nguvusimba
JF-Expert Member
- Feb 17, 2020
- 1,124
- 1,839
kama mmasai siyo binadamu basi anaweza kuvuka mpaka wa nchi moja kwenda nyingine kama nyumbu bila kukaguliwa, lakini kama mmasai ni binadamu kama ilivyo, basi kufuata sheria ikiwamo sheria za uhamiaji ni lazima.Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
kama mmasai siyo binadamu basi anaweza kuvuka mpaka wa nchi moja kwenda nyingine kama nyumbu bila kukaguliwa, lakini kama mmasai ni binadamu kama ilivyo, basi kufuata sheria ikiwamo sheria za uhamiaji ni lazima.
Tulia mkuu acha kupotosha....na usiwe mwepesi kuconclude mambo,pia usijihami kihivyo kwa kudhani uko sahihi. Stop these maasai propaganda instead washauri wahame. Kwenye hii issue ilpofika hata asimame Putin kuwatetea watatoka.They go down fighting for their land, siyo kama wewe hauna chochote, no culture, no Pride no nothing na ndio maana leo hii uko hapa kutetea mwarabu, uko kama Mbuzi anayemtetea mwenye bucha!
You may be having that mental retardation too!!! The issue here is simple only that you are complicating it with no reason.Na Wahindi, Waarabu, Wachina wanaofanya viwandani bila ya vibali je? Kwa nini msihangaike na hao kwanza? Kuna Wachina na Waarabu Kariakoo wanauza nyanya, nani kawapa vibali? Una chuki binafsi dhidi ya watu weusi wakati wewe ni mweusi pia.
Free youself from mental slavery first, aliimba Bob Marley!
You may be having that mental retardation too!!! The issue here is simple only that you are complicating it with no reason.
Kila MTU anaishi kwa kufuata sheria so masaai wa ngorongoro wamejiharibia wenyewe kwa kuwakaribisha wakenya,THEY SHOULD LEAVE!!!!
watu msiojua geopolitics ya wamasai mna uono mdogo sana. Tangu lini mmasai akawa mhamiaji haramu? Ulishawahi kujiuliza kwa nini wamasai hata pale Namanga huwa hawaulizwi passport wala kitambulisho chochote. Ulishawahi kujiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa wamasai anakuwa mkuu kwa wamasai wote Kenya na Tanzania?Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.
"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Hili zoezi sasa ndiyo litahalalisha wahamiaji haramu. Kwani NIDA ilishakamilisha zoezi la kuwaandikisha Wamasai wote Watanzania? Au sasa Uhamiaji inachukua jukumu hilo?Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan
Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi
Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania
---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.
Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.
"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.
Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
Ww ni Kichaa.Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Wamakonde wanatambulika vipi kama hawa wa MSUMBIJI AU TANZANIA?????Mmasai utambua vipi kama ni Mkenya au TZ ?
Kwahiyo wamasai hawana URAIA??watu msiojua geopolitics ya wamasai mna uono mdogo sana. Tangu lini mmasai akawa mhamiaji haramu? Ulishawahi kujiuliza kwa nini wamasai hata pale Namanga huwa hawaulizwi passport wala kitambulisho chochote. Ulishawahi kujiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa wamasai anakuwa mkuu kwa wamasai wote Kenya na Tanzania?
Mkuu, shughulisha ubongo wako. Huu ushabiki wa kiccm unakupunguzia hekima kichwani
usipoelewa kitu unauliza ueleweshwe siyo unauliza kisha unatukana.Kwahiyo wamasai hawana URAIA??
Mkuu punguza undezi basi??
Kipo kipimo rahisi kabisa, ambaye ni raia halisi wa TZ atakubali kuhamishiwa Handeni. Anayesita ni mhamiaji haramu. Full stop!Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Kuna wakati mwingine mazoea hujeuka kuwa kilema. Mlizowea sana kujitangaza kitalii kiasi hata mbuga zilizoko Tanzania mkawaambia watalii kuwa ziko Kenya, hata Mlima Kilimanjaro mpaka leo mnaendelea kutangaza hivyo! Sasa saizi ya mkanda wa suruali lazima ipungue.Umelala bado!
Kuna wakati mwingine mazoea hujeuka kuwa kilema. Mlizowea sana kujitangaza kitalii kiasi hata mbuga zilizoko Tanzania mkawaambia watalii kuwa ziko Kenya, hata Mlima Kilimanjaro mpaka leo mnaendelea kutangaza hivyo! Sasa saizi ya mkanda wa suruali lazima ipungue.
Aliyekwenda kumfuata JPM akiwa mapumziko chato alikuwa amefuata nn?Nani aliyepiga goti na kuomba radhi Wakenya tena ndani ya Ikulu ya Tanzania? Mnajipendekeza wenyewe na kujishusha kwa Wakenya halafu wakiwa command mnaanza kulia?
Mbona wao Wakenya hawawaombi radhi sasa kama ninyi mlivyowaomba radhi?
Mko rejected lkn bado tu mnajipendekeza, do work on your self first, you are just too weak for this life.
Kwa nini Wanasiasa wa Tanzania wanakimbilia Kenya? Ulishaona Mkenya akikimbilia Tanzania ?
Ukikuta mtu anaongea lahaja hizi kamata sio MTANZANIA ni MNAROK huyo
1. Ameingia kwa mulango ....badala ya ameingilia mlangoni
2. Chenye amesema.......badala ya alichokisema
3. Ile maneno.........badala ya lile jambo
4. Ukiona mtu anamwita mke wake bibi....kamata
5. Ukimuona mtu anamwita bibi yake NYANYA ..............Kamata
Wamasai wa Tanzania tunawajua hawatusumbui! ila wa Kenya watakiona cha mtema kuniShida ya hawa wamasai wanamove Kenya na Tanzania kama nyumbu tuu kwahiyo ni muhimu uhamiaji wakafanya hiyo operation