Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Old list, plus pure speculation. Things have changed a lot since Trump was last president. The criteria used then to include Tanzania on the list of banned countries may no longer be relevant.
 
kama taifa,
hakuna haja wala sababu hata moja ya msingi kulalamika au kubabaika kwenye jambo hilo ikiwa litatokea, Russia pia kuna fursa kibao tu
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Beberu anamkalisha hata mchina na mrusi. Hao viumbe sio wa kushindana nao sana. Wako mbele sana ya muda kuliko races zingine duniani.
 
Mama effects
 
Kwahiyo wewe hapa duniani umeona nchi ya kutegemea kwa biashara na Kila kitu ni marekani tu.
Nimekuelezea mifumo ya biashara na maisha. Sio uchuuzi huo unaosema
Kwa taarifa Yako sasa biashara ya Tanzania na marekani hazifiki hata 1% sasa kama ulikua hujui.
Ni sarafu gani ya kimataifa tunatumia zaidi duniani?
Tunafanya sana biashara na afrika mashariki middle east, china , Japan na uarabuni kwa uchache kwahiyo hao marekani wajiendee zao tu hakuna mwenye shida nao.
Bado huelewi international business inavyofanyika.
 
Sisi hatutaki kwenda marekani kama wewe unataka hamna nchi utafute uraia wa nchi nyingine ili uende
 

Trump anaweka jiwe bongo wanaweka ugoko lazima waumie na kulia kilio kitakatifu.
 
Tunapaswa kuwapotezea. Twende nchi nyingine tatizo tumezidi kujipendekeza

Kila mtu duniani ndoto yake ni kufika nchi ya ahadi- USA. Maza mwenyewe nasikia kacheza green card lottery, anamkeka mfukono 😂
 
Trump anaweka jiwe bongo wanaweka ugoko lazima waumie na kulia kilio kitakatifu.
Trump anawafungua macho Watanzania wajitegemee tu, sasa hapo ni juu ya Watanzania kuelewa somo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…