Tanzania yatajwa miongoni mwa nchi kumi bora Afrika kwa uwekezaji. Tarajieni mafuriko ya wawekezaji

Mkuu sio kuwa waliokuwa wanamtakia SSH maafa wana ufahamu mpana wa maendeleo ya nchi yetu.
Tulishazoea kutishwa na mabavu ,sasa wakisikia kuna mtu anaetaka utawala wa sheria wanakuwa wanafiki.
Watazoea tu mapigo ya mama,

Kwanza ameshamaliza kuwasoma kitambo,
 
Mie si pacha wako acha ujinga! Maccm wana sera MUFILISI, Vingivevyo baada ya miaka 60 tungekuwa kama South Korea lakini tuko HOHE HAHE!!!! hakuna chochote kile cha KUJIVUNIA!
Sio wewe, angalia nilikuwa namshukuru aliyekujibu,

Nakuwaje pacha namachadema aise,

πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›
 
Sawa
 
MKUU UNAWAPA WATU SHIDA SANA,
Waliamini Samia atashindwa, Sasa haya mataarifa yako yanawachanganya sana,
Shikilia hapohapo, Hii ndio siasa sasa,
Kila kitu naushahidi, wanabaki kutukana tu,

Samia ni mpango wa Mungu

"For the past few years" kwani Mh hata nusu ya pili ya mwaka wake wa kwanza madarakani kesha ianza. Atakuwa anachekea kifuani kwa kushangazwa akisoma na kusikia wanafiki na wakujipendekeza wanavo mvisha kilemba cha ukoka.
 
Soma hii comment mkuu inaweza ikakusaidia
 
πŸ‘‹πŸΏπŸ‘‹πŸΏπŸ‘‹πŸΏ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…