CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 11,635
- 21,347
Safi sana, kila siku watu kutekwa na kuuliwa kikatili lazima watu wastaarab watutenge.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Safi sana, kila siku watu kutekwa na kuuliwa kikatili lazima watu wastaarab watutenge.
Ramadhani madabida ana kiwanda cha arvuNatengeneza ARVs ndugu
Siyo bure, serikali inanunua ndiyo inakupa wewe bure,juzi wamesema mgonjwa mmoja hugharimu zaidi ya laki nne kwa mwakaBure,kwani unazijua ARVs
Trump atakaa miaka minne ataondokaNI MABEBERU HAO TUFUKUZE BALOZI WAO HAHAHA
Tunastahili,maana utu tumeutupa kule ila tunathamini ukada.Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Hizo ARV mnazogawiwa bure mahospitalini wakikata hudumu si mtapukutika kama kuku wenye kideri.Vitu gani vinavyotoka kwao bwashee! Tuanze na magari.... Ni asilimia ngapi yanatoka marekani? Twende kwenye chakula, Madawa, Mali ghafi katika ujenzi (chuma n.k). Sijui niendelee au niishie hapo.
Akitupiga ban Mjapani, mchina, India na Uturuki ningesema tumekwisha, lakini Marekani ahhhhh!
Kwanza MRUSI atafurahi sana na hiyo ban, maana ni advantage kwake.
Tutachokosa Tanzania toka marekani ni Coca, Pepsi na McDonald. Hii inamaanisha watatusaidia kuimarisha Afya zetu. Ugonjwa wa sukari utapungua.
Ndugu, mmarekani hana Jeuri sana kama zamani, siku hizi Tech imekuwa sana katika nchi nyingi.
Wewe huna akili rudi tu madrasa kasome juzuu😂😂😂Nikuulize swali dogo tu watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi huko vijijini na mijini wakikosa internate , us dollar watalala na njaa?
Nyie ndio hamna akili ambao mmeshindwa kutumia rasilimali zenu hadi viongozi wenu wanahangaika kutafuta mikopo na misaada.Huna akili.wewe unadhani hao WB na IMF hiyo mikopo wanayotupa jumlisha riba tunarudisha kiasi gani ?
UWT hawana akiliWewe huna akili rudi tu madrasa kasome juzuu😂😂😂
Wanaenda kuwalilia DP World wawaendeshee bandari na biashara TanzaniaNyie ndio hamna akili ambao mmeshindwa kutumia rasilimali zenu hadi viongozi wenu wanahangaika kutafuta mikopo na misaada.
Kwani hao WB na IMF ndio wanakuja kuwaomba wawakopeshe au ni nyie ndio mnaenda kulia lia njaa kutaka mikopo na misaada?
Niende Marekani kufanya nn akati hata namtumbo kwenyewe bado cjaendaWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Majibu wanayo Wamarekani.Why Likely wakati Tanzania ni Democratic & Peaceful country ?
😂😂😂UWT hawana akili
USD!Tupe mfano wa hivyo vitu ambavyo tukivikosa Marekani hatuwezi kuvipata China au popote pale duniani.
''Kuona'' au ndiyo uhasilia? Bila mzungu wewe ungekuwa unaandika hapa JF?Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Mwafrika ni mtu wa mdomo mdomo tu. Hatuna jeuri yoyote na hawa wanaopiga porojo hapa sijui kuna China na Asia ni wajinga wasioijua dunia.Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.
Tusipojiimarisha tutaendelea kufanyiwa vituko day and night
Kakudanganya nyani? (siyo nani). Unajua nchi zinazopekea watalii wengi wewe?Afrika ndio Pepo ya wazungu , waarabu na wayahudi . Starehe ipo Africa Kila mwaka wazungu wanatunza fedha ili waje kufurahia maisha afrika. Huko marekani waafrika wanaenda kutafuta maisha tu