Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Siyo Tanzania tu, bali duniani.

Hayo ni malengo ya Umoja wa mataifa kuhakikisha kuwa kufika mwaka tajwa, kusiwepo na maambukizi mapya.

Kupitia UNAIDS, Shirika la afya duniani (WHO) linafanya kila jitihada kuhakikisha kuwa jamii inapata uelewa mpana juu ya kujikinga na ugonjwa tajwa, kufifisha kabisa unyanyapaa na jitihada za kuongeza nguvu kupata kinga ama tiba kabisa.

Inawezekana kabisa, lakini si mwaka 2030.
 
Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
Wana switch on kwenye "Homa ya Ini" biashara ya ARV Imebuma wanakuja na hiyo homa ya ini wanasema ni hatari ila chanjo zipo wanatoa lakini hakuna dawa ya kupona dalili na njia za maambukizi ni zilezile za HIV.
 
Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?

Sasa wewe kafungue zip kizembe uone? Upuuzi huo, ina maana aliyeambukizwa leo hawezi ishi miaka 10 kutoka sasa? Ina maana hiyo 2030 watauwa wote wenye ukimwi au?
 
Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
Kwamba wale wa Kituo Dry Chama watakua hawapo tena watu hawaendi nyama Kwa nyama siku hizi.
 
Back
Top Bottom