Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Tanzania yatajwa kwenye orodha ya nchi zitakazopigwa Ban kuingia Marekani mara tu Trump atakapoapishwa!

Kwa imani zetu. Lakini tunaweza kwenda nchi nyingine. Kama mtu hakutaki kwako kwanini ulazimishe? Ni kujipendekeza

..inawezekana kwetu sisi watu wa chini.

..lakini vigogo na watoto wao Marekani ndio maeneo yao ya kutumbua pesa walizotuibia.
 
Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa kamub manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.

Tusipojiimarisha tutaendelea kufanyiwa vituko day and night
Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni akili ndogo zilizojaa uchawa zinatawala akili kubwa.
 
Hakuna ni chi iliyopigwa marufuku watu wake kusafiri kwenda Marekani.

Ni viwewe tu vya watu.
Waopayuka hapa ni viza refusal victim, pakitokea thread kama hizi ndio uwanja wao wa kutowa nyongo zao za kunyimwa viza huku wanaitamani Marekani kupita kiasi.

Ni jana tu kuna mwanangu kakubaliwa viza ya B1/B2 visiting, amepewa kile kikadi chao jumanne ijayo aende ubalozini kuchukuwa passport yake ikiwa na US Viza.
 
..inawezekana kwetu sisi watu wa chini.

..lakini vigogo na watoto wao Marekani ndio maeneo yao ya kutumbua pesa walizotuibia.
Sasa hao unaowasema ndio Marekani inawawekaga kwenye orodha ya viza ban na siyo nchi nzima, ni kama Makonda amepigwa ban yeye na utawala wa Trump haruhusiwi kuingia Marekani, waende China huko kwa wahuñi wenzao.
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Changes za policy haina maana watazuia watu kwenda

Makonda mwenyewe amekwenda USA this time

Wanachofanya ni kuwa na alert
Waopayuka hapa ni viza refusal victim, pakitokea thread kama hizi ndio uwanja wao wa kutowa nyongo zao za kunyimwa viza huku wanaitamani Marekani kupita kiasi.

Ni jana tu kuna mwanangu kakubaliwa viza ya B1/B2 visiting, amepewa kile kikadi chao jumanne ijayo aende ubalozini kuchukuwa passport yake ikiwa na US Viza.
thank you

Wanachofanya ni kuwa more vigilant kwa nchi zilizotajwa

Btw, Tanzania haijawahi kuwa na easy access to the USA because of our relationship with USSR/russia, China, Cuba etc

Walio eligible watakwenda tu

Wanafunzi wanaomeet requirements wataenda tu
 
Watanzania wengi wana uvivu wa kuhakiki habari na kuijadili kwa muktadha sahihi.

Wengi ukiwawekea post wanaifakamia kama ni kweli bila hata kuhoji chanzo, kupata muktadha wa habari ni upi, kujua nani katoa habari, kujua propaganda ni nini na habari ni nini, kujua projection ni nini na ramli ni nini.

Wengi wanafakamia tu mambo kama nyumbu vipofu wasioona njia.
 
Marekani hawatoi pesa ya SGR, pesa za SGR ni partly za ndani na partly mkopo toka China Exim.

Pesa za ndani zilianza kuwa collected muda mrefu tu kupitia imports kodi inaitwa RDL, Rail way Development Levy.
Kwani wachina sio donor mkuu? Au point yako ilikuwa ipi? Hatuongelei wamarekani tu, tunaongelea ngozi nyeupe. Kwahiyo hata hiyo SGR bado ni wao.
 
Kwani wachina sio donor mkuu? Au point yako ilikuwa ipi? Hatuongelei wamarekani tu, tunaongelea ngozi nyeupe. Kwahiyo hata hiyo SGR bado ni wao.
Hakuna fedha ya msaada katika SGR , hivyo ni jasho letu wenyewe.
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Ishu siyo usipoenda utakufa.

Unatakiwa kujitafakari, unafeli wapi kwenye diplomasia ya kimataifa. Unatakiwa kuangalia una matatizo gani na uyatatue.

Ni aibu, kuwa sawa na manchi ya hovyo kyrgstan, north korea na Sudan, Kenya, Uganda na Rwanda wametupiku wapi?

Tunaonekana taifa la hovyo kuliko hata Burundi na Congo!

Ni ukweli usiopingika kuwa US ni taifa lenye ushawishi zaidi duniani, kujidai tunawadindia na kuwapinga ni kujifelisha, zaidi zaidi raia wa kawaida ndio wanaumia.
 
Huyo uliyomtaja hapo ana akili ya kujitegemea?

Kama anayo kwanini na yeye anaendaga Marekani na Ulaya kuomba misaada?
Point yangu hakuna haja ya kulia lia kuhusu marekani,maendeleo yanapatikana humu nchin kwetu na barani kwetu…..ni kutumia rasilimal zetu vzuri tu…..Au unataka ukaoshe vyombo marekani ??
 
Point yangu hakuna haja ya kulia lia kuhusu marekani,maendeleo yanapatikana humu nchin kwetu na barani kwetu…..ni kutumia rasilimal zetu vzuri tu…..Au unataka ukaoshe vyombo marekani ??

Umeamua kubadilisha maneno ili kumtetea Samia
 
Changes za policy haina maana watazuia watu kwenda

Makonda mwenyewe amekwenda USA this time

Wanachofanya ni kuwa na alert

thank you

Wanachofanya ni kuwa more vigilant kwa nchi zilizotajwa

Btw, Tanzania haijawahi kuwa na easy access to the USA because of our relationship with USSR/russia, China, Cuba etc

Walio eligible watakwenda tu

Wanafunzi wanaomeet requirements wataenda tu

Mkuu DAB alienda Marekani lini?
 
Kwani tusipoenda marekani tutakufa?

Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Mmeweza nini zaidi ya kuteka na kuua? Na ukae ukijia Marekani si ya wazungu peke yao bali hata waswahili wapo kama akina Barack Obama ni mswahili wa Kenya. Uache kutetea ujinga.
 
Sasa hao unaowasema ndio Marekani inawawekaga kwenye orodha ya viza ban na siyo nchi nzima, ni kama Makonda amepigwa ban yeye na utawala wa Trump haruhusiwi kuingia Marekani, waende China huko kwa wahuñi wenzao.

..watoto wa vigogo wengi hawajui kuzungumza Kiswahili. Wanakisikia lakini hawawezi kuwa na mazungumzo kwa kiswahili. Kitamaduni watoto hao ni kama watu wa nje -- marekani, canada, uingereza. Sasa vigogo na familia zao ndio lazima waende nchi za nje, tena nchi za magharibi.
 
Back
Top Bottom