Tanzania yawa nchi ya mfano SADC, vijiji vyote kupata umeme mwishoni mwa mwaka huu (2022)

Umeme huu huu ?maana Dar tu kuunganishiwa umeme Shughuli haya wacha tuone!
 
Wewe Tony wacha ubishi wa kijinga, hakuna serikali yoyote yenye kuingiza au kulipia mtu kupata huduma za kijamii, jukumu la serikali yoyote ni kuhakikisha kwamba huduma ya maji, afya, Elimu na chakula ipo "accessible within vicinity", hiyo ndio maana ya kupatikana kwa maji, umeme, barabara, shule na chakula kwa wote.

Sio kazi ya serikali kuhakikisha kila mtu anakwenda Hospitali akiumwa, au anaingiza umeme Nyumbani kwake au Barabara hadi Nyumbani kwake, au maji hadi Nyumbani kwake, hiyo inategemea Kama huyo mtu yupo na uwezo wa kupata na anataka kupata hizo huduma, lazima mtu afanye kazi ili apate uwezo wa kulipia. Serikali ikishafikisha huduma katika maeneo yote yanayoishi watu, hapo ndipo serikali imemaliza kazi yake

Hivi wewe kwa akili yako Jiji la Dar es Salaam pekee lenye wakazi 6M ambalo kwa data za Sasa za Tanzania ambapo "Urbun electrification rate ni 95%, jumla ya Nyumba zenye kuunganishwa na umeme hazizidi hiyo 2.7M?. Sasa chukulia miji mikubwa Tanzania ni zaidi ya 30, ni mtu mjinga pekee anayezungumzia Nyumba 2.7M.

Sikiliza Tony, universal access inazungumzia percentage ya population iliyofikiwa na huduma ya jamii, iwe ni Afya, maji au umeme, kwa upande wa maji, lazima hayo maji yapatikane ndani ya kila Kijiji lakini sio kila Nyumba, Afya ni hivyo hivyo.

Tafadhali tupe data za Kenya za "Urbun electrification rate & Rural electrification rate ili tupate average, kumbuka 75% ya wakenya wanaishi vijijini.

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Idadi ya nyumba hapo Dar haijazidi 1 million
 
Urban electrification Tanzania ni " over 90%, Tanzania Kuna majiji 6 na zaidi ya miji 20, kwa makadirio ya chini kila Jiji Kuna Nyumba 500k zilizounganishwa umeme, katika hayo majiji 6 pekee, tayari ni 3M. Hiyo miji ishirini chukulia kila mji ni Nyumba 100K, hiyo ni sawa na 2M.
Kuna wakati unapaswa uweke ushabiki na wivu kando kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Urban electrification Tanzania ni " over 90%, Tanzania Kuna majiji 6 na zaidi ya miji 20, kwa makadirio ya chini kila Jiji Kuna Nyumba 500k zilizounganishwa umeme, katika hayo majiji 6 pekee, tayari ni 3M. Hiyo miji ishirini chukulia kila mji ni Nyumba 100K, hiyo ni sawa na 2M.
Kuna wakati unapaswa uweke ushabiki na wivu kando kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Sasa unafikiri hii data ya 2.7 million tumejitungia au ni serikali yenu ilitoa hii data?
 
Mbona serikali yetu inasema "electrification coverage ni 83% lakini mnapinga badala yake mnashikilia hiyo 2.7M, Kama sio wivu ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Urban electrification Tanzania ni " over 90%, Tanzania Kuna majiji 6 na zaidi ya miji 20, kwa makadirio ya chini kila Jiji Kuna Nyumba 500k zilizounganishwa umeme, katika hayo majiji 6 pekee, tayari ni 3M. Hiyo miji ishirini chukulia kila mji ni Nyumba 100K, hiyo ni sawa na 2M.
Kuna wakati unapaswa uweke ushabiki na wivu kando kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Endeleeni kuunganisha vijiji wakati serious people are connecting households.

Tony254

Screenshot_20220723-011123.png
 
Urban electrification Tanzania ni " over 90%, Tanzania Kuna majiji 6 na zaidi ya miji 20, kwa makadirio ya chini kila Jiji Kuna Nyumba 500k zilizounganishwa umeme, katika hayo majiji 6 pekee, tayari ni 3M. Hiyo miji ishirini chukulia kila mji ni Nyumba 100K, hiyo ni sawa na 2M.
Kuna wakati unapaswa uweke ushabiki na wivu kando kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Ingekuwa unabishana kutumia facts tungekuchukua serious. But since you are known for forking words out of your buttocks, you have no difference with a kindergarten kid. Tanzania nzima only have 3.2M customers connected to electricity, this includes both urban and rural households. This is according to your power distribution company. Remember Kenya has 8.5M households connected to electricity.

Tony254

JamiiForums-233330013.jpeg
 
Mbona serikali yetu inasema "electrification coverage ni 83% lakini mnapinga badala yake mnashikilia hiyo 2.7M, Kama sio wivu ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your government stated clearly that your electrification coverage in relation to villages is 83% but when it comes to households coverage which is the indication used worldwide, it comes back to 3.2M which translates to about 39% coverage.
 
Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Kwani umesikia haya ni mashindano we dogo?

Halafu Kenya kwani mna jiografia kubwa kama ya kwetu? Nyie watu wote wanakaa huku Kusini, kule Kaskazini ni jangwa watu ni wachache sana.

Tanzania kwanza ni kubwa kuliko Kenya, na watu wametapakaa nchi nzima maana nchi yote inakalika.

Misri ndo usiitaje kabisa. Misri watu wote wanaishi Cairo na Alexandria. Huku kwingine watu wote wamejikusanya kando ya mto Nile. Unashidwaje kuwapelekea umeme kwa 100% ?
 
Upo sahihi. Sasa mwelezee ndugu yako joto la jiwe ili awache ubishi.
 
Mzee wacha kusumbua watu na mambo ya villages hapa. Mimi naongea kuhusu idadi ya nyumba zilizokuwa connected to electricity. Nyumba 8 million za Kenya zipo connected to electricity wakati nyumba 2.7 million pekee za Tanzania ndio zipo connected to electricity.
Basi kutakuwa na wakenya wengi ambao ni homeless huko turkana and the like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom