Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Tanzania yaweza kukosa Mkopo wa Dola Milioni 500 kutoka Benki ya Dunia

Ndio sababu ya majukumu kuongezeka akili ilikuwa haiwezi kujigawa kusoma na kutulea alikatisha masomo ya chuo na hakurudi kusoma tena ili atulee
Huo ulikuwa uamuzi wake. Kusoma na kulea vyote vinawezekana. Ni swala la maamuzi na kujipanga vyema. Ila kwa sababu bado tuna jamii inayoamini kujifungua mtoto ni kama ulemavu, tunaendelea kudunisha maisha ya watanzania wote kwa kubagua watoto wakike.

Kama wewe ni mwana CCM kasome Ilani ya Chama ya 2015 ukurasa wa 100, mstari wa h(ii); halafu jiulize kwa nini liliwekwa kwenye Ilani ya chama.
 
Nilimsikia Polepole akilialia juu ya Tanzania kuukosa mkopo wa $500 kutoka world bank kwa sababu eti wamezuiwa na Zitto Kabwe

Hivi kwa jinsi tunavyoaminishwa kuwa makusanyo ya kodi awamu hii yamepaa kiasi cha kununu ndege kwa pesa cash tunaweza kweli kuwa na uhitaji wa hicho kijimkopo au zile taarifa za makusanyo kuongezeka huwa ni taarifa za kupikwa
 
Kweli kabisa mkopo gani wa kuhusisha ngono za watoto mashuleni to hell na mkopo wao.Eti Mara ohh ruhusuni ushoga ndio tuwakopeshe shenzi kabisa

Zitto kwa hili amechemka.Hajui hata maana ya mkopo.Mkopo Ni biashara unatakiwa kulipa kwa riba.Hizo zingine porojo tu Kama hawataki kufanya hiyo biashara to hell with them na Zitto Kabwe wao
MKOPO unatoka benki ya dunia sio mfukoni kwa mtu, benki ya dunia kama taasisi lazima ijue madhumuni ya mkopo
 
Maslahi, maslahi, maslahi! Mkopo kama huu unamsaidia nani zaidi kama si mkopeshaji? Naamini WB dont give a ****** damn kuhusu hayo ya wanaharakati zaidi ya kutudumbukiza zaidi shimoni kwa yule aitwae DENI LA TAIFA.
 
Bure kwako wewe unae soma lakini waalimu hawafundishi bure, serikali inakulipia hiyo pesa ya ada uliyo futiwa.

Wee Hacha kuongea as if hukwenda shule, otherwise wewe utakuwa si mlipa kodi wa nchi, upuuzi gani huu unaongea??
 
I wish nirudi kusoma kipindi chako ukiwa Rais.. Ni mwendo wa ku***bana tuu hakuna kusoma.. Yaani vibinti ni kuliwa, kuzaa tuu na kusoma. Yaani vitoto vikipevuka vinavyopenda kufanya aisee itakuwa UTAMU kamili. Maana hii elimu sikupata kabisa hadi nafika la saba nilijua watoto wananunuliwa Serengeti kule. Siku hizi watoto wanaishi kwa Hofu kubwa.. Kipapa kikiwasha wanakikemea
JF member sine2010 hadi karne hii bado unawaza hivyo ni shida ndio maana wacha generation hii ipite,na ije generation inayowaza kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini,kwako ngono inaonekana ndio kitu kikuu na hii inathibitisha na kauli ya aliyekuwa PM wa SA Mr.Botha kuwa ukitaka kuwatawala watu weusi kwa maisha wape fedha,chakula na WANAWAKE,lengo la elimu ni kuitoa kwa usawa kwa jinsia zote wenzetu wameshaanza kufikiria kuanza kutoa grants kwa wanafunzi wajawazito ili waweze kujikimu na mazingira duni wanayokabiliwa nayo,elewa kwa mwanafunzi kupata mimba kunaweza kumechaniwa na sababu nyingi tu na POVERTY IKIWA NDIO KUU;elewa kuwa kama mimi na wewe tuna uhakika wa kupata kipande cha mkate sio wote wenye bahati hiyo,one day Mungu anaweza ondoa kwako na kumpa mtu mwingine.
 
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.

Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.

Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..

Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.

Soma hapa👇
Wasituzingue, kama hawataki wapotee.
Nchi hii inaheshima yake wasitupe masharti ya kijinga. nchi sio ya kichangudoa hii.
 
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.

Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.

Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..

Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.

Soma hapa👇
MKOPO WA NINI WAKATI ELIMU NI BURE! WAPELEKE KUTIBU WAGONJWA WA MAFUA YA CORONA MABEBERU HAO
 
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.

Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.

Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..

Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.

Soma hapa👇
Mungu wabariki Wazungu
 
Wee Hacha kuongea as if hukwenda shule, otherwise wewe utakuwa si mlipa kodi wa nchi, upuuzi gani huu unaongea??
Umekurupuka hujanielewa, jifunze kutumia lugha yenye kuheshimiana.
Tukianza kuongea lugha za 'upuuzi', 'hukusoma' hatutafika mbali kwa hoja zenye kulifaidisha taifa.
Mimi pia naweza hizo lugha tena naweza kukuzidi kwa matusi lakini sioni faida yeyote.

Nikosoe kwa hoja, nieleze umekosea hiki na ilitakiwa iwe hivi, ili nijifunze kitu sio nijifunze matusi na dharau zako.
Niambie nimekosea nini nasubiri hoja yako nikujibu nilimaanisha nini kwa yale maelezo yangu.
 
Huna akili ?
Sasa tukknyimwa iyo misaada ;
Wew ndo utasomesha wanafunz?
Utapata faida gani !
Zamani nilikuwa mpinzani .
Honestly wapinzani ni vilaza wa kufikiri

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanangu nawasomesha international schools siwezi kuwapeleka kwenye hizo takataka zenu za shule.
 
Bank ya Dunia wiki hii mwishoni itakutana kujadiliana na kuamua kama wataikopesha Tanzania au kuipa mkopo nafuu wa kuboresha elimu wa Dollar Millioni Mia Tano ($500M) ambayo ni sawa na Shilingi za Kitanzania Trillioni 1.3.

Mwaka 2018 bank ya Dunia ilisitisha mkopo nafuu kwa Tanzania wa Dollar Millioni 300 au Billioni 660 za Kitanzania baada ya serikali kutangaza kua hakuna ruhusa kwa wanafunzi waliopata mimba kusoma katika shule za umma.

Tokea mwaka huo kumekua na majadiliano kati ya bank na serikali ya Tanzania na serikali kuahidi kua itatengeneza njia mbadala kwa watoto wanaopata ujauzito kuendelea na masomo..

Wanaharakati kadhaa pamoja na wanasiasa wamepinga mkopo huo kwa Tanzania kua utaendelea kuminya haki za watoto wanaopata ujauzito shuleni. Bank ya Dunia wanadai wamepewa uhakika na Magufuli kua watoto waliopata ujauzito watapatiwa njia mbadala kuendelea na elimu.

Soma hapa👇
Rais Magufuri anatosha kwasasa kuleta mabadiriko ya kweli Tanzania kwasababu ya utendaji wake wa kazi. Rais Magufuri anafanya kazi kwa nguvu zake zote na kwa bidii sana, anajituma, for really he deserves to be the president of Tanzania and the whole Africa, his part Chama Cha Mapinduzi deserves to win the election again and again. I can say that for CCM leaders and members have high level of integrity than Opposite parties members. We folks, we people we will vote for CCM ever and ever again and again. We do not need the kind of parties which do not have development strategies, no positive vision, development opposers. It has finally reversed nowdays opposition parties to become development opposers. This is shame

What shame are they these opposition parties folks. They do not need development, in their minds they have claimed that politics is a controversy or argumentative that is why they usually think to argue or criticise negatively if not to controve. They should to change their kids minds, by altering their altitude. They want us to believe that our lovely president is going against the constitution while themselves they are breaking our consitution and they are still going against our constitution words. Going to the other nation which is not our nation and start accusing our nation and our lovely leaders is an evel and totally you are going against our constitution. Some of opposition part leaders they swore before the parliament speaker that " I hereby certify that, I will be loyal to the United Republic of Tanzania and serve it wholeheartedly, and that, I will preserve and defend the Constitution of the United Republic of Tanzania, in accordance with the law enacted, Oh God help me". That is shame LOL, for pretending to people that they have particular moral beliefs while they are the first charmer, deceiver and hypocrisy. They have already forgotten their swear and the constitution. I could say that you have started early to break the constitution and if we would decide to give you the power you will continue to break. We love Chama cha Mapinduzi because it has changed. Everything is going right now in Tanzania. And President Magufuri is going to rule again in Tanzania, because he's self-motivated, integrity and honest president in the whole Africa in this century. Because of that reason, He deserves to win the coming election on October and he will be the President again and again. What I can say is that, opposition parties in Tanzania don't have policies, nor strategies. This show us that they want to lead Tanzania but they do not know what kind of thing they are going to lead because instead of opposing bad things which are or could be done by the ruling government, they have changed and started to oppose development. Opposing development done by fifth Government of President Magufuri had made opposion parties to go perpendicularly with the Tanzanian citizens need. Tanzania citizens need development, need progress and not propaganda from the mouth without action. We folks, we need better hospitals, better roads, electric trains, better education, better communication, better financial services, proper management of natural resources, we need enough electric current to light our homes, roads, villages, and to power our industries, we know that, industries gonna provide us and our future generation employment. All those, I've mentioned have done by President Magufuri. You opposition parties tell us which you could do, than President Magufuri. We need positive policies which gonna change our communities in Tanzania and not negative one which could bring poverty in Tanzania. Tanzania need progress, always progress, does not move in a straight line, there should be some ups and downs. Our President has promised us industries, then don't rush you have to wait, because you could not construct an industry for one day as you think. Even if, we citizen decide to give you a power to rule our nation, you opposition part, you gonna never bring us development per ones. You will always take number of years.
 
JF member sine2010 hadi karne hii bado unawaza hivyo ni shida ndio maana wacha generation hii ipite,na ije generation inayowaza kwa kutumia kichwa cha juu sio cha chini,kwako ngono inaonekana ndio kitu kikuu na hii inathibitisha na kauli ya aliyekuwa PM wa SA Mr.Botha kuwa ukitaka kuwatawala watu weusi kwa maisha wape fedha,chakula na WANAWAKE,lengo la elimu ni kuitoa kwa usawa kwa jinsia zote wenzetu wameshaanza kufikiria kuanza kutoa grants kwa wanafunzi wajawazito ili waweze kujikimu na mazingira duni wanayokabiliwa nayo,elewa kwa mwanafunzi kupata mimba kunaweza kumechaniwa na sababu nyingi tu na POVERTY IKIWA NDIO KUU;elewa kuwa kama mimi na wewe tuna uhakika wa kupata kipande cha mkate sio wote wenye bahati hiyo,one day Mungu anaweza ondoa kwako na kumpa mtu mwingine.

Watoto wa siku hizi mmekosa shule kabisa.. Insha yangu kwa kiingereza inaitwa "Ironic Simile".. Hebu isome tena labda kichwa chako cha juu kitafunguka ipasavyo.
 
Watoto wa siku hizi mmekosa shule kabisa.. Insha yangu kwa kiingereza inaitwa "Ironic Simile".. Hebu isome tena labda kichwa chako cha juu kitafunguka ipasavyo.
your the delinquent of Jamii Forum,try to read to understand.
 
Back
Top Bottom