REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 2,293
- 8,231
Morocco ni 100% wewe "Goigoi". Kuvuta umeme ni utashi wa mtu wewe Huihui, Bundi!Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Mtu anaweza amua kutumia Solar or any other acceptable means. Jukumu la Serikali yeyote ni kumletea mwananchi huduma mpaka mlangoni.
Bundi!😏🙄