Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga Sana, hivi hivi ulikua unabisha ukisema kwamba GDP ya nchi ni matokeo ya Pato linaloongezeka kila mwaka, kwamba haitokani na malimbikizo ya miaka ya nyuma, Sasa umekubali kwamba ulikua umekosea.
Jukumu la nchi yoyote duniani sio kuingiza umeme majumbani au viwandani, jukumu ni kupeleka umeme hadi katika maeneo yote ambako umeme unakohitajika, jukumu la kuingiza umeme Nyumbani ni jukumu la mtu au kampuni binafsi, Sasa ukisema serikali imeingiza umeme ndani ya Nyumba za watu, unataka kutuambia kwamba imewalipia, kuwakopesha au imewaingizia umeme Bure?.
Hivi wewe kwa ujinga wako unataka kutudanganya kwamba 80% za Nyumba kule Turkana, Wajir, Marsabiti na Isiolo ambako hata hakuna barabara, maji au hata chakula, Kuna umeme?.hiyo 80% Kama ni kweli, basi ni "Urban electrification coverage", lakini kwa upande wa"rural electrification", bado mpo nyuma Sana.
Punguza ujinga wako Tony, pamoja na uongo wa Jubilee, lakini miongoni mwa sababu za kushindikana kwa mpango wa "Tablet per child" huko Kenya ni kwasababu vijiji vingi havina umeme.
I am 100% sure", Kenya vijijini coverage yenu haijazidi 65%, prove me wrong, weka ushabiki kando, lete data hata za video kutoka kwa kiongozi wa Kenya kuonyesha kwamba zaidi ya 65% ya vijiji vya Kenya vimeshafikiwa na umeme. Huwezi kuunganisha umeme kwa watu vijijini kabla ya huo umeme kufika huko vijijini
Sent from my itel L5007 using
JamiiForums mobile app