Tanzania yavunja rekodi ya kuvutia watalii milioni 5 mwaka 2024. Huu ni ushindi mwingine wa kwa Sera ya kufungua nchi

Acha sifa za kijinga, hakuna rais aliyewahi kuzuia watalii kuingia humu nchini. Kama watalii wameongezeka huo ni uhalisia wa utalii duniani na sio hizo hadaa kuwa ni rais kafungua nchi.
Sawa hakuna huyo Rais,Sasa utilize Je uliwahi ona Rais akicheza Filamu kuhamasisha Utalii hapo kabla?

Kwa nini Kasi ya Utalii iwe kubwa Kwa 43% awamu ya Samia? Kwani miaka mingine nini kilishindikana?

Ingekuwa ni Kasi ya Utalii Duniani basi France ambao wanaoongozwa Kwa Utalii wange recover na kupita viwango vya pre pandemic lakini haijawa hivyo.

So punguza wivu na ujinga,Utalii wa Tanzania umechochewa na hamasa ya Rais,kupunguza matozo ,kufungua Nchi Kwa uwekezaji na pia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu ya hifadhi.

Ni vile una akili za kuku ila nakukumbushia tuu kwamba Kupitia hela za COVID 19 ,hifadhi zilichonga Barabara Mpya,zikanunua magreda Yao,zikanunua magari ya walinzi nk.

Kupitia REGROW Serikali imejenga viwanja vya ndege hifadhi za Ruaha,Mikumi na Nyerere pamoja na miundombinu mingine.

Mwisho huna ulijualo zaidi ya wivu na chuki na Kwa Samia Kila goti litapigwa.

View: https://x.com/UchumiForum/status/1886325263564173736?t=2MI_nvvHZo43qAt0jzPorA&s=19
 
hv ilifungwa kwa sababu zipi mkuu? nipo kitaa hapa na batu wanataka kujua, wanasema hawajawahi kusikia hayo.
Sera za Shari za Utawala uliokuwepo na pia kutowahudhuria mialiko ya majirani au kunimuika na wenzie.

On top of that kupora hela za wafanyabiashara wakakimbia na ndio maana uwekezaji uliporomoka
 
Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.

Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1..

Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.

========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.

Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.

The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm

My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.
Kwakweli unafanya kazi kubwa sana mr chawa....napendekeza uongezewe posho
 
Kuna watu nchi hii wamesomea kuwa wajinga. Tunajivunia nini kwenye nchi yetu matatizo kama ya kwetyu? Tuna kazi kubwa ya kufanya sio kueneza hizi siasa za maji taka.
Ndio maana baada ya mambo kuwa magumu, baadhi wameyaita majini yawape msaada
 
Sawa hakuna huyo Rais,Sasa utilize Je uliwahi ona Rais akicheza Filamu kuhamasisha Utalii hapo kabla?

Kwa nini Kasi ya Utalii iwe kubwa Kwa 43% awamu ya Samia? Kwani miaka mingine nini kilishindikana?

Ingekuwa ni Kasi ya Utalii Duniani basi France ambao wanaoongozwa Kwa Utalii wange recover na kupita viwango vya pre pandemic lakini haijawa hivyo.

So punguza wivu na ujinga,Utalii wa Tanzania umechochewa na hamasa ya Rais,kupunguza matozo ,kufungua Nchi Kwa uwekezaji na pia kufanya uwekezaji mkubwa kwenye miundombinu ya hifadhi.

Ni vile una akili za kuku ila nakukumbushia tuu kwamba Kupitia hela za COVID 19 ,hifadhi zilichonga Barabara Mpya,zikanunua magreda Yao,zikanunua magari ya walinzi nk.

Kupitia REGROW Serikali imejenga viwanja vya ndege hifadhi za Ruaha,Mikumi na Nyerere pamoja na miundombinu mingine.

Mwisho huna ulijualo zaidi ya wivu na chuki na Kwa Samia Kila goti litapigwa.

View: https://x.com/UchumiForum/status/1886325263564173736?t=2MI_nvvHZo43qAt0jzPorA&s=19

Nimecheka kwa nguvu vibaya sana
 
Sera za Shari za Utawala uliokuwepo na pia kutowahudhuria mialiko ya majirani au kunimuika na wenzie.

On top of that kupora hela za wafanyabiashara wakakimbia na ndio maana uwekezaji uliporomoka
Asanti kwa mu answer. lakini majibu hayajitoshelezi.

Banauliza Nchi Ilifungwa lini na kwa sheria gani hiyo? Aise hawa jamaa sasa naona watanigeukia mm hapa. mie ndio mwenye bando ss hv na wanategemea majibu yaliyonyooka

Wanataka majibu sio assumption zisizokuwa na mashiko.
 
Kuna watu nchi hii wamesomea kuwa wajinga. Tunajivunia nini kwenye nchi yetu matatizo kama ya kwetyu? Tuna kazi kubwa ya kufanya sio kueneza hizi siasa za maji taka.
Ndio maana baada ya mambo kuwa magumu, baadhi wameyaita majini yawape msaada
😇😇😇😇
 
Nimeshajibu fuatilia Uzi post no.44
 
Kuna watu nchi hii wamesomea kuwa wajinga. Tunajivunia nini kwenye nchi yetu matatizo kama ya kwetyu? Tuna kazi kubwa ya kufanya sio kueneza hizi siasa za maji taka.
Ndio maana baada ya mambo kuwa magumu, baadhi wameyaita majini yawape msaada
Wewe ndio mjinga nadhani.Mbona tuna mengi ya kunivunia kuliko hayo matatizo unayoyataja wewe ambayo ndio unayaona?

Mafanikio kwenye sekta ya Utalii ni exceptional na kazi inaendelea 👇 👇

View: https://www.instagram.com/p/DFnvCbOtpKH/?img_index=6&igsh=OWtxZm8zNTBpNHR4

Itoshe kusema Bado hujacheka fanya kucheka tena 👇👇

View: https://x.com/MNRT_Tanzania/status/1863564920177996059?t=0rn3nwDyGZe6BHHKchfw5A&s=19
 
Back
Top Bottom