ya ulimwengu huu.
Travel ban kama itakuwa kwa some indivifuals basi iwe na kwa watoto na familia zao kama wako katika mfumo mmoja na iwe extended na EU countries basi litakuwa pigo tosha hilo. Mimi nashangaa namuona DAB anajikoga kwenye mitandao akiwa US, wanampaje visa mtu kama yule?Hata kama anaishi nje ya nchi ndugu zake na wanaukoo si tunao huku? Vikwazo vya kiuchumi havijawahi kuwa na faida yo yote kwa mtu wa kawaida. Na walengwa mara nyingi wala huwa haviwagusi.
Harafu kesho mkawaombe watanzania kura eti mpewe nchi kwa akili hizi
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndipo wananchi watadai nchi yao na wakuu watapata joto ya jiwe!!!Mkuu tukiwekewa vikwazo vya kiuchumi, tutakaoteseka ni sisi wananchi wa kawaida sio jiwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa usilete utoto wako. Haya ni mambo serious na nyinyi ndio mnapigwa ban sio sisi. Sisi tunawaonea huruma tu kama ndugu zetu. Geza Ulole joto la jiweHuu ni uonevu kwa tz ilitakiwa Kenya siyo tz maana kdf walikimbia kambi na kuacha majeshi ya marekani kupigana pekeyao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kisa afanye atakalo bila kufuata shuruti?! Kwa akili hizi kweli tutapata ukinzani wa kisiasa unaojielewa kweli?!Umetumia kiungo gani kuandika upuuzi huu.