Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Tunastahili,maana utu tumeutupa kule ila tunathamini ukada.
 
Hizo ARV mnazogawiwa bure mahospitalini wakikata hudumu si mtapukutika kama kuku wenye kideri.
 
Huna akili.wewe unadhani hao WB na IMF hiyo mikopo wanayotupa jumlisha riba tunarudisha kiasi gani ?
Nyie ndio hamna akili ambao mmeshindwa kutumia rasilimali zenu hadi viongozi wenu wanahangaika kutafuta mikopo na misaada.

Kwani hao WB na IMF ndio wanakuja kuwaomba wawakopeshe au ni nyie ndio mnaenda kulia lia njaa kutaka mikopo na misaada?
 
Niende Marekani kufanya nn akati hata namtumbo kwenyewe bado cjaenda
 
Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.

Tusipojiimarisha tutaendelea kufanyiwa vituko day and night
Mwafrika ni mtu wa mdomo mdomo tu. Hatuna jeuri yoyote na hawa wanaopiga porojo hapa sijui kuna China na Asia ni wajinga wasioijua dunia.
 
Afrika ndio Pepo ya wazungu , waarabu na wayahudi . Starehe ipo Africa Kila mwaka wazungu wanatunza fedha ili waje kufurahia maisha afrika. Huko marekani waafrika wanaenda kutafuta maisha tu
Kakudanganya nyani? (siyo nani). Unajua nchi zinazopekea watalii wengi wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…