Tanzania Yatangaza Operesheni Maalum kuondoa Wahamiaji haramu eneo la Ngorongoro na Loliondo

Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
kama mmasai siyo binadamu basi anaweza kuvuka mpaka wa nchi moja kwenda nyingine kama nyumbu bila kukaguliwa, lakini kama mmasai ni binadamu kama ilivyo, basi kufuata sheria ikiwamo sheria za uhamiaji ni lazima.
 
Na Wahindi, Waarabu, Wachina wanaofanya viwandani bila ya vibali je? Kwa nini msihangaike na hao kwanza? Kuna Wachina na Waarabu Kariakoo wanauza nyanya, nani kawapa vibali? Una chuki binafsi dhidi ya watu weusi wakati wewe ni mweusi pia.

Free youself from mental slavery first, aliimba Bob Marley!
 
They go down fighting for their land, siyo kama wewe hauna chochote, no culture, no Pride no nothing na ndio maana leo hii uko hapa kutetea mwarabu, uko kama Mbuzi anayemtetea mwenye bucha!
Tulia mkuu acha kupotosha....na usiwe mwepesi kuconclude mambo,pia usijihami kihivyo kwa kudhani uko sahihi. Stop these maasai propaganda instead washauri wahame. Kwenye hii issue ilpofika hata asimame Putin kuwatetea watatoka.

Ikiwa ngorongoro anapewa mwarabu kama ulivyocomment basi ni kwa masilahi mapana ya taifa.
ILA
Ikiwa ni kwa masilahi ya wachache then IPO siku they will be brought to books.
 
Na Wahindi, Waarabu, Wachina wanaofanya viwandani bila ya vibali je? Kwa nini msihangaike na hao kwanza? Kuna Wachina na Waarabu Kariakoo wanauza nyanya, nani kawapa vibali? Una chuki binafsi dhidi ya watu weusi wakati wewe ni mweusi pia.

Free youself from mental slavery first, aliimba Bob Marley!
You may be having that mental retardation too!!! The issue here is simple only that you are complicating it with no reason.
Kila MTU anaishi kwa kufuata sheria so masaai wa ngorongoro wamejiharibia wenyewe kwa kuwakaribisha wakenya,THEY SHOULD LEAVE!!!!
 
Aliyewakaribisha Wakenya ni nani ? Anzia hapo kwanza, nani aliyewaomba radhi ndani ya Ikulu ? Umewanyenyekea, kuwapigia magoti na kuwakaribisha sasa wameingia unaanza kulia lia tena?
Una hasira na chuki dhidi ya Wamasai wakati nchi nzima yako inawaabudu Wakenya ?

Kwani ni kosa la Mmasai kwamba una inferiority complex kwa nchi ya Kenya ?
 
Hongera sana Rais wangu mahiri Samia Suluhu Hassan

Huu ndo mwendo wa kwenda nao hawa wapuuzi wote wa Kenya. Lazima sasa wajue waliokuwa wanamuona kama The Sleeping Giant, ameamka rasmi

Sasa tunawaonyesha kwa jinsi gani tunalinda maslahi mapana ya Tanzania

---
Kamishna Jenerali wa Jeshi la Uhamiaji nchini Dkt. Anna Makakala, ametangaza kuanza kwa oparesheni maalum ya siku kumi kwa ajili ya kuwasaka wahamiaji haramu katika eneo la Loliondo na Ngorongoro mkoani Arusha.

Kamishna Jenerali Makakala amebainisha hayo leo Juni 22, 2022, katika Tarafa ya Loliondo, na kusema kuwa zoezi hilo litaenda sawia na zoezi linaloendelea la uwekaji wa alama za mipaka katika pori Tengefu la Loliondo.

"Nchi yetu imebarikiwa kwa kuwa na maeneo mazuri ambayo yanavutia wahamiaji haramu kufika nchini kwa sababu tofauti, hatutakubali hilo litokee wakati wowote ule," amesema Kamishna Makakala.

Dkt. Makakala amesisitiza kufuatwa kwa sheria za nchi pale wageni wanapotaka kuingia au kutoka nchini, na kwamba Uhamiaji wamejipanga vema kusimamia eneo hilo katika mipaka yote nchini.
watu msiojua geopolitics ya wamasai mna uono mdogo sana. Tangu lini mmasai akawa mhamiaji haramu? Ulishawahi kujiuliza kwa nini wamasai hata pale Namanga huwa hawaulizwi passport wala kitambulisho chochote. Ulishawahi kujiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa wamasai anakuwa mkuu kwa wamasai wote Kenya na Tanzania?

Mkuu, shughulisha ubongo wako. Huu ushabiki wa kiccm unakupunguzia hekima kichwani
 
Hili zoezi sasa ndiyo litahalalisha wahamiaji haramu. Kwani NIDA ilishakamilisha zoezi la kuwaandikisha Wamasai wote Watanzania? Au sasa Uhamiaji inachukua jukumu hilo?

Sent from my ONEPLUS A5000 using JamiiForums mobile app
 
Shida ya hawa wamasai wanamove Kenya na Tanzania kama nyumbu tuu kwahiyo ni muhimu uhamiaji wakafanya hiyo operation
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Ww ni Kichaa.
 
watu msiojua geopolitics ya wamasai mna uono mdogo sana. Tangu lini mmasai akawa mhamiaji haramu? Ulishawahi kujiuliza kwa nini wamasai hata pale Namanga huwa hawaulizwi passport wala kitambulisho chochote. Ulishawahi kujiuliza kwa nini kiongozi mkuu wa wamasai anakuwa mkuu kwa wamasai wote Kenya na Tanzania?

Mkuu, shughulisha ubongo wako. Huu ushabiki wa kiccm unakupunguzia hekima kichwani
Kwahiyo wamasai hawana URAIA??

Mkuu punguza undezi basi??
 
Kwahiyo wamasai hawana URAIA??

Mkuu punguza undezi basi??
usipoelewa kitu unauliza ueleweshwe siyo unauliza kisha unatukana.
vijana wa kitanzania mnatia aibu sana. uwezo wenu wa kuchakata issues ni mdogo sana. issue ikiwa juu ya uelewa wako unaishia kutukana tu. ni aibu sana
 
Nguvu yote ya nini, kama ni kweli ni kulinda mazingira kwa nini UN wa condem? Besides, tangia lini Mmasai akawa mhamiaji haramu? Mmasai hata boda hakaguliwi, analisha ng‘ombe popote, wanajuaje kama ni Wakenya/TZ?
Kipo kipimo rahisi kabisa, ambaye ni raia halisi wa TZ atakubali kuhamishiwa Handeni. Anayesita ni mhamiaji haramu. Full stop!
 
Umelala bado!
Kuna wakati mwingine mazoea hujeuka kuwa kilema. Mlizowea sana kujitangaza kitalii kiasi hata mbuga zilizoko Tanzania mkawaambia watalii kuwa ziko Kenya, hata Mlima Kilimanjaro mpaka leo mnaendelea kutangaza hivyo! Sasa saizi ya mkanda wa suruali lazima ipungue.
 
Hadithi nzuri sana hii,
Kwanza wale waliojitoa kwa hiari waondoke.
Kitachofuata ni wahamiaji haramu wahamishwe kwa lazima.jela zitahusika
 
Kuna wakati mwingine mazoea hujeuka kuwa kilema. Mlizowea sana kujitangaza kitalii kiasi hata mbuga zilizoko Tanzania mkawaambia watalii kuwa ziko Kenya, hata Mlima Kilimanjaro mpaka leo mnaendelea kutangaza hivyo! Sasa saizi ya mkanda wa suruali lazima ipungue.

Nani aliyepiga goti na kuomba radhi Wakenya tena ndani ya Ikulu ya Tanzania? Mnajipendekeza wenyewe na kujishusha kwa Wakenya halafu wakiwa command mnaanza kulia?

Mbona wao Wakenya hawawaombi radhi sasa kama ninyi mlivyowaomba radhi?

Mko rejected lkn bado tu mnajipendekeza, do work on your self first, you are just too weak for this life.

Kwa nini Wanasiasa wa Tanzania wanakimbilia Kenya? Ulishaona Mkenya akikimbilia Tanzania ?
 
Kamishna Jenerali Makakala...
Dkt. Makakala...

Dah hadi raha yaani! Asikwambie mtu madaraka/cheo ma elimu ukiwa navyo vyote ni raha sana

Lakini kikwetu neno "makakala" linamaanisha ma-troubles (makeke)
 
Nani aliyepiga goti na kuomba radhi Wakenya tena ndani ya Ikulu ya Tanzania? Mnajipendekeza wenyewe na kujishusha kwa Wakenya halafu wakiwa command mnaanza kulia?

Mbona wao Wakenya hawawaombi radhi sasa kama ninyi mlivyowaomba radhi?

Mko rejected lkn bado tu mnajipendekeza, do work on your self first, you are just too weak for this life.

Kwa nini Wanasiasa wa Tanzania wanakimbilia Kenya? Ulishaona Mkenya akikimbilia Tanzania ?
Aliyekwenda kumfuata JPM akiwa mapumziko chato alikuwa amefuata nn?
 
Ukikuta mtu anaongea lahaja hizi kamata sio MTANZANIA ni MNAROK huyo

1. Ameingia kwa mulango ....badala ya ameingilia mlangoni

2. Chenye amesema.......badala ya alichokisema

3. Ile maneno.........badala ya lile jambo

4. Ukiona mtu anamwita mke wake bibi....kamata

5. Ukimuona mtu anamwita bibi yake NYANYA ..............Kamata

6. Ukiona mtu badala ya kusema kupiga yowe au ukunga yeye anasema......... KUPIGA NDURU....kamata kabisa katoka Narok huyo
 
Shida ya hawa wamasai wanamove Kenya na Tanzania kama nyumbu tuu kwahiyo ni muhimu uhamiaji wakafanya hiyo operation
Wamasai wa Tanzania tunawajua hawatusumbui! ila wa Kenya watakiona cha mtema kuni
 
Back
Top Bottom