joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
MY TAKE; Spika wa bunge la Tanzania, amelitaarifu jopo la "speakers" toka nchi za SADC kwamba, ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2022, vijiji vyote Tanzania vitakua vimeshaunganishiwa umeme.
Wale watu wenye roho ya kutu na wivu bado wataendelea kushikilia Ile 37% hadi watakapoingia katika majeneza na kuzikwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Good news indeed, mama anaupiga mwingiVICE President Dr Philip Mpango has witnessed the signing of Memorandum of Understanding (MoU) for the execution of Sino Industrial Park project worth 3 billion US Dollars (equivalent to 6.94tri/-).
The project will become the largest industrial park in the southern part of Africa.
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Huu ni ujinga. Bado mpo nyuma sana kama mnaongea kuhusu kuunganisha vijiji na umeme. Tuambie mumeunganisha nyumba ngapi na umeme. Hapa Kenya around 80% ya nyumba zote zina umeme.MY TAKE; Spika wa bunge la Tanzania, amelitaarifu jopo la "speakers" toka nchi za SADC kwamba, ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2022, vijiji vyote Tanzania vitakua vimeshaunganishiwa umeme.
Wale watu wenye roho ya kutu na wivu bado wataendelea kushikilia Ile 37% hadi watakapoingia katika majeneza na kuzikwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya imeunganisha nyumba nyingi na umeme kushinda Lazyland republic.ππ
Taifa la njaa lina safari ndefu sana.
MY TAKE; Spika wa bunge la Tanzania, amelitaarifu jopo la "speakers" toka nchi za SADC kwamba, ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2022, vijiji vyote Tanzania vitakua vimeshaunganishiwa umeme.
Wale watu wenye roho ya kutu na wivu bado wataendelea kushikilia Ile 37% hadi watakapoingia katika majeneza na kuzikwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyie huwa wajinga sana. 37% electricity access rate yenu ndio mnaturingia? Kenya ina 80% access rate na South Africa ipo zaidi ya 90%. Egypt ipo 100%.Siyo SADC tu, AU yote tutakuw mfano.
Nyie huwa wajinga sana. 37% electricity access rate yenu ndio mnaturingia? Kenya ina 80% access rate na South Africa ipo zaidi ya 90%. Egypt ipo 100%.
Ifikapo mwisho wa mwaka huu Tanzania itakua ni nchi ya 7 Afrika nzima kufikia "Universal electrification", maana yake ni kwamba hakuna eneo linaloishi watu ambalo litakua halijafikiwa na umeme, kuvuta umeme kuingia katika Nyumba ya mtu ni jukumu na utashi wa mtu binafsi.Huu ni ujinga. Bado mpo nyuma sana kama mnaongea kuhusu kuunganisha vijiji na umeme. Tuambie mumeunganisha nyumba ngapi na umeme. Hapa Kenya around 80% ya nyumba zote zina umeme.
Asante sana JPMMY TAKE; Spika wa bunge la Tanzania, amelitaarifu jopo la "speakers" toka nchi za SADC kwamba, ifikapo mwishoni mwa mwaka huu wa 2022, vijiji vyote Tanzania vitakua vimeshaunganishiwa umeme.
Wale watu wenye roho ya kutu na wivu bado wataendelea kushikilia Ile 37% hadi watakapoingia katika majeneza na kuzikwa nayo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa mujibu wa World BankHiyo 37 umeipata wapi!!?
Maana huu ni mwaka wa 3 unaitaja tu hiyo hiyo.
π π€£ π
Wacheni wivu, Kenya mpo nyuma Sana kufikia "Universal electrification s"Nyie huwa wajinga sana. 37% electricity access rate yenu ndio mnaturingia? Kenya ina 80% access rate na South Africa ipo zaidi ya 90%. Egypt ipo 100%.
Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.Ifikapo mwisho wa mwaka huu Tanzania itakua ni nchi ya 7 Afrika nzima kufikia "Universal electrification", maana yake ni kwamba hakuna eneo linaloishi watu ambalo litakua halijafikiwa na umeme, kuvuta umeme kuingia katika Nyumba ya mtu ni jukumu na utashi wa mtu binafsi.
Ni sawa na kujenga Dispensaries kila Kijiji ili kufikia "Universal health care", kwenda kupata huduma ni utashi wa mtu binafsi, wengine bado wataendelea kwenda kwa waganga wa kienyeji, kuombewa kwa viongozi wa dini na kujifungua kwa wakunga wa jadi.
Soma ujielimishe kuhusu maana halisi ya " Universal electrification", weka wivu pembeni kidogo[emoji38][emoji38]
Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Kwa mujibu wa World Bank
Well put, lakini wanasiasa wa Tanzania kwa kueneza uongo na propaganda they are kings! yaani watanzania wako na ujinga sana, wanadanganywa wazi wazi dunia ya leo π π π πUsiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Wewe ni miongoni mwa watu wajinga Sana, hivi hivi ulikua unabisha ukisema kwamba GDP ya nchi ni matokeo ya Pato linaloongezeka kila mwaka, kwamba haitokani na malimbikizo ya miaka ya nyuma, Sasa umekubali kwamba ulikua umekosea.Usiwe mjinga wewe. Universal electrification ina maana kwamba kila nyumba ina umeme sio kila kijiji kina umeme. Unaongea ujinga tu hapa. Kenya nyumba 80% zina umeme. Egypt ni 100%. South Africa ni around 94%. Tanzania ni chini ya chini ya 45%. Kuongea mambo ya vijiji ni ujinga mtupu wakati nchi zingine zinaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa na umeme. Mnatia kinyaa na aibu kwa kuongea mambo ya idadi ya vijiji vilivyounganishwa na umeme wakati wengine wanaongea kuhusu idadi ya nyumba zilizounganishwa.
Not true. Mpaka 2021 tulikua over 80% yaani 10 000 Villages kati ya 12 000 Villages ya watu 60 Million.Kenya imeunganisha nyumba nyingi na umeme kushinda Lazyland republic.