Tanzania yawa nchi ya mfano SADC, vijiji vyote kupata umeme mwishoni mwa mwaka huu (2022)

Umeme huu huu ?maana Dar tu kuunganishiwa umeme Shughuli haya wacha tuone!
 
Idadi ya nyumba hapo Dar haijazidi 1 million
 
Idadi ya nyumba hapo Dar haijazidi 1 million
Urban electrification Tanzania ni " over 90%, Tanzania Kuna majiji 6 na zaidi ya miji 20, kwa makadirio ya chini kila Jiji Kuna Nyumba 500k zilizounganishwa umeme, katika hayo majiji 6 pekee, tayari ni 3M. Hiyo miji ishirini chukulia kila mji ni Nyumba 100K, hiyo ni sawa na 2M.
Kuna wakati unapaswa uweke ushabiki na wivu kando kidogo

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Sasa unafikiri hii data ya 2.7 million tumejitungia au ni serikali yenu ilitoa hii data?
 
Sasa unafikiri hii data ya 2.7 million tumejitungia au ni serikali yenu ilitoa hii data?
Mbona serikali yetu inasema "electrification coverage ni 83% lakini mnapinga badala yake mnashikilia hiyo 2.7M, Kama sio wivu ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
 
Endeleeni kuunganisha vijiji wakati serious people are connecting households.

Tony254

 
Ingekuwa unabishana kutumia facts tungekuchukua serious. But since you are known for forking words out of your buttocks, you have no difference with a kindergarten kid. Tanzania nzima only have 3.2M customers connected to electricity, this includes both urban and rural households. This is according to your power distribution company. Remember Kenya has 8.5M households connected to electricity.

Tony254

 
Mbona serikali yetu inasema "electrification coverage ni 83% lakini mnapinga badala yake mnashikilia hiyo 2.7M, Kama sio wivu ni nini?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my itel L5007 using JamiiForums mobile app
Your government stated clearly that your electrification coverage in relation to villages is 83% but when it comes to households coverage which is the indication used worldwide, it comes back to 3.2M which translates to about 39% coverage.
 
Kwani umesikia haya ni mashindano we dogo?

Halafu Kenya kwani mna jiografia kubwa kama ya kwetu? Nyie watu wote wanakaa huku Kusini, kule Kaskazini ni jangwa watu ni wachache sana.

Tanzania kwanza ni kubwa kuliko Kenya, na watu wametapakaa nchi nzima maana nchi yote inakalika.

Misri ndo usiitaje kabisa. Misri watu wote wanaishi Cairo na Alexandria. Huku kwingine watu wote wamejikusanya kando ya mto Nile. Unashidwaje kuwapelekea umeme kwa 100% ?
 
Upo sahihi. Sasa mwelezee ndugu yako joto la jiwe ili awache ubishi.
 
Basi kutakuwa na wakenya wengi ambao ni homeless huko turkana and the like

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…