Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Watanzania waombwe kura, kwani sasa hivi kuna uchaguzi au mkulu ameagiza wanaccm wapite bila kupingwa? Totoa Utetezi mwingine ila sio wa uchaguzi maana huo haupo.
Haya masuala ya kusoma Vichwa vya habari na kuhitimisha ni tatizo lenu kuu! Soma hii kwanza

 
Hili suala ni pana na lina madhara makubwa sana kiuchumi,raia ndio wa kawaida wanaoumia.viongozi walioko madarakan wajitokeze kulizungumzia, nje ya hapo msibaki mnasema mabeberu wanatuonea kumbe viongzi wetu ndio wametusababishia kufika hapa.kwanini si kipindi cha nyuma hatukuwekewa vikwazo,why now?they have to come with critical facts wasitupe sababu za kisiasa.this is very seriously issue...
 
Hili suala ni pana na lina madhara makubwa sana kiuchumi,raia ndio wa kawaida wanaoumia.viongozi walioko madarakan wajitokeze kulizungumzia,nje ya hapo msibaki mnasema mabeberu wanatuonea kumbe viongzi wetu ndio wametusababishia kufika hapa.kwanini si kipindi cha nyuma hatukuwekewa vikwazo,why now?they have to come with critical facts wasitupe sababu za kisiasa.this is very seriously issue...
Wala sio serious issue kama ufikiriavyo Mkuu. wewe na mimi tutaendelea kwenda na Marekani kama kawaida ila wao wenye mamlaka yao ndio si ruhusa kuingiza pua zao Marekani. Sasa wananchi wataathirika vipi?
Sema kama uongozi wa Tanzania utaamua kufika mbali na kujibu mapigo kwa kumtetemesha barozi wa marekani hapo ndio tutakuwa tunatafuta mengine sasa.
 
Labda kama unaishi nje ya nchi ila ni mjinga tu atakayesupport vikwazo vya kiuchumi. Kama kuna mapungufu ipo namna nyingine.
Hata kama anaishi nje ya nchi ndugu zake na wanaukoo si tunao huku? Vikwazo vya kiuchumi havijawahi kuwa na faida yo yote kwa mtu wa kawaida. Na walengwa mara nyingi wala huwa haviwagusi.
 
Wala sio ushoga, ni upumbavu unaofanywa na mtu mmoja kukandamiza demokrasia
Wamarekani version ya ya demokrasia haijulikani
Hivi saudi arabia ushasikia watu wanapiga kura?mbona hawajawekewa vikwazo?
Huo ndio ubeberu,kujifanya watemi na waweke tu vikwazo,Trump akimaliza muda wake wataondoa tu
 
Bashite amechangia kwenye hili pia kwa kauli zake za uchochezi wa mashoga kukamatwa. Ni ukiukaji wa haki za binadamu na ndiyo maana wamemnyima viza. Na kama walivyosema watawanyima pia viongozi wengine viza kwa kuwatesha wapinzani kwa haki zao za msingi za kikatiba.
Kwa hiyo unapenda mashoga watambe?
 
Mabalozi ni majasusi wa nchi zao ni watu wanaotizama maslahi ya nchi zao kawaida wanapeleka wanachokiona. Juzi katika mkutano wa mabalozi na Rais balozi wa USA wala hakuvaa headphones alikuwa anasikiliza kiswahili vizuri tu inakuonesha yule mama anajuwa kila kitu kinachoendelea hapo katika report yake katuchafua tu vibaya.

kuhusu swali laki ubalozi utabaki kama kawaida kazi zao ni nyingi sio mambo ya visa tu ingekuwa visa tu mbona nchi nyingi ni online visa wako hapa kwa mambo mengi tu kwa hiyo watabaki sana tu kama wa kwetu atakavyobaki USA.
 
Tanzania inahitaji vikwazo vya kiuchumi na kutengwa na mataifa mbalimbali ya ulimwengu huu.
Hujui uandikacho
Mpaka nchi iwekewe vikwazo lazima wajiridhishe kwamba maslahi ya makampuni yao hayataathirika
Marekani,canada na uingereza ndio wanaoongoza kwa uwekezaji,kuweka vikwazo kutamaanisha kuyaondoa makampuni hayo
Travel ban kwao ndio adhabu kali na juu kwa nchi kama Tanzania,vikwazo vya uchumi sio jambo la kukurupuka
 
Hata kama anaishi nje ya nchi ndugu zake na wanaukoo si tunao huku? Vikwazo vya kiuchumi havijawahi kuwa na faida yo yote kwa mtu wa kawaida. Na walengwa mara nyingi wala huwa haviwagusi.
Travel ban kama itakuwa kwa some indivifuals basi iwe na kwa watoto na familia zao kama wako katika mfumo mmoja na iwe extended na EU countries basi litakuwa pigo tosha hilo. Mimi nashangaa namuona DAB anajikoga kwenye mitandao akiwa US, wanampaje visa mtu kama yule?
 
Harafu kesho mkawaombe watanzania kura eti mpewe nchi kwa akili hizi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app

Makusudio ya Vikwazo vutavyowekwa Ni kutaka kuwaamsha watz wamtguafute mchawi wa matatizo wanayoyapitia sababu hasa ni nani. Sasa kama vikwazo hivi tutawekewa, ni wazi fisiem itaadhibiwa na wananchi kupitia kura.
Kwani kuipigia kura fisiem ni inamaana wanakubali vikwazo viendelee,

Na wakitokea watz kuipigia kura fisiem na kuipa ushindi nitaungana na wale wanaosema kuwa mccm yatosha kuwepo ktk rekodi ya maajabu ya dunia.
 
Daniel Agger,
Tutaangamia usiombe vikwazo vya kiuchumi...haya majitu yenyew hayatapata shida hapa ndo siwaelew marekan wanashindwa nin kufocus na haya maviongoz?Kwa sabab vikwazo vya kiuchumi vinawaaathiri wananchi na sio haya maviongoz mabinafs.Sema yote lakin usiombe economic sanctions
 
Back
Top Bottom