NAMBA MOJA AJAYE NCHINI
JF-Expert Member
- Oct 29, 2019
- 9,863
- 20,806
Namna pekee ya kuwakwepa mabeberu ni kuanzisha mtaala wetu wa elimu!sio kujitekenya kwa kuwakataa huku tunataka misaada yao!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatafuta pes za kampeni na kununulia gari ya mabomu ya washawasha na vifaru.Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.
Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.
Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..
Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.
Soma hapa👇
![]()
World Bank to consider giving Tanzania $500 million education loan despite ban on pregnant schoolgirls | CNN
A multi-million dollar World Bank education loan to Tanzania is back on the table for possible approval next week after it was pulled over a year ago amid concerns about the country's policy of banning pregnant girls and young mothers from attending state school.edition.cnn.com
January 25, 2020
Polepole na fedha za World Bank tunazitaka
Katibu Uenezi CCM Humphrey Polepole azishutumu AZAKI kwa kuandika barua katika gazeti la Financial times online ambalo Polepole anasema ni jarida lenye kuheshimiwa dunia lililoandika barua ya Asasi za Kiraia (AZAKI) juu ya hali halisi. Polepole auliza kwanini walioandika barua hiyo kwa ulimwengu wasingekaa chini na serikali ya CCM Mpya kuzungumzia alizoita changamoto na tofauti..
January 25, 2020
Polepole na fedha za World Bank tunazitaka
Katibu Uenezi CCM Humphrey Polepole azishutumu AZAKI kwa kuandika barua katika gazeti la Financial times online ambalo Polepole anasema ni jarida lenye kuheshimiwa dunia lililoandika barua ya Asasi za Kiraia (AZAKI) juu ya hali halisi. Polepole auliza kwanini walioandika barua hiyo kwa ulimwengu wasingekaa chini na serikali ya CCM Mpya kuzungumzia alizoita changamoto na tofauti..
Hapa zitto kapigila mstari kwenye kidonda.Tanzanian civil society groups have called on the World Bank to postpone the approval of a $500m loan to the government, saying President John Magufuli’s administration cannot be trusted to implement the project.
The programme, to be discussed at a meeting of the World Bank’s board on Tuesday, is designed to improve girls’ access to secondary education. But civil society leaders say it would be a mistake to give the sum to a government that has previously excluded pregnant girls from school and encouraged women to “free their ovaries” to boost the country’s population.
“Awarding $500m at this time would be a slap in the face of girls and women who are treated in this way, and will be taken as a full-throated endorsement of this violently misogynist regime,” the group, calling itself the Concerned Citizens of Tanzanian Civil Society, said in a letter sent last week to the World Bank board, seen by the Financial Times.
“We ask that the bank postpone the approval of the loan until the government puts in place clear measures to demonstrate . . . its commitment to gender equity and the rule of law.”
Mr Magufuli was elected in 2015 on a promise to tackle corruption and mismanagement but has spent more energy, his critics say, silencing those who question his methods. At the same time, he has gone on a self-styled campaign to clean up Tanzanian morals, placing him on a collision course with donors and rights groups.
In 2017 he enraged women’s rights campaigners by saying that pregnant girls would not be allowed to attend school, telling a rally: “As long as I am president no pregnant student will be allowed to return to school . . . After getting pregnant you are done.”
But the objectification of women under Mr Magufuli goes further, civil society leaders say. His government’s policies and public statements have created an environment that has led to an increase in violent attacks on women and girls, said one of the civil society leaders who drafted the letter, declining to be identified.
Tanzania’s government spokesperson did not respond to a request for comment.
A World Bank spokesperson confirmed the board had received the letter but added: “It would be premature to comment prior to consideration by our board.”
The World Bank delayed the project and other funding to Tanzania in 2018 due to issues including its treatment of women, a new law that made it illegal for anyone but the government to publish figures and threats to arrest members of the LGBT+ community.
When a separate $450m poverty-reduction programme was approved in September, the World Bank stated that the government had addressed many of those issues, although activists and opposition leaders say nothing has changed.
“Regrettably, it appears the bank’s approval of the . . . project in September only emboldened this government,” Zitto Kabwe, an opposition MP, said in his own letter to the World Bank, seen by the FT.
Mr Kabwe warned that the continued detention of journalist Erick Kabendera and the exclusion of candidates from November’s local elections demonstrated the government was not committed to reform. “This government can no longer claim to represent the Tanzanian people but rather the interests of a few,” he said.
Chanzo: Tanzanian activists ask World Bank to block $500m school programme
Nao CNN wameandika: World Bank to consider giving Tanzania $500 million education loan despite ban on pregnant schoolgirls
BBC: World Bank urged not to resume Tanzania funding
Wachawi ni nyie mnaoteka, kutesa na kuua watanzania wasio na hatia. Zitto hajwahi kuu hata kuku.Zito anaroho ya kichawi sana ,kwani misaada ikija yeye anakosa nini?
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
The fools always will have weak point to judge. Mmehamia kwa udini kisa cha kunyimwa pesa?? Je sii mnaotulipulia mabomu na visu tusemeje??
Kupambana na watu wenye akili itakuchukua muda mrefu sana kuwdhibiti hata ukitumia bomu la nyukilia.
Ccm mmekwama. Kamsaidie kule Polepole mzee kijana analia na mabeberu.Hao ndi watanzania
Mule muleeeeee kumbe zito akili zimo sana. Safi sana kaka.Mr Kabwe warned that the continued detention of journalist Erick Kabendera and the exclusion of candidates from November’s local elections demonstrated the government was not committed to reform. “This government can no longer claim to represent the Tanzanian people but rather the interests of a few,” he said.
Tairi peke yako😂😂😂Najua mie hata book sipewi ,ila sisi ni matairi why tulilie mkopo?
Aisee! Huwa nafikiria sana kuhusu hili uliloandika, ni baadae sana kuona tija ya mikopo hii hadi huwa nakuwa na shaka kama kweli wana nia ya kutufanya tuendelee.Benki ya dunia sijui ndo wapuuzi au sisi ndo vilaza. Huwezi ona wanakupa mkopo mkubwa ujenge viwanda vidogo au uboreshe miundombinu ya kilimo mfano umwagiliaji. Wanatoa hela ambayo mpaka uje kuona faida yake ni baadae sana. Mfano hapa kwetu mtu anayekopa ili ajenge nyumba na anayekopa ili alime kwa umwagiliaji nani anarejesha hela mapema.
😂😂😂😂 jamaa wananunua ndege kwa keshi tena kwa majigamboo mengi kisha elimu ya watoto wa wanyonge wanaenda kutembeza bakuri,wakinyimwa wanaanza kulalia,Donor country unalilia nini mkopo toka kwa beberuTairi peke yako😂😂😂
si tuukatae tu kwani tumelazimishwa? nasikia watoto wakishapata mimba hawawi watanzania tena bali wanahamia nchi nyingineKweli kabisa mkopo gani wa kuhusisha ngono za watoto mashuleni to hell na mkopo wao.Eti Mara ohh ruhusuni ushoga ndio tuwakopeshe shenzi kabisa
Zitto kwa hili amechemka.Hajui hata maana ya mkopo.Mkopo Ni biashara unatakiwa kulipa kwa riba.Hizo zingine porojo tu Kama hawataki kufanya hiyo biashara to hell with them na Zitto Kabwe wao
Kwa hiyo wewe mwanaccm unaona kiwanda kikubwa ,sijui kilimo cha umwagiliaji,sijui nini ndo muhimu sana kuliko elimu ya watanzania?Ni hivi wewe zero brain,ukiwekeza kwenye elimu maana yake umewekeza kwenye kuzalisha skilled labor ambapo humo utapata irrigation engineers and technicians, mechanical engineers and the like ambao ndo wanaendesha hicho kiwanda chako,umezalisha wahasibu etc.Kwa lugha nyingine ni kwamba kwa watu wenye akili zao, Elimu bora ndiyo baba na mama wa kila kitu hapa duniani, wakati Trump anawakumbusha juu ya shithole countries zenu aliwaambia,the america you see now shining was not built by good will of people but intelligence, Ila kwa vilaza kama ninyi kiwanda ni Bora kwa kuwa mmezoea either kuwa makuli au machinga wa kutembeza bidhaa za wachina.bure kabisa w/Benki ya dunia sijui ndo wapuuzi au sisi ndo vilaza. Huwezi ona wanakupa mkopo mkubwa ujenge viwanda vidogo au uboreshe miundombinu ya kilimo mfano umwagiliaji. Wanatoa hela ambayo mpaka uje kuona faida yake ni baadae sana. Mfano hapa kwetu mtu anayekopa ili ajenge nyumba na anayekopa ili alime kwa umwagiliaji nani anarejesha hela mapema.
Kwa namna ulivoandika na mpangilio wako wa hoja naomba nikujibu kwa level zako na nikuhakikishie kuwa wewe ni gasho. Leta mnduqu wako nikague ili tuondoe utata. Qumer meh yowKwa hiyo wewe mwanaccm unaona kiwanda kikubwa ,sijui kilimo cha umwagiliaji,sijui nini ndo muhimu sana kuliko elimu ya watanzania?Ni hivi wewe zero brain,ukiwekeza kwenye elimu maana yake umewekeza kwenye kuzalisha skilled labor ambapo humo utapata irrigation engineers and technicians, mechanical engineers and the like ambao ndo wanaendesha hicho kiwanda chako,umezalisha wahasibu etc.Kwa lugha nyingine ni kwamba kwa watu wenye akili zao, Elimu bora ndiyo baba na mama wa kila kitu hapa duniani, wakati Trump anawakumbusha juu ya shithole countries zenu aliwaambia,the america you see now shining was not built by good will of people but intelligence, Ila kwa vilaza kama ninyi kiwanda ni Bora kwa kuwa mmezoea either kuwa makuli au machinga wa kutembeza bidhaa za wachina.bure kabisa w/