CM 1774858
JF-Expert Member
- May 29, 2021
- 5,621
- 5,029
- Thread starter
- #61
Watazoea tu mapigo ya mama,Mkuu sio kuwa waliokuwa wanamtakia SSH maafa wana ufahamu mpana wa maendeleo ya nchi yetu.
Tulishazoea kutishwa na mabavu ,sasa wakisikia kuna mtu anaetaka utawala wa sheria wanakuwa wanafiki.
Kwanza ameshamaliza kuwasoma kitambo,