Sera za Rais Samia hususani za kufungua Nchi zinaendelea kuzaa matunda na kuwaacha midomo wazi washindani wake na wenye chuki binafsi.
Lengo la watalii Milioni 5 liliwekwa lifikiwe mwaka 2025 lakini kabla ya mwaka huo tayari idadi hiyo imefikiwa mwaka 2024 Kwa watalii wa ndani zaidi ya miliioni 3.2 na watalii wa Kimataifa zaidi ya Milioni 2.1..
Ukweli lazima usemwe kwamba hakuna namna Samia ameweza kufaulu.kwa Ukubwa sana Kila sekta kiasi kwamba Wapinzani wake wamebakia kuokoteza vijisababu vya kijinga visivyo na mashiko.
========================================================
Tanzania hosted 5.36 million tourists in 2024, a record high and breaking its target of attracting 5 million tourists by 2025, said Pindi Chana, minister for natural resources and tourism, Friday.
Chana told a meeting of stakeholders in the tourism industry, including investors, travel companies, and government officials in the port city of Dar es Salaam, that out of the total tourists that visited the country's attractions, 3.22 million were domestic tourists and 2.14 million were international visitors.
The tourism sector generated approximately 4 billion U.S. dollars in revenue last year, falling short of the ambitious target set by the governm
My Take
Tusipoteze mda wa kufanya uchaguzi wakati Kiongozi anayetoa majibu yupo. Pia soma
UNWTO: Tanzania Yashika Namba 6 Duniani Kwa Kasi ya Kuvutia Watalii.Wadau Wapongeza Royal Tour ya Rais Samia.