4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Hujui dunia wewe ,Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujui dunia wewe ,Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Hizo arv tunapewa bure au tunatoa hela zetu tunanunua?Wewe ni mjinga kweli kweli?Dawa za ARV kwa Watanzania unaweza kuzigharamia wewe na Mama yako?
Ficha ujinga basi hata kidogo huwezi kujadiliana bila matusi?Nyie nyumbu kwl ni mapumbavu, hamuoni ht haya kuwa vibaraka wa wazungu? Nyie kwl ni mashoga
kama taifa,Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?

Beberu anamkalisha hata mchina na mrusi. Hao viumbe sio wa kushindana nao sana. Wako mbele sana ya muda kuliko races zingine duniani.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Wasipokuja bado hasara itakuwa kwetu ndugu yangu. Hukuona ki-bibi jitu alifanya ku-act ile movie yake feki eti kuvutia watalii?Sasa wambie wamarekani wasije Huwa wanafata nini huku?
Mama effectsWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wewe size yako ipi mkuu?Hamia jukwaa la kulana kimasihara hapa siyo size yako
Naona TANZANIA tumewekwa kundi moja na kobazMarekani ni kiwanja cha dunia.
Nimekuelezea mifumo ya biashara na maisha. Sio uchuuzi huo unaosemaKwahiyo wewe hapa duniani umeona nchi ya kutegemea kwa biashara na Kila kitu ni marekani tu.
Ni sarafu gani ya kimataifa tunatumia zaidi duniani?Kwa taarifa Yako sasa biashara ya Tanzania na marekani hazifiki hata 1% sasa kama ulikua hujui.
Bado huelewi international business inavyofanyika.Tunafanya sana biashara na afrika mashariki middle east, china , Japan na uarabuni kwa uchache kwahiyo hao marekani wajiendee zao tu hakuna mwenye shida nao.
Kwanza kabisa hawa wanapiga ramli kusema hili linaweza kutokea kwa sababu lilitokea Trump alipokuwa rais.
Trump mwenyewe hajasema kitu.
But let us entertain this "what if?" game. Wasiwasi ndiyo akili, lakini wasiwasi sana siyo dili.
Pili, Trump akifanya hivyo, nitawashukuru wale Watanzania-Wamarekani waliojitoa akili na kumpigia kura. Niliwaambia huyu mwehu hatabiriki si mtu wa kumpa nuclear codes.
Tatu, Watanzania wanatakiwa kuacha kupashobokea Marekani kama mbinguni.
Trump akipiga ban Tanzania na nyie Tanzania pigeni ban Wamarekani wasiingie Tanzania. Najua mnapenda hela zao za utalii, lakini jitoeni akili muongeze Wachina na wazungu wa Ulaya, halafu tuone kama mtakufa. Mkifanya hivyo Wamarekani wote wanaotaka kuja Serengeti, Kilimanjaro, Zanzibar na Selous watamuwashia moto Trump. Pigeni mpaka sisi ndugu zenu wenye uraia wa Marekani tusiingie Bongo, halafu angalieni wale watu wa mashauzi ya kuja Bongo mara nne kwa mwaka watakavyochakalika kumfanya Trump aondoe hiyo ban.
Diplomacy is driven by reciprocity.
Tunapaswa kuwapotezea. Twende nchi nyingine tatizo tumezidi kujipendekeza
Trump anawafungua macho Watanzania wajitegemee tu, sasa hapo ni juu ya Watanzania kuelewa somo.Trump anaweka jiwe bongo wanaweka ugoko lazima waumie na kulia kilio kitakatifu.