Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Tabu yote hiyo ili iweje. Kweli atujui kusoma lkn picha tunaiona Zitto Zuber Kabwe ni mtumishi kamili St Peter yupo kazini swala la kukosa Ubunge picha ipo wazi ndio maana amemchukua Mtumishi mwenzie Maalim wakipata wabunge pemba tayari Wana Uhakika kupata mihela Ruzuku ya Bure maisha yanakwenda...
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wala ata usipoteze muda wako..Zitto Z Kabwe ni mtu system...Yote asemayo au kutenda ni inside job
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Kwa sababu gani? Why? What? When? How? Where?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kazi ya upinzani sio kupinga ninkuonyesha mbadala wa Sera walizonazo.

Kazi ya tabibu ni ninni??, sio kutibu??,

Kazi ya mwizi ni nini ??, sio kuiba??

Kazi ya kiongozi ni nini??, sio kuongoza??

Kazi ya mchoraji ni nini??, sio kuchora??

Sasa iweje kazi ya mpinzani isiwe kupinga bali ni kuonyesha njia mbadala!!!??-- basi visiitwe vyama vya upinzani bali viitwe vyama mbadala.

"Not opposition parties rather substitute parties".

Kazi yao ni kupinga mambo mabaya yanayofanywa na serikali, kufichua maovu ya serikali na watendaji wake ili wananchi waone uozo wa serikali ili hao wapinzani wapate nafasi ya kuchukua dola kwa ridhaa ya wananchi kupitia uchaguzi, hiyo ndiyo ultimate goal of any political opposition party, sasa kama wao watakuwa wakionyesha njia mbadala ambayo ni kazi za watendaji wa serikali iliyo madarakani, ni lini hao wapinzani watachukua dola ili waweze kutekekeza hiyo mibadala??
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Kumbe wew ndo shetani mwanyewe halisia yaani
 
Kuna Watu wanaombea hata Kirusi Chan Corona kiingie Nchini ili tu kumkomoa Rais

Tuacheni Siasa z Kishamba, Tanzania ipo kabla na baada ya Rais Magufuli, tusishiriki kuharibu Nchi yetu kwa kumkomoa fulani
 
Una roho ya kimasikini kama number one
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningelihakikisha namsubiria 2020 kimya kimya namnyang'anya Ubunge

Ningelitembelea akaunti zake na kuzipiga ban zote kwa amri isiyopingika

Ningelimuondolea hadhi ya kuwa kiongozi wa chama cha siasa kwa ngazi yoyote

Ningemtafutia njia yoyote ile ya kumdhoofisha kiuchumi

Ningemnyang'anya Passport ya kusafiria

Ningemfanya aripoti kituo cha Polisi kila siku
Ningelipiga marufuku chombo chochote cha habari kuandika habari zake.
Hapo ndio ajue kwamba Tanzania sio nchi ya kidikteta. Maana angekuwa nchi zingine sababu ameonyesha nia ovu dhidi ya nchi yake .Angefungwa kwenye mti alafu firing squad ingefanya kazi. Maana ni kama vile anasaidia maadui ili kusababisha nchi yetu isitulie. Ashukuru tu hapa Tz kuna utawala wa Demokrasia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Honestly speaking kupitia mada kama hizi mtu unagundua moja kwa moja kuwa tuna watu wengi wenye akili zisizokidhi vigezo vya kuishi kwenye karne ya 21...!!

Why nchi iombe mikopo close to general elections? Why this sudden u-turn?
Hivi hawa ccm si ndo waliitangazia dunia kuwa elimu bure inawezekana tena kwa fedha zetu wenyewe... Na ukizingatia kuwa sisi ni dona kantre?
Hivi hawa ccm si ndo walitupilia mbali hoja na kilio cha wadau kuhusu kuendeleza elimu hasa ya watoto wa kike...?
 
hizo ela zikiletwa zitaenda kujenga chattle ,bora tu tuzikose
 
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom