Sio kujitambua mkuu, tumepata rais ambaye anajali maslahi ya Tanzania. Nyerere alifunga mpaka kwa miaka mingi tu hadi Sokoine alipoondoa hilo tatizo kwa ushawishi wake. Tumerudi kule kule, this time around lazima kilichomtoa kanga manyoya kionekane.
Niliiona hii comment nikaamua kuachana naye.Bomba lipi?
Utakua hujielewi wewe
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.
MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Go to hell tuachie Tanzania yetuTanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Sasa kwenye hizo korosho alifaulu? Mbona msimu uliofatia tena being zilikuwa zile zile ambazo serikali ililazimisha wakulima wazikatae?Mjinga kama mama yako! kwahiyo hii vita ya unfair trade tuipigane vipi mbwigambwiga? hata kwenye korosho mliongea hivihivi!
Dunia yenyewe inatuonea wivu na aibu juu kwa jinsi tunavowaumbua na uongo wao.Mwaka huu mtagombana na dunia nzima
Hama uraia Kaka. Kwani umeshikiwa bunduki kuwa mtz, kama unaona sio sawa hamisha uraia Tu. Zimefungiwa ndege za Kenya zilizokuwa zinaingiza mabilioni kwa serikali je we ni nani ututingishe? Hama tu kiroho safi.Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu.... tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
And who will loose? How many Tanzanians are employed by these banks? Kweli ujinga ni mzigo.
Hizi friction za kijinga kijinga kati ya mtu na mtu ndiyo huwa baadaye zinakuja kuzaa mambo makubwa na mazito kati ya nchi na nchi, nyinyi hamjui tu. Mipaka ya Tanzania na Kenya iliwekwa na wakoloni. Nawasihi sana msiendelee kuwa wajinga kiasii hikiMjinga kama mama yako! kwahiyo hii vita ya unfair trade tuipigane vipi mbwigambwiga? hata kwenye korosho mliongea hivihivi!
Hizi friction za kijinga kijinga kati ya mtu na mtu ndiyo huwa baadaye zinakuja kuzaa mambo makubwa na mazito kati ya nchi na nchi, nyinyi hamjui tu. Mipaka ya Tanzania na Kenya iliwekwa na wakoloni. Nawasihi sana msiendelee kuwa wajinga kiasii hiki
Kwa hiyo unataka tuweweseke na mia yako?Hata Mia pesa ww acha mambo yaki mamree
Naona ujumbe umewafikia na wamesitisha safari.Hapo inaonywa precision sio muda watafungiwa
Clueless: Uganda na Rwanda hatuko nao kwenye nini? So sasa hivi hauko proud kuwa mbongo ila wayback miaka ya 2013 - 15 tulipokuwa tukigaragazwa na CoW ulikuwa proud siyo? Nna mashaka na u-Bongo wako.Tanzania haiwezi kushindana na Kenya ikashinda.
Wakenya ni mabingwa wa figisu, tayari Uganda & Rwanda washafanya yao kutokana na fitna za Kenya. EAC tumebakiwa na Burundi na South Sudan (ambayo nayo lazima tubusu kalio la Kenya ili tuweze kufanya nao biashara yoyote).
Am not a proud Tanzanian at this moment kwa kweli!
Achana naye. Kajichanganya kwenye kitu hajui. Empty head.Unakumbuka "Coalition of the willing ?", unakumbuka mkataba wa EPA?, unakumbuka bomba la mafuta la Uganda?, naomba utaje maeneo matatu ambayo Kenya iliibwaga Tanzania
Tanzania imeyataka mashirika na makampuni ya ndege ambayo yanajishughulisha na biashara ya usafiri wa angani Kati ya Kenya na Tanzania, kusitisha huduma hiyo kwa sasa.
MY TAKE: Sina uhakika Kama Uhuni Kunyakunya atafija hata "round" ya tatu bila kunyoosha mikono juu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna viongozi ndani ya Kenya walidhani(assumed) kuwa kwa kuzuia wa Tz kwenda Kenya na ndege za KQ kuja Tanzania wangechukua mwanya huo kutumia ndege zao ndogo( Private Jets/private Kenyan registered planes) to ply between Tz and Kenya not knowing Tz is a nation of vision!!! Ndege za Musyoka, Macharia, Kamau, Abdullah, Joho, Mudavadi would have taken over the tourism business!!
Mmmmh...hahaha...it is the other way round...Kenya kamwe haiwezi kuishinda TZ...Uganda kamwe haiwezi kutangaza uadui na T
Pengine anazungumzia bomba la chang'aa ...