Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Jiongelee wewe, and for the record almost vitu vingi mnavyotumia today vinatoka kwao,
Mna viwanda au uchumi wa kuwa match?
Vitu gani vingi vya marekani tunavyotumi?..magari ni mitumba ya toyota,mavazi china,simu china,tv china,ugali tunalima wenyewe,dawa india,china
 
1. US dollar unayotumia kununua bidhaa nje ya nchi. Ukikatazwa usiitumie $ hata hizo yeboyebo China huziagizi, hawawezi chukua madafu ambayo hawana kazi nayo.

2. Internet kwa ujumla. Hata hapa JF bila Mmarekani huingii, kwanza hapo ukute either unatumia Android au iOS

3. Mifumo yote ya kibenki, interbank transfer haijalishi ni NMB au Barclays. Haijalishi unatuma/unapokea hela China au India

Tuachane na bidhaa ndio zina mbadala.
Nikuulize swali dogo tu watanzania zaidi ya 90% ambao wanaishi huko vijijini na mijini wakikosa internate , us dollar watalala na njaa?
 
Recall matamko ya mabalozi akiwemo wa US yaliyosemwa kuhusu TZ.
 
Aliyekwambia Marekani inatuhitaji sisi ni nani?

Niambie ni nini Tanzania iliwahi kuipa Marekani?

Dola tu ikiadimika hapo Tanzania hadi BOT inaanza kulia lia watu msifiche dola.

Halafu wewe kajamba nani,unakuja kuandika mashudu.

WHO, IMF, World Bank na mashirika mengine makubwa ya wazungu wakisitisha huduma zao hapa nchini, Utaona watu mtakavyo anza kujamba jamba.
Huna akili.wewe unadhani hao WB na IMF hiyo mikopo wanayotupa jumlisha riba tunarudisha kiasi gani ?
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
China has initiated free-trade Policy with 33 African coutries.

initiated-a-free-trade-policy-with-33-african-countries%2F7xxtgvw&utm_campaign=aga&utm_source=agsadl2%2Csh%2Fx%2Fgs%2Fm2%2F4

Hizi ndio habari za mjini: Wewe weka ban, wenzako ndio furaha yao. Tunataka na Urusi, Uturuki, Dubai na India zifanye kama China.
 
Hujui kitu kimoja, wao wnatuhitaji zaidi kuliko tunavyowahitaji. Ukikataa mkopo wao kama Gadafi alivyokuwa akifanya ni dhambi kubwa na utatoka tu. Hujui jinsi wao wanavyofaidika kwa nchi yako kwenda kukopa kwao.

Kalaga baho!
Hilo jamaa lijinga sana linajua hayo mamikopo tunapewa zawadi kumbe Wana survive kupitia hayo mamikopo kwa nchi masikini na zenye uchumi wa kati. Na unalazimishwa ukope na usinunue mashine Wala kujenga kiwanda kanunue kondom ,panda miti, na kutokomeza rushwa. Sasa ole wako ukatae kukopa utaona cha moto
 
Nyie nyumbu kwl ni mapumbavu, hamuoni ht haya kuwa vibaraka wa wazungu? Nyie kwl ni mashoga
Sorry matusi peleka kwingine. Just because nime state facts, it doesnt mean nawapenda wazungu
Punguza hisia kwenye mambo kama haya
 
Hata isipowekewa ban,ningeshangaa nchi ingewezaje kuhama kutoka Mashariki mwa bara la Afrika hadi Marekani.
 
Sasa wewe mjinga, hivi unajua kuwa huyo USA na washirika wake, wakitaka hata hizi chatting hatutaweza kufanya? Hakunacha Mpesa wala halopesa, naBoeingzetu zaweza zisiruke! Sisi siyo Russia wala Iran, hatuna uwezo wa kuhimilo hata vikwazovya miezi miwili. Nenda Zimbabwe ukaone ninsi walimu wa vyuo, Sekondari, manesi na wachumi, walivyoishia kuwa wahudumu wa hotel na taxi drivers huko South Afrika..
Hivi unaakili timamu kweli wewe? Hizi chatting ndio umeona kitu cha maana sana kwamba Tuna survive kwa chatting? Hizi chatting zimekuja lini na sisi kama nchi tumeanza struggling lini? Kumbe hii nchi Bado Kuna watu wa hovyo sana.
 
Wakuu,

Nadhani kutokana na mambo yanayoendelea nchini image ya taifa imezidi kuchafuka.

Hivi karibuni nimekutana na listi ambayo inaonesha orodha ya nchi ambazo zinaweza kupigwa ban kuingia Marekani iwapo bwana Trump ataapishwa and yes Tanzania tumo.

List hiyo imetolewa na Cornel University, chuo kilichoanzishwa mwaka 1865 na katika bandiko lao wameonesha orodha ya nchi ambazo iwapo Trump ataingia basi kuingia Marekani itakuwa ni ndoto.

Katika orodha hiyo, Tanzania tumewekwa kwenye kundi moja na Kyrgyzstan, Nigeria, Myanmar, Sudan, Tanzania, Iran, Libya, North Korea, Syria, Venezuela, Yemen, and Somalia.

Hivi kweli leo sisi ni wa kuwekwa kwenye kundi moja na Myanmar, Sudan na North Korea?

Ile Royal Tour ilikuwa na kazi gani kama hata image ya nchi haijasafishika na mambo yako vile vile kama 2017?
NI MABEBERU HAO TUFUKUZE BALOZI WAO HAHAHA
 
Back
Top Bottom