Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 1,942
- 4,230
Wakuhitaji kwa kipi mkuu? Nambie maeneo hata matatu tuHujui kitu kimoja, wao wnatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji. Ukikataa mkopo wao kama Gadafi alivyokuwa akifanya ni dhambi kubwa na utatoka tu. Hujui jinsi wao wanavyofaidika kwa nchi yako kwenda kukopa kwao.
Kalaga baho!
Tumeshindwa kuendesha mradi tu wa mwendokasi unasema jamaa wanakuhitaji, kujisimamia mradi kama kivuko pale kigamboni tumeshindwa tunalia lia msaada Bakhresa aingie, huwezi kuwa serious mkuu