Remoteque337
Member
- Oct 14, 2023
- 57
- 95
uNatengeneza ARVs nduguKwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Vitu gani vingi vya marekani tunavyotumi?..magari ni mitumba ya toyota,mavazi china,simu china,tv china,ugali tunalima wenyewe,dawa india,chinaJiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Nikuulize swali dogo tu watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi huko vijijini na mijini wakikosa internate , us dollar watalala na njaa?1. US dollar unayotumia kununua bidhaa nje ya nchi. Ukikatazwa usiitumie $ hata hizo yeboyebo China huziagizi, hawawezi chukua madafu ambayo hawana kazi nayo.
2. Internet kwa ujumla. Hata hapa JF bila Mmarekani huingii, kwanza hapo ukute either unatumia Android au iOS
3. Mifumo yote ya kibenki, interbank transfer haijalishi ni NMB au Barclays. Haijalishi unatuma/unapokea hela China au India
Tuachane na bidhaa ndio zina mbadala.
Hizo arv wanatupa bure au tunanunua?uNatengeneza ARVs ndugu
Tunaangalia basic needs. Otherwise ni kiherehere chako tu kwenda huko marekaniMaisha ya binadamu sio kula tu, usiwe kilaza kiasi hicho.
Wewe tangu huu mwaka umeanza wamarekani wamekupa nini kwenye maisha yako mpaka Leo ukisema wakustopishie unakufa leo hii? Kumbe hii nchi ina watu wa hovyo sanaUna uhakika bila wao mnaweza?
Huna akili.wewe unadhani hao WB na IMF hiyo mikopo wanayotupa jumlisha riba tunarudisha kiasi gani ?Aliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?
Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?
Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.
Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.
WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
China has initiated free-trade Policy with 33 African coutries.Wakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Why Likely wakati Tanzania ni Democratic & Peaceful country ?The ban "is likely" not the ban "will". Badilisha heading iakisi uhalisia.
Hilo jamaa lijinga sana linajua hayo mamikopo tunapewa zawadi kumbe Wana survive kupitia hayo mamikopo kwa nchi masikini na zenye uchumi wa kati. Na unalazimishwa ukope na usinunue mashine Wala kujenga kiwanda kanunue kondom ,panda miti, na kutokomeza rushwa. Sasa ole wako ukatae kukopa utaona cha motoHujui kitu kimoja, wao wnatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji. Ukikataa mkopo wao kama Gadafi alivyokuwa akifanya ni dhambi kubwa na utatoka tu. Hujui jinsi wao wanavyofaidika kwa nchi yako kwenda kukopa kwao.
Kalaga baho!
Sorry matusi peleka kwingine. Just because nime state facts, it doesnt mean nawapenda wazunguNyie nyumbu kwl ni mapumbavu, hamuoni ht haya kuwa vibaraka wa wazungu? Nyie kwl ni mashoga
Sorry if i was nisingekuwa hapa nilipo, ila kuna viongozi wanawategemea tena wapo madarakaniWe kibaraka ndio unawategemea
Hivi unaakili timamu kweli wewe? Hizi chatting ndio umeona kitu cha maana sana kwamba Tuna survive kwa chatting? Hizi chatting zimekuja lini na sisi kama nchi tumeanza struggling lini? Kumbe hii nchi Bado Kuna watu wa hovyo sana.Sasa wewe mjinga, hivi unajua kuwa huyo USA na washirika wake, wakitaka hata hizi chatting hatutaweza kufanya? Hakunacha Mpesa wala halopesa, naBoeingzetu zaweza zisiruke! Sisi siyo Russia wala Iran, hatuna uwezo wa kuhimilo hata vikwazovya miezi miwili. Nenda Zimbabwe ukaone ninsi walimu wa vyuo, Sekondari, manesi na wachumi, walivyoishia kuwa wahudumu wa hotel na taxi drivers huko South Afrika..
NI MABEBERU HAO TUFUKUZE BALOZI WAO HAHAHAWakuu,
Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.
Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.
List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.
Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.
View attachment 3167931Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?
CHANZO: Guidance: Possible Immigration Changes in 2025 | International Services
Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
Bure,kwani unazijua ARVsHizo arv wanatupa bure au tunanunua?