Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Tanzania yaweka malengo ya kumaliza UKIMWI ifikapo 2030

Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?
Mkuu, labda umesikia vibaya ni 20300, maana hawa kuwaamini yahitaji uwe na akili chache saaana.
 
Wana switch on kwenye "Homa ya Ini" biashara ya ARV Imebuma wanakuja na hiyo homa ya ini wanasema ni hatari ila chanjo zipo wanatoa lakini hakuna dawa ya kupona dalili na njia za maambukizi ni zilezile za HIV.
Kwa hyo wamefanya sub sio?tutazamie HIV na yenyewe inaenda kaa mbao ndefu kumsubiria ndugu yake Hypertesis B
 
Dah , sio poa!

Nipo hapa nafuatilia BBC London habari...

Da'Ummy anasema , eti eti..kufikia 2030 Tanzania haitakua na UKIMWI kabisa.

Wadau hii imekaaje? Kuna ukweli hapo?

Ummy anachekesha walionuna.

Hiyo ni future impossible tense unless ameongea kinyume nyume kwamba ifikapo 2030 ukimwi utaongezeka mara dufu.
 
UMMY ni jina la utani ....I mean...kuna baadhi ya watoto wanakuaga hawajui kuita baadhi ya vitu..mfano maji..wao huita "mma"... So usikute Dadaetu wakati yupo mtoto alishindwaga kuita au kusema kitu...na akawa anasema " umm ummi ummiii" ..mwisho wakaamua kuwa wanamuita "UMMY"
Kaaahhh[emoji2][emoji1][emoji1][emoji1]acha basi
Ummy Jina la kiarabu hiloo maaana Ake ni "mama"
 
Dunia iko mbioni kutokomeza Ukimwi ifikapo mwaka 2030 mara tu programu muhimu za afya zitakapofadhiliwa kikamilifu, ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa inasema.

Eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara, ambako asilimia 65 ya watu wote wenye VVU wanaishi pia linapiga hatua kubwa katika kutokomeza ugonjwa huo.

Botswana, Eswatini, Rwanda, Tanzania na Zimbabwe tayari zimefikia lengo la '95-95-95', kwa mujibu wa UNAIDS.

Hii ina maana 95% ya watu wanaoishi na VVU wanajua hali zao za VVU, 95% ya watu wanaojua hali zao wanapata matibabu ya kurefusha maisha, na 95% ya watu wanaopata matibabu wamevifubaza virusi hivyo, na hivyo haiwezekani. kusambaza.
 
Back
Top Bottom