Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Tanzania yatajwa kuwa miongoni mwa nchi 7 zinazotarajiwa kuwekewa vikwazo vya kuingia Marekani

Hatutaki mashoga, sauti ya RC kimbelembele ilisikika. Tumezuia line za watu na vitambulisho vya taifa, kazi bure bado kuna majanga. Mawaziri wetu ni wapenda mipasho tu, sawa kabisa.

Hatuwakagui kiundani wanaosafiri kwenda USA, bado majangiri wanapitisha mengi. Uzamiaji. Nchi yetu ina wa ile dini... wengi.
Kwa vyovyote mbinyo wa demokrasia uliotamalaki na utawala mbovu kama huu wa vibwetere wa bongo ndiyo sababu za vikwazo hivyo. 'Kuukataa ushoga' itakuwa kisingizio cha wanasiasa uchwara wa CCM mafisadi wa mali amali na utu wa Watanzania. Chini ya utawala wa Trump ushoga na usagaji umepigwa vita na madhara yake kuzigusa nchi nyingi ikiwemo Tanzania. Trump amefuta ruzuku zote katika miradi ya uzazi wa mpango, ushoga na usagaji na sasa gharama hizo zinabebwa na nchi husika. Kwa hiyo kusingizia eti vikwazo vitakuwa vinasababishwa na kuukataa ushoga ni uhayawani!
 
chonde chonde hivyo vikwazo vya kiuchumi tafadhali sana visihusishe uingizwaji wa kondom nchini maana dah mabaharia watazama,
tumeshindwa hata kuwa na kiwanda ya ndomu
 
Ni sahihi! Nchi zinazofadhili ugaidi wa kuteka watu na kupoteza watu ni sahihi ziwekewe vikwazo!
 
Serikali ya Marekani chini ya Rais Mtata, Donald Trump imetangaza kuwa iko mbioni kuziongeza nchi nyingine 7 kwenye orodha ya nchi ambazo Wananchi wake watawekewa vikwazo vya kuingia nchini humo (Marekani)

Tanzania imetajwa pamoja na nchi za Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria na Sudan

Serikali ya Tanzania chini ya Rais Magufuli nini kimetokea? Hadi tufikiriwe kuwekewa vikwazo?

Au Marekani wanatuonea wivu tu?


========

(Reuters) - The Trump administration is planning to add seven countries - Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania - to its travel ban list, U.S. media reports said on Tuesday.

Some countries will face bans only on some visa categories, the Wall Street Journal reported. The list of countries was not final and could yet change, website Politico said.

U.S. President Donald Trump said in an interview with the Journal that he was considering adding countries to the travel ban, but declined to state which ones. Politico said an announcement was expected as early as Monday.

The move is likely to sour ties between the United States and the countries affected under the expanded ban.

Nigeria, for example, Africa's largest economy and most populous country, is a U.S. anti-terrorism partner and has a large diaspora residing in the United States.

A senior Trump administration official said that countries that failed to comply with security requirements, including biometrics, information-sharing and counter-terrorism measures, faced the risk of limitations on U.S. immigration.

The Department of Homeland Security did not immediately respond to requests for comment. The State Department declined to comment.

Under the current version of the ban, citizens of Iran, Libya, North Korea, Somalia, Syria and Yemen, as well as some Venezuelan officials and their relatives are blocked from obtaining a large range of U.S. immigrant and non-immigrant visas.

Chad was previously covered under the ban but was removed in April 2018.

Citizens of the countries can apply for waivers to the ban, but they are exceedingly rare.

(Reporting by Makini Brice; Additional reporting by Arshad Mohammad, Steve Holland and Humeyra Pamuk in San Jose, Costa Rica; Editing by Mohammad Zargham and Tom Brown)
Kwakua watu wengi watanzania sio wafatiliaji mtawadanganya sababu inayo taka kupelekea watanzania kuzuiwa kuingia marekan sio sababu ya ugaid wala serekal ya magufuli msipende kupoteza watu na kumbebesha mzee wa watu mizigo asio stail wamarekani wanampango wa kutuziwia tusiingii marekan ni sababu ya watanzania weng wakienda kule Hua wanazidisha muda wao wa visa pia wengine hutoweka kabisa so hii ndio habar kamili na kingine marekan kule sio pepon na kingine hawato nyimwa visa kabisa ila wataweka ugumu kuipata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Itabidi kina JK na Mkapa waingilie kati kumsaidia Ngosha.Ni kama vile maji yameshazidi unga.Ushauri wa hao wazee wastafu ni muhimu sana.Hii Tanzania ni yetu sote yasijetukuta ya Zimbabwe!
 
Kwakua watu wengi watanzania sio wafatiliaji mtawadanganya sababu inayo taka kupelekea watanzania kuzuiwa kuingia marekan sio sababu ya ugaid wala serekal ya magufuli msipende kupoteza watu na kumbebesha mzee wa watu mizigo asio stail wamarekani wanampango wa kutuziwia tusiingii marekan ni sababu ya watanzania weng wakienda kule Hua wanazidisha muda wao wa visa pia wengine hutoweka kabisa so hii ndio habar kamili na kingine marekan kule sio pepon na kingine hawato nyimwa visa kabisa ila wataweka ugumu kuipata

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeandika nini kwa mfano!
 
Sijaelewa hapa USA wana nini na Watanzania, maana kule Tanzania hawana sera za kufadhili majihadi wala huwa hawaskiki sana kwenye matukio ya milipuko ya mabomu, na pia Wasomali sio wengi kule kama ilivyo kwetu hapa ambapo ni changamoto kubaini baina ya Wasomali wa Kenya na wa kule kwa mashababi ambao husafiri kwenda USA kwa mgongo wa uraia wetu.

Labda wenyewe USA wanajua nini kilichopo nyuma ya pazia, japo pia vijana wengi Watanzania hujiunga alshabaab na kurudi nyumbani kama wameiva mafundisho, ila hawafanyi vituko huko kwao lakini wanakua kero kwa mataifa majirani kama Msumbiji na Kenya.

Kwa hili wana-EAC tuungane na Watz kukemea USA maana haileti mantiki, labda kama kuna anayefahamu zaidi atujuze maana sababu zenye mashiko hazijatolewa, kuna kipindi WaTz waliongoza kwa usafirishaji wa 'unga' lakini sidhani kama hizo sifa bado wanazo, au labda linahusiana na uminywaji wa demokrasia (sema hii ingewahusu watawala sio raia wote).

Ifahamike hapa tayari kwa jirani kuvurugwa hivi itatucost kiaina, ila nafahamu ingetendeka kwa Wakenya, humu hakungekalika kwa jinsi Watanzania wangechekelea, kama jinsi wao huchekelea tukipigwa mabomu au kuvamiwa na nzige.

=====

WASHINGTON—The Trump administration plans to add to the number of countries covered under its travel restrictions, including Nigeria, Africa’s most populous country, along with others in Africa and Asia, according to administration officials who have seen the list.

The administration plans to place visa restrictions limits on travelers from seven new countries: Belarus, Eritrea, Kyrgyzstan, Myanmar, Nigeria, Sudan and Tanzania. The countries wouldn’t all face blanket bans on travel to the U.S., but could have restrictions placed on specific types of visas, such as business or visitor visas, administration officials said.

The officials said the list isn’t final. The names of the seven countries was first reported by Politico.

The administration plans to roll out its expanded travel restrictions on Monday, marking the three-year anniversary of the initial travel ban Mr. Trump signed on his seventh day in office.

The administration has said its policy restricting travel is necessary to prevent potential acts of terrorism, as countries on the list don’t adequately vet their travelers to the U.S.

Its first order, which banned travel to the U.S. by most residents of seven majority-Muslim countries, was struck down by a federal court and withdrawn. A second iteration of the ban, issued in March 2017, was also struck down by a federal judge who said it still amounted to religious discrimination against Muslims.

A third version of the travel ban, issued in September 2017, was upheld by the Supreme Court in a 5-4 ruling in June 2018 on the grounds that federal law gives the president broad authority to suspend entry to the U.S.

That current restrictions blocked travel by individuals from Iran, Libya, Somalia, Syria, Yemen and North Korea and by political officials from Venezuela. The administration briefly included Chad on the ban list, but removed the country in April 2018.

Unlike the initial list, most of the new countries don’t have majority-Muslim populations. Several of them, however, have had relatively high rates of their citizens overstaying visas in the U.S., according to Department of Homeland Security data.

In the 2018 fiscal year, 24% of Eritreans on business or visitor visas overstayed their permits, along with 15% of Nigerians and 12% of people from Sudan. Those compared with a total overstay rate in the category of 1.9%.

Source: Wall Street Journal

Nani anachekelea kupigwa mabomu kwa Wakenya!?. Naona hauna facts Watanzania sio watu wa type hiyo.
 
Hatuwezi kuwakatza. Dola yao tunaipenda sana kupitia watalii wa USA, investors etc. Hela yetu tshs bado haina nguvu
Basi sawa acha waje wao kama wao hawataki...nakumbuka zamani kuna basi la Tanga silitaji nyuma walikua wameandika "KAMA HATAKI NIPE MIYE"
 
Namba kubwa ya vijana wa Tanzania inajiingiza ISIS, Al-Shabab ect. Yote haya yanasababishwa na kukosa ajira.

Kuwekeza katika nguvu kazi ya vijana ni muhimu.
Huko ISIS na Al-Shabab wanalipaje wao hadi vijana waende huko?!
Wanapokea na waumini wa Zamaridi na wa Kakobe au vijana wapi wana qualify huko?!
 
Nani anachekelea kupigwa mabomu kwa Wakenya!?. Naona hauna facts Watanzania sio watu wa type hiyo.

Utakua mgeni kwenye mada zinazohusu Wakenya, njoo kule uone kila bomu likilipuka, humo comments hutiririka za kukejeli na kuchekelea, na usiseme Watanzania sio wa type hiyo maana hakuna watu wanaitwa Watanzania, hizo ni jamii zlikusanywa na mzungu akachora mpaka na kuwaita Watanzania.
Alikuta watu tofauti na mila na tamaduni zao kisha akawakomba pamoja na kuwapa nchi. Kila binadamu huwa na mawazo yake binafsi, unless kama baada ya mzungu kuwakomba pamoja aliwapa maagizo muwe mnawaza kwa kutumia ubongo mmoja.
 
Huko wanapata $200 kwa mwezi na chakula bure
Hahaha Paund au Dollar?! $200 kweli?! hao watakuwa wendawazimu, huko wanabeba box au kuna kazi gani huko?!
Yani laki 4 kwa mwezi?!
Wanalipwaje cash au wana deposit kwenye account zao bongo?! Maana kulipwa vitani unaitunza wapi hiyo pesa, au wanajitolea tu mnawasingizia haya malipo.
 
Back
Top Bottom