Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Unaumwa ukiwa wapi tukutumie panadol?Basi kutakuwa na wakenya wengi ambao ni homeless huko turkana and the like
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaumwa ukiwa wapi tukutumie panadol?Basi kutakuwa na wakenya wengi ambao ni homeless huko turkana and the like
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati Kenya tunazungumza kuhusu 'last mile connectivity'. Ambayo inahusisha kuunganisha umeme hadi kwenye stage ya mwisho. Yaani nyumba baada ya nyumba, hata pale ambapo wakazi hawana uwezo wa kulipia huduma hiyo. Hawa wenzetu wanaturingia na kujiita vinara, kisa eti wameanza kuunganisha vijiji. 😆 Hivi Kenya kwenye nyakati hizi kuna kijiji ambacho hakijaunganishwa kwenye grid?Yes, kuna mradi wa serikali wa last mile inaangusha umeme kwenye low income houses zisizokuwa na uwezo kugaramikia connection fees na wiring. Unawekewa meter na vitu basic kama taa na socket na hulipii chochote
View attachment 2290428
Connection fees utakuwa charged pole pole through your electricity bills
Alafu hizi vijiji vyao ndo sub-locations huku kenya. Eti ukifikisha post ya stima kwenye sub-locations kama kangemi, muthaiga, kyuna n.k, unahesabu hizo areas kama ziko na umeme [emoji1787][emoji1787]. Watanzania ni majokersWakati Kenya tunazungumza kuhusu 'last mile connectivity'. Ambayo inahusisha kuunganisha umeme hadi kwenye stage ya mwisho. Yaani nyumba baada ya nyumba, hata pale ambapo wakazi hawana uwezo wa kulipia huduma hiyo. Hawa wenzetu wanaturingia na kujiita vinara, kisa eti wameanza kuunganisha vijiji. [emoji38] Hivi Kenya kwenye nyakati hizi kuna kijiji ambacho hakijaunganishwa kwenye grid?
Watanzania acheni hizi comedy, hawa viongozi wenu huwa wanawabeba malenge sana. Ndio maana anayezungumza kuhusu vitu kama hivyo ni spika. Yaani siasa siasa tu na usanii, sasa spika huwa anahusika vipi kwenye masuala ya kuunganisha umeme au hata ujenzi wa miundombinu?
Can a lab technician be an intelligent person?, Stupid.You are the idiot here. You hate being proven wrong and at the same time you want us to believe Stupids things you are talking about which you can't even support using facts. For your information, I'm more intelligent than you and your entire generations.
For your information, I'm not aLab technician but a Microbiologist. Microbiologists are the custodians of your life, so don't joke with them. When dangerous diseases like COVID and Ebola erupts everything is left in the hands of microbiologists to show people the way. Microbiologists are the people who know how to grow, control, treat and eradicate any kind of diseases in this universe. Such people have intelligent quotient that your president can't even dream of. Life science revolves around Microbiology and your miserable life depends on us Microbiologists.Can a lab technician be an intelligent person?, Stupid.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
In medical field, the most intelligent people are going to be medical doctors, the second class to paramedical fields, microbiologist is among them.For your information, I'm not aLab technician but a Microbiologist. Microbiologists are the custodians of your life, so don't joke with them. When dangerous diseases like COVID and Ebola erupts everything is left in the hands of microbiologists to show people the way. Microbiologists are the people who know how to grow, control, treat and eradicate any kind of diseases in this universe. Such people have intelligent quotient that your president can't even dream of. Life science revolves around Microbiology and your miserable life depends on us Microbiologists.
Come to Kenya and see what Microbiologists do in KEMRI. Remember KEMRI is the best research institute in Africa. Just to make you understand one thing, medical doctors only treat what they are aware of, and how do they become aware of these diseases? It's through Microbiologists. Without Microbiologists even the drugs you are using can't be developed.In medical field, the most intelligent people are going to be medical doctors, the second class to paramedical fields, microbiologist is among them.
I am very much aware of this area, actually, in Africa is very difficult to separate Microbiologist and lab technician because they almost perform the same tasks, collection of specimen, do microscopic examinations to identify presence of micro organism and give results to customers, very few researches and no new discoveries in Africa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
What you know about Microbiology is just the cover, you have no idea of what's inside. Microbiologist performs research ranging from zoology to botany. That's why they are able to develop drugs from plant sources which lab technician can't do. Lab technician have no knowledge in biosecurity which involves using using organisms to make weapons.I am very much aware of this area, actually, in Africa is very difficult to separate Microbiologist and lab technician because they almost perform the same tasks, collection of specimen, do microscopic examinations to identify presence of micro organism and give results to customers, very few researches and no new discoveries in Africa.
Acha urongoHuu ni ujinga. Bado mpo nyuma sana kama mnaongea kuhusu kuunganisha vijiji na umeme. Tuambie mumeunganisha nyumba ngapi na umeme. Hapa Kenya around 80% ya nyumba zote zina umeme.
There so many diseases which don't even need Microbiologist, High blood pressure, Cancer, Cardiovascular diseases, therefore microbiology is very small brach in medical field.Come to Kenya and see what Microbiologists do in KEMRI. Remember KEMRI is the best research institute in Africa. Just to make you understand one thing, medical doctors only treat what they are aware of, and how do they become aware of these diseases? It's through Microbiologists. Without Microbiologists even the drugs you are using can't be developed.
If you could have known that microorganisms contribute to the regulation of blood pressure then you could have not typed something like this. Blood pressure is as a result of vasodilation and vasoconstriction and high blood pressure is because of vasoconstriction, Microorganisms are among the causes of vasoconstriction. For Cancer, did you know that 15% of all cancer cases in the world is caused by microorganisms? Doctors doesn't give microbiologists order but it's microbiologists that tells the doctors DOS & DON'TS.There so many diseases which don't even need Microbiologist, High blood pressure, Cancer, Cardiovascular diseases, therefore microbiology is very small brach in medical field.
You all support doctors, without them you can't do anything in medical field, they give you orders on what to do.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sio kweli broHuu ni ujinga. Bado mpo nyuma sana kama mnaongea kuhusu kuunganisha vijiji na umeme. Tuambie mumeunganisha nyumba ngapi na umeme. Hapa Kenya around 80% ya nyumba zote zina umeme.
Mi ni mtz ika viongozi wengi wa Tz ni waongo kama shetani na wanafiki Sana. Mijini umeme hamna, vijijini?Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.