Kwa imani zetu. Lakini tunaweza kwenda nchi nyingine. Kama mtu hakutaki kwako kwanini ulazimishe? Ni kujipendekeza
..inawezekana kwetu sisi watu wa chini.
..lakini vigogo na watoto wao Marekani ndio maeneo yao ya kutumbua pesa walizotuibia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa imani zetu. Lakini tunaweza kwenda nchi nyingine. Kama mtu hakutaki kwako kwanini ulazimishe? Ni kujipendekeza
Tatizo kubwa tulilonalo Tanzania ni akili ndogo zilizojaa uchawa zinatawala akili kubwa.Well asia in large part ni manufacturer (japo si wote) , ila anaetuma hizo kazi kuwa kamub manufactured ni mzungu, pesa inarudi kwa mzungu kwa asilimia kubwa somehow.
Tusipojiimarisha tutaendelea kufanyiwa vituko day and night
Waopayuka hapa ni viza refusal victim, pakitokea thread kama hizi ndio uwanja wao wa kutowa nyongo zao za kunyimwa viza huku wanaitamani Marekani kupita kiasi.Hakuna ni chi iliyopigwa marufuku watu wake kusafiri kwenda Marekani.
Ni viwewe tu vya watu.
Sasa hao unaowasema ndio Marekani inawawekaga kwenye orodha ya viza ban na siyo nchi nzima, ni kama Makonda amepigwa ban yeye na utawala wa Trump haruhusiwi kuingia Marekani, waende China huko kwa wahuñi wenzao...inawezekana kwetu sisi watu wa chini.
..lakini vigogo na watoto wao Marekani ndio maeneo yao ya kutumbua pesa walizotuibia.
Changes za policy haina maana watazuia watu kwendaKwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
thank youWaopayuka hapa ni viza refusal victim, pakitokea thread kama hizi ndio uwanja wao wa kutowa nyongo zao za kunyimwa viza huku wanaitamani Marekani kupita kiasi.
Ni jana tu kuna mwanangu kakubaliwa viza ya B1/B2 visiting, amepewa kile kikadi chao jumanne ijayo aende ubalozini kuchukuwa passport yake ikiwa na US Viza.
sio kwamba kwa sababu tumeachana na misingi ya demokrasia?Ni maamuzi yao,wanajua wao
Kwani wachina sio donor mkuu? Au point yako ilikuwa ipi? Hatuongelei wamarekani tu, tunaongelea ngozi nyeupe. Kwahiyo hata hiyo SGR bado ni wao.Marekani hawatoi pesa ya SGR, pesa za SGR ni partly za ndani na partly mkopo toka China Exim.
Pesa za ndani zilianza kuwa collected muda mrefu tu kupitia imports kodi inaitwa RDL, Rail way Development Levy.
Hakuna fedha ya msaada katika SGR , hivyo ni jasho letu wenyewe.Kwani wachina sio donor mkuu? Au point yako ilikuwa ipi? Hatuongelei wamarekani tu, tunaongelea ngozi nyeupe. Kwahiyo hata hiyo SGR bado ni wao.
Acha bange mkuuHakuna fedha ya msaada katika SGR , hivyo ni jasho letu wenyewe.
Ishu siyo usipoenda utakufa.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Point yangu hakuna haja ya kulia lia kuhusu marekani,maendeleo yanapatikana humu nchin kwetu na barani kwetu…..ni kutumia rasilimal zetu vzuri tu…..Au unataka ukaoshe vyombo marekani ??Huyo uliyomtaja hapo ana akili ya kujitegemea?
Kama anayo kwanini na yeye anaendaga Marekani na Ulaya kuomba misaada?
Point yangu hakuna haja ya kulia lia kuhusu marekani,maendeleo yanapatikana humu nchin kwetu na barani kwetu…..ni kutumia rasilimal zetu vzuri tu…..Au unataka ukaoshe vyombo marekani ??
Changes za policy haina maana watazuia watu kwenda
Makonda mwenyewe amekwenda USA this time
Wanachofanya ni kuwa na alert
thank you
Wanachofanya ni kuwa more vigilant kwa nchi zilizotajwa
Btw, Tanzania haijawahi kuwa na easy access to the USA because of our relationship with USSR/russia, China, Cuba etc
Walio eligible watakwenda tu
Wanafunzi wanaomeet requirements wataenda tu
Mbona saudia hawalazimishi demokrasia!?sio kwamba kwa sababu tumeachana na misingi ya demokrasia?
Mmeweza nini zaidi ya kuteka na kuua? Na ukae ukijia Marekani si ya wazungu peke yao bali hata waswahili wapo kama akina Barack Obama ni mswahili wa Kenya. Uache kutetea ujinga.Kwani tusipoenda marekani tutakufa?
Hii ndio inawapa jeuri hao wazungu kuona kuwa bila wao si hatuwezi.
Demokrasi ni kwa wachukua misaada tu!?Saudia inachukua misaada kutoka kwenye nchi gani?
Sasa hao unaowasema ndio Marekani inawawekaga kwenye orodha ya viza ban na siyo nchi nzima, ni kama Makonda amepigwa ban yeye na utawala wa Trump haruhusiwi kuingia Marekani, waende China huko kwa wahuñi wenzao.
Waende UK..inawezekana kwetu sisi watu wa chini.
..lakini vigogo na watoto wao Marekani ndio maeneo yao ya kutumbua pesa walizotuibia.