Wakuhitaji kwa kipi mkuu? Nambie maeneo hata matatu tuHujui kitu kimoja, wao wnatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji. Ukikataa mkopo wao kama Gadafi alivyokuwa akifanya ni dhambi kubwa na utatoka tu. Hujui jinsi wao wanavyofaidika kwa nchi yako kwenda kukopa kwao.
Kalaga baho!
Huelewi, halafu wewe si mlengwa. Hujui ànamaanisha nini, wewe na ukoo wako hakuna hata mmoja anahitaji kwenda USA.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Kama vp waanze kupigwa hyo ban mapema 😁😁😁😁Sasa sisi tunaoishi kazuramimba inatuusu nnWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Sasa wewe mjinga, hivi unajua kuwa huyo USA na washirika wake, wakitaka hata hizi chatting hatutaweza kufanya? Hakunacha Mpesa wala halopesa, naBoeingzetu zaweza zisiruke! Sisi siyo Russia wala Iran, hatuna uwezo wa kuhimilo hata vikwazovya miezi miwili. Nenda Zimbabwe ukaone ninsi walimu wa vyuo, Sekondari, manesi na wachumi, walivyoishia kuwa wahudumu wa hotel na taxi drivers huko South Afrika..Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Hahaha haaa! Chandy tukanunue marekani,WhatsApp, YouTube, Google
Pepsi, Coca-Cola
Visa card, Mastercard
Music, Movies
Vitabu
Naam,Mkuu wale jamaa wa ubalozi washasoma mindset za waafrika hasa watanzania.
Yani kama mtu hana travel history yeyote, Au ana travel history ya nchi zetu hizi za hapahapa Afrika, Wana assume ni mzamiaji...😄
Halafu wewe sasa ndio unatakiwa ujitetee kwamba utakwenda na kurudi.
Poleni msioweza kuishi bila kwenda Marekani, kwani kwenu Oxygen iko marekani tu. Hivi unadiriki vipi kutoa kauli hiyo. Poleni.Huelewi, halafu wewe si mlengwa. Hujui ànamaanisha nini, wewe na ukoo wako hakuna hata mmoja anahitaji kwenda USA.
Kwani sasa hivi Tanzania hakuna walimu na Manesi amabao wanahudumu hotelini? Uko wapi bwasheee. Acha kutisha watu. Maisha ni maisha tu.Sasa wewe mjinga, hivi unajua kuwa huyo USA na washirika wake, wakitaka hata hizi chatting hatutaweza kufanya? Hakunacha Mpesa wala halopesa, naBoeingzetu zaweza zisiruke! Sisi siyo Russia wala Iran, hatuna uwezo wa kuhimilo hata vikwazovya miezi miwili. Nenda Zimbabwe ukaone ninsi walimu wa vyuo, Sekondari, manesi na wachumi, walivyoishia kuwa wahudumu wa hotel na taxi drivers huko South Afrika..
Kwa iyo Uganda, Iraq, Pakistan, Congo wanaruhusiwa kwendaWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Wewe ni RAISI wa wajinga dunianiKwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Mkuu,Sasa wewe mjinga, hivi unajua kuwa huyo USA na washirika wake, wakitaka hata hizi chatting hatutaweza kufanya? Hakunacha Mpesa wala halopesa, naBoeingzetu zaweza zisiruke! Sisi siyo Russia wala Iran, hatuna uwezo wa kuhimilo hata vikwazovya miezi miwili. Nenda Zimbabwe ukaone ninsi walimu wa vyuo, Sekondari, manesi na wachumi, walivyoishia kuwa wahudumu wa hotel na taxi drivers huko South Afrika..
Mjomba ndio tunakwenda hivyo. Ukishindwa kivuko, pita darajani acha kulia lia.Wakuhitaji kwa kipi mkuu? Nambie maeneo hata matatu tu
Tumeshindwa kuendesha mradi tu wa mwendokasi unasema jamaa wanakuhitaji, kujisimamia mradi kama kivuko pale kigamboni tumeshindwa tunalia lia msaada Bakhresa aingie, huwezi kuwa serious mkuu
Mzee wa kifua kipana lazima aingizwe kwenye listWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile
Wasted sperm.Mjomba ndio tunakwenda hivyo. Ukishindwa kivuko, pita darajani acha kulia lia.
Dawa ya mwendo kasi ipo njiani, lakini kamwe haitwi Mmarekani kuendesha mwendo kasi. Hata kujenga hatukumwita- Tukasepa Uturuki na China. Hizi ndio habari za mjini.
Wewe zubaa na mmarekani, hana kitu zaidi ya hila tu. Kalaga baho!
🤣🤣🤣🤣Haya makapuku yakikaa huko kijijini kwao Madongo kuinama wala hata hayajui faida za ushirikiano kati ya nchi zilizo endelea na zinazo endelea.
Yenyewe yakishakunywa wanzuki zao na kulewa ndio yanakuja hapa kutapika pombe zao kwamba Marekani haina msaada wowote kwetu.
Kwani image ya taifa inasafishwa na nini?🤔Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Yani unataka ile list ya Makonda aliyoianzisha Mike Pompeo iendelezwe siyo?Raia twende wale wa juu na mbogamboga MARUFUKU iwatembelee
Hii ni sarcasm? Kama sio utakuwa unataka kuponza watu wewe, hatujafikia kiwango cha kuwekeana misuli na beberu US, cheki Venezuela alivyonyooshwa na utajiri wake wote wa mafuta, sisi hata hatuna leverage ya maana kwa US, tena sio kwa mwehu Trump. Simba, Swala, tumbili n.k wanapatikana sehemu nyingi sana duniani.Kwanza kabisa hawa wanapiga ramli kusema hili linaweza kutokea kwa sababu lilitokea Trump alipokuwa rais.
Trump mwenyewe hajasema kitu.
But let us entertain this "what if?" game. Wasiwasi ndiyo akili, lakini wasiwasi sana siyo dili.
Pili, Trump akifanya hivyo, nitawashukuru wale Watanzania-Wamarekani waliojitoa akili na kumpigia kura. Niliwaambia huyu mwehu hatabiriki si mtu wa kumpa nuclear codes.
Tatu, Watanzania wanatakiwa kuacha kupashobokea Marekani kama mbinguni.
Trump akipiga ban Tanzania na nyie Tanzania pigeni ban Wamarekani wasiingie Tanzania. Najua mnapenda hela zao za utalii, lakini jitoeni akili muongeze Wachina na wazungu wa Ulaya, halafu tuone kama mtakufa. Mkifanya hivyo Wamarekani wote wanaotaka kuja Serengeti, Kilimanjaro, Zanzibar na Selous watamuwashia moto Trump. Pigeni mpaka sisi ndugu zenu wenye uraia wa Marekani tusiingie Bongo, halafu angalieni wale watu wa mashauzi ya kuja Bongo mara nne kwa mwaka watakavyochakalika kumfanya Trump aondoe hiyo ban.
Diplomacy is driven by reciprocity.
Akili yako inafanya kazi ...Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.
Tusipojiimarisha tutaendelea kufanyiwa vituko day and night