Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Na wewe upo Kenya nini? mbona unaweweseka?
Mimi sio chawa kama wewe,baada ya UN kuwataka muondoe the so called askari naona mmepanic mwambie hangaya tuzo labda akahonge...eti rais mwenye ushawishi wakati kamgogoro ka loliondo na wasomi wote hao mmeshindwa kutatua mnasingizia wakenya.
bungeni ndio pameoza dakika 5 ukisikiliza una moyo wa chuma kwa mtu mwelewa mwanzo mwisho ni mapambio.
R.I.P JPM uzalendo wako halisi daima tutaukumbuka.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
UN kwani hua wanalinda maslahi ya nani kama si wale wenye sauti wenye nguvu duniani. Kama huwakilishi ubeberu wa kimataifa kwenye jambo lako UN hawakusikilizi na kukusemea. Utaona uongo na hila zinazopikwa na interest za wakubwa zinasemewa na wakenya na mara moja UN inalaumu tanzania. Utaona hata fitna kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la hoima wanaofanya fitna dhidi yake kwa kisingizio cha mazingira ni wakenya kwa niaba ya mabwanyenye wa nchinini kwao wakiungwa mkono na wawekezaji wa kimstaifa nchini humo.
 
Awamu hii imetokea Kenya, harakati zote zilianzia Kenya, leo hii Wakenya wamekuwa wabaya ?

Don’t bite the arm that feeds you !
 
Tandaa naona picha linanza hapa tutarajie Wamasai waliokatalia kuhama Ngorongoro na Loliondo kubambikwa kesi za wahamiaji haramu.
 
Mimi sio chawa kama wewe,baada ya UN kuwataka muondoe the so called askari naona mmepanic mwambie hangaya tuzo labda akahonge...eti rais mwenye ushawishi wakati kamgogoro ka loliondo na wasomi wote hao mmeshindwa kutatua mnasingizia wakenya.
bungeni ndio pameoza dakika 5 ukisikiliza una moyo wa chuma kwa mtu mwelewa mwanzo mwisho ni mapambio.
R.I.P JPM uzalendo wako halisi daima tutaukumbuka.
Nakukumbusha tu

kwa uzalendo wake JPM alichoma vifaranga vya Kenya

Wasalimie Nairobi waambie Watanzania Wameamka hawataki upuuzi tena
 
UN kwani hua wanalinda maslahi ya nani kama si wale wenye sauti wenye nguvu duniani. Kama huwakilishi ubeberu wa kimataifa kwenye jambo lako UN hawakusikilizi na kukusemea. Utaona uongo na hila zinazopikwa na interest za wakubwa zinasemewa na wakenya na mara moja UN inalaumu tanzania. Utaona hata fitna kuzuia ujenzi wa bomba la mafuta la hoima wanaofanya fitna dhidi yake kwa kisingizio cha mazingira ni wakenya kwa niaba ya mabwanyenye wa nchinini kwao wakiungwa mkono na wawekezaji wa kimstaifa nchini humo.
Sasa Tanzania tunaanza kuwashikisha adabu hawa wapuuzi kenya
 
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan

Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi

Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania

---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Ukikuta mtu anaongea lahaja hizi kamata sio MTANZANIA ni MNAROK huyo

1. Ameingia kwa mulango ....badala ya ameingilia mlangoni

2. Chenye amesema.......badala ya alichokisema

3. Ile maneno.........badala ya lile jambo

4. Ukiona mtu anamwita mke wake bibi....kamata

5. Ukimuona mtu anamwita bibi yake NYANYA ..............Kamata
 
Ndo
Ndo watajua sasa kuwa kuna Wamasai wa Kenya na Wamasai wa Tanzania! Hatutaki upuuzi saivi kwenye maendeleo yetu
Yaani hivi vijamaa vinakera sana. Ina maana hata wahaya waganda kyaka nao wasiwe na mipaka kwa sababu ya lugha na tabia
 
Nakukumbusha tu

kwa uzalendo wake JPM alichoma vifaranga vya Kenya

Wasalimie Nairobi waambie Watanzania Wameamka hawataki upuuzi tena
->Sababu walikuwa ni vifaranga wa kenya au sababu ni nini?
->kingine JPM hakuwa anakokotwa kama malaya na wawekezaji wangese na nyie mnashangilia kwa vigelegele,OBC yenye ilionja jiwe la moto.
->uchawa(umaskini) unanyima fursa ya kutumia akili kufikiri kwa upana mf.Salome makamba anashangaa mmasai kuongea kiingereza cha ndani at the same anajifanya anaijua ngorongoro sana,mnatia aibu sana.
->kama tungefikiri kwa mapana sana na kufocus kwenye human development badala ya asset and resource development hapo mbeleni technology revolution inaleta mapinduzi hata kwenye utalii mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Hizi boarders za mabeberu zinatuumiza vichwa na zinatumika vibaya. Anyway, ili mradi wasije victimize walala hoi bila sababu. Vigezo vya kuwatambua raia wetu vina walakini mkubwa.
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Piga masai yeyote atakayekiuka Sheria. Watanzania wote wanasharti la kutii Sheria. Masai hawapo juu ya Sheria. Wamedekezwa sana.
 
Ila ni sawa kwa Mwarabu kuwa juu ya Sheria?
 
->Sababu walikuwa ni vifaranga wa kenya au sababu ni nini?
->kingine JPM hakuwa anakokotwa kama malaya na wawekezaji wangese na nyie mnashangilia kwa vigelegele,OBC yenye ilionja jiwe la moto.
->uchawa(umaskini) unanyima fursa ya kutumia akili kufikiri kwa upana mf.Salome makamba anashangaa mmasai kuongea kiingereza cha ndani at the same anajifanya anaijua ngorongoro sana,mnatia aibu sana.
->kama tungefikiri kwa mapana sana na kufocus kwenye human development badala ya asset and resource development hapo mbeleni technology revolution inaleta mapinduzi hata kwenye utalii mf.Ujenzi wa NEOM CITY mradi unaogharimu $500billions phase 1 ni 2025,ndani yake kuna mradi konki unaitwa JURASIC PARK wanatumia teknolojia ya animatronic kuwatengeneza dinosaurs je? watalii wangapi wataenda huko TUFIKIRI NJE YA BOX.
Hizo hekaya za mwarabu sijui eneo kupewa mwekezaji kawadanganye wakenya wenzako
 
Back
Top Bottom